kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red Giant

    JamiiForums Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia na hawataki vijana nao yawatokee?

    Habari wakuu. Kawaida ya binadamu umri ukienda huanza kutathmini maisha yao na kuanza kujutia baadhi ya mambo na kusema ninge. Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia sana na wangependa vijana wawe tofauti? Si wazee tu, hata wewe kama kunajambo unafikiri ulitakiwa kulifanya tofauti...
  2. MR.NOMA

    JamiiForums Claudio-Kijana wa Kitanzania aliyepasua 99% mtihani wa Hesabu Havard

    Kijana huyu mwenye amri mdogo ana akili iliyotulia kinoma, miaka ya hivi karibuni alifanya kazi katika Shirika la Twaweza akiwa kama Assistant data analyst alibahatika mwaka jana Mwanzoni kupata ajira nyingine huko ughaibuni - barani ulaya katika shirika kubwa la masuala ya utafiti ambapo...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kuna muda huwa nashindwa kabisa 'Kuwaelewa' Dada zetu ( Wanawake ) hasa wa Kitanzania ( Kiswahili )

    Kila ukikutana nao utawasikia wakiisema hii Kauli yao wanayoipenda kuwa Wanaume wote ni Waongo ( Matapeli ) na kwamba Baba yao ni Mmoja. Kinachonishangaza sasa pamoja na Kuisema Kauli hiyo lakini Wakiendelea tena 'Kutongozwa' na Wanaume hao hao Matapeli ( Waongo ) bado tena huwa wanawakubalia...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Makampuni 49 ya Tanzania yaruhusiwa kuuza maharage soya China

    Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China. Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima wa Tanzania kwa kuwa sasa wana soko la uhakika.
  5. E

    JamiiForums Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions) naomba anisaidie

    Habari za leo ndugu zangu, Naomba mwenye kitabu kinacho elezea utamaduni wa kitanzania anisaidieni. Maana nasearch mtandaoni kwakweli sioni yeyote aliye andika mambo ya maana kuhusu utamaduni wetu. Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions)...
  6. Naton Jr

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Ni 1% tu ya Wakenya wanaoweza kumiliki Milioni 40 za Kitanzania

    Report mpya ya ukwasi wa mtu mmoja mmoja katika mataifa tofauti duniani imetoka ikionesha hali ya utajiri katika taifa. Aidha report hii inaonesha ni kiasi gani cha fedha unapaswa kuwa nacho ili uingie kwenye country's millionaire club au uwe regarded as a wealth man au uwemo katika kundi dogo...
  7. Red Giant

    JamiiForums Ni android applications gani za kitanzania zilizokuwa intalled kwa wingi zaidi?

    Katika pitapita nimeona JF, millardy ayo na Muungwana zikiwa zimepita 1m. Zingine ni zipi?
  8. M

    JamiiForums Wahandisi wa Kitanzania ujenzi wa bwawa la Stiegler's Gorge!

    Nimepata fursa ya kuandika haya Muda huu! Nimekusikia Mh. JPM ukitangaza nia ya kujenga bwawa hilo kubwa la umeme. Kwakweli hilo ni jambo jema sana, na kwa namna ninavyokufahamu ukishatamka jambo kinachofata ni utekelezaji! Nataka nikuhakikishie kwamba wahandisi wa kitanzania hawajashindwa...
Back
Top Bottom