kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

    Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli. Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba...
  2. JamiiForums Biashara za Kitanzania ni za ajabu sana

    Yaani nimeona sendozi aina ya Teva inauzwa instagram 250,000! Nimepita huku mtaani nikazikuta kwa mmachinga, mpya kabisa. Nimempa elfu ishirini akapokea kiroho safi maisha yanaendelea!
  3. JamiiForums Namna elimu ya chuo ya Tanzania ni kupoteza muda kwa kijana wa kitanzania hususa ni karne hii.

    Ni matumaini yangu mko poa ndugu zangu wana jf and happy independence day ndugu zangu watanzania. Majobless endeleeni kupambana mechi bado halftime, mahustlers endeleeni kusaka tonge hakuna kukata tamaa. Wasomi endeleeni kutafuta kazi n.k Ninajua juu ya uzi huu basi wasomi na wanazuoni wazee wa...
  4. JamiiForums Kwanini utajiri wa familia za Kitanzania sio endelevu vizazi kwa vizazi? Je chanzo ni Siasa na Utawala au ulozi?

    Hili swali kila siku najiuliza sipati majibu sahihi. Utajiri wa mababu zetu umeenda wapi? Uhakika ni kwamba walifanya kazi na walikuwa na mali za kutosha lakini kwa sasa hazionekani tena.
  5. JamiiForums Unaiona wapi Tanzania ya kesho kupitia malezi ya watoto wa leo?

    Mwandishi maarufu wa vitabu, Robert T. Kiyosaki, kaandika kuwa mahali sahihi pa somo la mafanikio kufundishwa ni nyumbani. Kwa msingi huo, makuzi ya mtoto yatakuja kumwathiri si yeye peke yake tu, bali pia familia yake, Jamii yake na Taifa lake kwa ujumla. Je! Malezi yetu ya Kitanzania...
  6. JamiiForums Kati ya nchi zinazotuzunguka, ipi ina mazingira rafiki kwa Mtanzania kuishi kitanzania?

    Nchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali). Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tanzania Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi. Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana...
  7. JamiiForums App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

    Na Bwn Kenge! "Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3) itaacha kutegemea Dunia ya kwanza...Mwalimu huyo alijibu ni ile siku watumiaji(Consumer) wageukapo...
  8. JamiiForums Rais Samia akikupa mualiko Ikulu wa dakika 5 utamshauri nini kama kijana wa kitanzania?

    Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione...
  9. M

    JamiiForums Utafiti: Asilimia 21 ya wanawake Tanzania wamechepuka

    Kwa mujibu wa ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022, asilimia 21 ya wanawake wameshiriki ngono na wanaume ambao sio wenza wao na wala hawaishi nao. Kati ya hao, asilimia 22 walitumia kinga mara ya mwisho waliposhiriki ngono na watu hao. Kwa upande wa...
  10. JamiiForums Vyakula vya kitanzania ambavyo huwezi kupata majina yake kwa lugha ya kigeni

    Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania' Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "ebila", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
  11. D

    JamiiForums Wanawake wa kitanzania hawafai, wacha nitafute another race or culture

    marriage is actually dead. married people are the most low intelligent human beings ever. kwa sasa. and IF you are planning to get married hold on. MEN BENEFIT NOTHING FROM MARRIAGES STORY SHORT 7 years of being a long term relationship , which is over now. NA nilisema she will be my last girl...
  12. JamiiForums "Maadili ya Kitanzania" yameandikwa wapi nikayasome?

    Huwa nasikia tu, ati umevunja maadili ya kitanzania, mara sijui jambo hili limekiuka maadili ya kitanzania! Hata ukikata uno la mayenu unaambiwa umevunja maadili ya kitanganyika! Ukivaa mabuti kama ya JAY Z unaambiwa umekiuka sijui MILA ZA KITANGANYIKA! Kuna wale watu wenye fikra za ujima...
  13. JamiiForums Sababu zangu za kuwaunga mkono Wapalestina ni za jadi ya Tanzania na Watanzania wote wanaojielewa

    Palestina, Julius Nyerere na mshikamano wa kimataifa Rosalynn Carter, Rais Julius Nyerere wa Tanzania na Jimmy Carter, tarehe 4 Agosti 1977 [Wikipedia] Binafsi huwa sikubaliani na Nyerere katika mambo mengi, lakini hili la palestina na la ukombozi wa Afrika nililiunga mkono 100%. "Ninaamini...
  14. JamiiForums Watangazaji wa Kitanzania waliokoa BBC hasa Kipindi cha Asubuhi cha 'Amka na BBC' acheni huu Unafiki wenu na hi Chuki yenu

    Yaani Klabu ya Yanga ikifanya vyema katika Mechi zake zozote zile huwa mnatangaza tena kwa Bashasha zote. Ila Yanga SC hiyo hiyo ikifungwa (kama ilivyofungwa jana na Ihefu FC huko Highland Estates Mbarali) hamtangazi na huwa mnajifanya hamjayapata Matokeo. Lakini Klabu ya Simba hata ikifungwa...
  15. JamiiForums Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

    Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali. Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo. Hakuna mwanamke...
  16. JamiiForums Mkimbizi wa kitanzania kutoka Ukrain kurudishwa Afrika

    Zimedondoka kutoka huko Udachi kuwa mwamba ni miongoni mwa wakimbizi Jero kati ya buku mbili na jiti tatu waliokimbia vita nchini Ukraine. Hawa jero hawana vinyago vya Ukraine, yaani ni raia kutoka nchi nyingine ambao mambo yaliposanuka huko Ukraine, wakaona hii ni golden chance, harudi mtu...
  17. JamiiForums SoC03 Nchi ya kusadikika ambayo kila mwalimu wa kitanzania anaitamani

    "Baba Wande amka unachelewa kazini" ilisikika sauti ya Mke wa mwalimu Matinyi ambaye ni mwalimu wa somo la hisabati katika shule ya sekondari MAPWE. Kwa haraka mwalimu Matinyi aliangalia saa yake na kugundua kuwa ni saa kumi na moja na dakika kumi alfajiri,alikumbuka kuwa yuko zamu kwa wiki...
  18. JamiiForums Ni kwanini matajiri wa Kitanzania wengi bado hawataki kusomesha watoto wao shule za Cambridge wanakazania elimu ya Necta na vyuo vya hapa kwetu?

    Tajiri unakuta ana mabilioni lakini suala la elimu ya mtoto kwake analifanya liwe la kuiga watanzania wanaosifia elimu nzuri ni mtoto akisoma shule hizi za Necta huko boarding awe anaamka saa 11 asubuhi, apate division 1 au 2 aende kusoma UDSM. Kwa elimu ipi hapa bongo uendelee kumsomesha...
  19. F

    JamiiForums Upo wapi Muziki wa Kitanzania kwenye Mizania ya Kimataifa

    Nimekuwa nikifuatilia sana Mtangazaji wa TBC Taifa, Manju wa Muziki Masoud Masoud akielezea historia ya Muziki wa Tanzania, anauliza uu wapi Muziki wa Kitanzania kwenye Mizania ya Kimataifa, anasema Muziki wetu umepotea na ulibakia kwa Msondo na Sikinde na aoni wa kuundeleza... Nini kifanyika...
  20. C

    JamiiForums SoC03 Wakati Sahihi wa Mabadiliko yenye tija katika Kilimo cha Mifugo kuelekea ufugaji wenye tija kwa jamii ya Kitanzania

    Mabadiliko yenye tija katika ufugaji ni ubeti unaoimbwa kila muda Tanzania,Afrika na duniani kwa ujumla wake. Hii inachagizwa na umuhimu wa suala la ufugaji katika maeneo makubwa matatu ambayo ni 01. Utunzaji wa Mazingira 02. Afya za wanaadamu na 03. Afya na haki za mifugo zenyewe. Licha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…