comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,819
- 18,234
Mama yake rama anajipiga cross halafu anaenda kupiga kichwa anafunga mwenyewe
Au mnipe mji
Au mnipe mji
Ila wewe😀Nimeshindwa mkuu.
Nakupa mji
Nenda kizimkazi
Mimi Nini😄Ila wewe😀
Huko Kizimkazi huko.😁Mimi Nini😄
Muzdah HalifaMama yake rama anajipiga cross halafu anaenda kupiga kichwa anafunga mwenyewe
Au mnipe mji
🤣🤣🤣 Una akili nying sanaNimeshindwa mkuu.
Nakupa mji
Nenda kizimkazi