kitendawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha DRC kuingia kwenye EAC kitategua au kuwavua nguo Rwanda na Uganda

    Ni pongezi kubwa kwa EAC kukalibisha congo kuingia kwenye EAC ila bado kitendawili ambacho DRC kutaka kifumbuliwe ni kuhusu vikundi vilivyomo ndani ya nchi yake. Je, EAC itakubali kuyajadili haya ukiachana na uchumi na mambo mengine. • On the day that DRC formally joined the EAC, thousands...
  2. kacnia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania First love...

    Ni hisia ya pekee sana pale unapo tambua kuwa umependa kwa mara ya kwanza, wengine hupenda ukubwani na wengine katika kipindi cha makuzi yao hasa wanapo balehe. Niwapongeze wote mlio fanikisha kuwapata wapenzi wenu wa kwanza kabisa mlio wapenda, kwa upande wangu mimi haya ndio yaliyonikuta kwa...
  3. African Believer

    JamiiForums Tanzania Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kitendawili cha John Okello

    Leo January 12, 2022 ni sikukuu ya kitaifa ijulikanayo kama Mapinduzi ya Zanzinar ikiwa ni miaka 58 toka mapinduzi hayo yafanyike January 12, 1964 ili kuuondoa utawala wa Kisultan uliokuwa chini ya waarabu kutoka Oman. Ikiwa imepita miongo mitano toka mapinduzi hayo yafanyike bado kumekuwa ni...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alitoa Kitendawili, kama hadi sasa hujategua wewe hujui siasa

    Salaam Wakuu, Hivi Karibuni rais Samia alitega kitendawili na akawataka Watanzania Wategue. Kama wewe ni mtu wa kusoma na kufuatilia Siasa za Nchi ya Tanzania na bado huwezi tegua hiki kitendawili, Tutamuita Maua Sama akupe somo. Na jijengee uwezo wa kuelewa Siasa za nchi.
  5. Bowie

    JamiiForums Tanzania Demokrasia Afrika ni Kitendawili

    Baada ya miaka mingi ya mapinduzi ya kijeshi kutokufanyika Africa kwasasa wimbi la utawala wa kijeshi na mapinduzi yanarudi kwa kasi Afrika. Tumeona nchi za Mali, Guinea na Sudan wanajeshi wakitwaa madaraka kutoka utawala wa kiraia. Huko Ethiopia utawala wa Waziri Mkuu Abey ukielekea...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kitendawili: Paka aliyesuka mabutu, nyoka mwenye hereni na panya mwenye T.B

    Jibu ni Mr.Ebo !
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka, Bodi ya Ligi imethibitisha.

    Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka. Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake. Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za...
  8. leroy

    JamiiForums Tanzania Video: Mwenye kuweza ategue Kitendawili cha Rais Samia

    Mwenye kuweza kukitegua akitegue...
Back
Top Bottom