kitendawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mangi wa Rombo

    Kitendawili cha "mkono wa kwaheri": Kilio cha Wastaafu 600 wa Shirika la Reli (TRC)

    Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) walioajiriwa na kustaafu kati ya mwaka 2012 na 2022 ni ya kuhuzunisha mno. Hoja za...
  2. The Father of All

    CCM looh CCM kitendawili katima maana na matendo!!!

    CCM, kwa sasa, inaweza kuwakilisha vitu vingi mfano: Chama cha mauaji Chama cha machawa Chama cha manywinywinywi Chama cha mafisadi Chama cha Matapeli Chama cha maimla Chama cha mamluki Chama cha mazwazwa Chama cha majambazi Chama cha magabacholi Chama cha maajabu Chama cha madhambi Chama cha...
  3. Dr Adam Francis

    Mh. Bwege ategua kitendawili cha Anna Komu wa WADEMA na Monalisa Ndala wa ACT

    https://vm.tiktok.com/ZMArjpvGV/ https://vm.tiktok.com/ZMArjvR83/ https://vm.tiktok.com/ZMArjpXkm/
  4. J

    GE2025 Kurudisha fomu kwa Samia bado kitendawili

    Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wagombea mbalimbali wakichukua na hata kurudisha fomu zao za kugombea urais kupitia vyama vyao. Lakini jambo la kushangaza ni ukimya mzito ndani ya CCM kuhusu lini Mwenyekiti wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atarudisha...
  5. Mende mdudu

    Mshahara wa mwezi wa nane kitendawili

    Wakuu kuna madeni chungu nzima watu wamekopa ila mshahara wa mwezi huu August ni kitendawili, ofisi moja ila kuna wengine wamepata wengine bado. Mwenye majibu ya kutia moyo aje awafariji wasiopata mshahara adi sasa: maana hali ni tetee
  6. Allen Kilewella

    CCM nisaidieni kutegua hiki kitendawili

    Kuna jambo limekuwa kama kitendawili kwangu, na sielewi tafsiri yake ni nini! Kwenye maisha ya kawaida ya watanzania na huku kwenye mitandao ya kijamii, watu hupata wasiwasi na hatima ya mtu anayeikosoa CCM kuliko anayeikosoa CHADEMA. Imekuwa ni kawaida mtu kuonywa ama watu kuandika maneno...
  7. Chancel Mbemba

    Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

    Nimekuja hapa JamiiForums kuomba ushauri na msaada Kwa namna moja au nyingine, hapa nimekuwa nikisoma tu nyuzi za watu nilikuwa sina account na mimi nimeona nijiunge nitoe yanayonisibu labda nitapata msaada, hapa naamini ni sehemu sahihi japo kuna ambao sometimes wanaleta masikhara. Ishu...
  8. Rico redi

    Kagoma na kitendawili cha kiungo mkabaji

    Nimeona mjadala watu wakilalamika kuhusiana na yusuph kagoma kwamba kiungo chake ni outdated na kwamba anacheza kizamani tuangalie kwanza aina za DM halafu tuwekane sawa Defensive midfielder(DM)Huyu ni ni kiungo mkabaji ambaye majukumu yake purely ni majukumu ya ulinzi ambapo anasaidia kulinda...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Watu watatu wamekamatwa baada ya Rais William Ruto kurushiwa kiatu katika Kaunti ya Migori

    Takriban watu watatu wamekamatwa kufuatia tukio la kutupwa kiatu kuelekea kwa Rais William Ruto katika eneo la Kuria Magharibi, Kaunti ya Migori. Soma Pia: VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu usoni akihutubia Wananchi wa Kehancha Tukio hilo lilitokea Jumapili jioni wakati Rais Ruto alikuwa...
  10. Bueno

    Haya Maisha ni Kitendawili Kigumu kweli kukitegua na Mambo yamebadirika sana

    ...... Mods msi-edit huu uzi
  11. Mr Mjs

    Uhamisho wa watumishi kwenye mfumo wa ESS ni kitendawili kisicho na mteguo

    Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa. Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa...
  12. Damaso

    Mgao wa umeme ni kitendawili kingine

    Iombee sana Tanganyika. Tanganyika haijawahi kuingia kwenye mgao wa umeme sababu ya "kurekebisha miundombinu". Sababu pekee huko nyuma zilikua ni maji kupungua, Megawatt kuwa chache. Leo hii tuna bwawa la nyerere Megawatt zaidi ya 3000 mpaka zingine zinataka kuuzwa nje, lakini kwa mara ya...
  13. G

    Kitendawili: Kashinda wiki hii lakini hana furaha!

    Alishinda wiki hii lakini hana furaha. tuone atakayepatia
  14. Kson Investment

    KITENDAWILI KITENDAWILIII

    1.Haina miguu ila inasimama jibu ni......................(marks 20) 2.ina miguu minne ila haiendi..........(20marks)
  15. Mohamed Said

    Kitendawili cha BAKWATA na Serikali BAKWATA na Waislam 1968 - 2024

    Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika. Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya Bibi Titi Mohamed na Julius Nyerere kuhusu EAMWS. Haukupita muda mrefu Baraza la Wazee wa TANU...
  16. KikulachoChako

    Kweli mapenzi ni uchafu. Wewe ungefanyaje?

    Leo nimekumbuka kiss hiki cha miaka kadhaa nyuma..... Nilikuwa na rafiki yangu mpendwa alikuwa na mchumba ambaye ni shemeji yangu ambapo walikuwa mbioni kufunga ndoa.....na maandalizi na harakati za hapa na pale yalishaanza..... Ni Shem ambaye tulizoeana kwa kuwa mara kadhaa nilikuwa nikifika...
  17. OMOYOGWANE

    Kijana SATIVA anayesemekana alitekwa na watu wasiojulikana kitendawili chake kinateguliwa na filamu ya IRIS?

    Kwa mlio wahi kuiona hii filamu ya kikorea mtakubaliana na mimi, Katika idara ya Usalama wa Taifa kwenye filamu hiyo kunaonekana kuwepo idara nyingine ya usalama wa taifa itwayo NATIONAL SECURITY SERVICE (NSS), Hii ni idara ya siri inaofisi na miundo mbinu yote, agents wa kutosha na tactical...
  18. M

    SoC04 Ukaushiaji dagaa bado kitendawili Mwanza

    Wakazi wa Mwanza ukaushaji dagaa bado ni kitendawili kwao kutokana na mwalo wa kuanikia dagaa kujaa maji. Wakizungumza na NyakiTv wakazi wa Kijiwenu Chifunfu Sengerema Mwanza wameeleza changamoto wanazopitia kwenye ukaushaji dagaa Domina Benedicto Mwenyekiti wa kikundi cha Faraja ambacho...
  19. J

    SoC04 Kitendawili cha hazina iliyopotea

    Tuntufi alikuwa msichana mdogo mwenye akili sana aliyekulia katika kijiji kidogo cha Mtwara, kusini mwa Tanzania. Wazazi wake, Bi. Na Bw. Mwakasege, ambao wote walikuwa wakulima wenye bidii wa mazao ya nafaka na mboga mboga, walimfundisha thamani ya elimu kama njia ya kubadilisha maisha yao na...
  20. Hance Mtanashati

    Mrembo Loveness Tarimo anazidi kutrend Instagram, jinsia yake bado kitendawili wengi hawaamini

    Mrembo Loveness Tarimo ambaye ni Miss Fitness 2019 amezua gumzo kuhusiana na jinsia yake. Wengi hawaamini kama Love ni mwanamke kulingana na namna anavyojiweka ,sauti yake ,kifua chake ,mpaka koromeo pia limekata kiume. Loveness anajihusisha na mambo ya body training ,yeye ni body trainer...
Back
Top Bottom