Usijidogoshe mwamba!ujue huo ni mlo kamili kabisa jamaa!!Duuh haya bana ngoja nikange nyanya ushenzi na matole familia ile nipitie na majani ya maboga huku tunaitwa msusa niwahi soko la jioni mwatulole
Kaka sio wa mwezi wa nane tu, hadi wa mwezi huu 🤣🤣🤣, tutanyooshwa mno mwaka huu.Wakuu kuna madeni chungu nzima watu wamekopa ila mshahara wa mwezi huu August ni kitendawili, ofisi moja ila kuna wengine wamepata wengine bado.
Mwenye majibu ya kutia moyo aje awafariji wasiopata mshahara adi sasa: maana hali ni tetee
Hadi mwezi huu kimya 🤣🤣Mwez huu sijaona malalamiko🤣
😂😂😂😂watu hawalalamiki tena wamesusaHadi mwezi huu kimya 🤣🤣
Hawajapata badoo😂😂😂😂watu hawalalamiki tena wamesusa