Kitabu East of the Sun kinazungumzia jinsi warusi walivyolichukua eneo la Siberia. Migogoro yao na wenyeji, Wachina, Wajapan na madhara ya kufika kwao kwa wenyeji.
Kinaelezea jinsi explorers walivyofanya safari zao kuelekea Siberia, Bahari ya Arctic na mashariki ya mbali. Jinsi walivyofika...