Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 377
- 739
Mwaka 2026 unaelekea robo ya nne ya oktoba hadi Desemba, tukiwa tumemaliza wiki 37 kati ya wiki 52 za Mwaka.
Umefanikiwa kusoma kitabu gani? Biblia ina vitabu 66 kati ya hivyo vitabu kuna kotabu unaweza kusoma dk 2 na ukamaliza
Mara nyingi tumekuwa ni watu wa visingizio mara hohoho muda sina, mada mambo ni mengi, lakini ukweli mchungu hatutaki kusoma biblia.
Kama umeweza kuamka asubuhi na kuingia mitandao ya kijamii ukatumia hata dk 10 kusoma habari na jumbe mbalimbalia ujue muda unao sema hautaki kusoma
Inawezekana haujui faida ya kusoma biblia lakini faida moja wapo unaposoma neno la Mungu linakuongoza njia sahihi unayotakisa kuendeka
Biblia sio kwa ajili ya kwenda mbinguni tu ila ni kwa ajili ya kukupa maelekezo ya kuishi hapa duniani.
Watalaamu wa dini wanasema biblia ni muongozo wa Mungu kwa mwanadamu namna ya kuishi duniani
Sio lazima uanze kusoma vitabu vingi anza na vile vidogo somo kitabu cha Yuda , obadia, hagai , Yohana nk
Wakati nimeanza kusoma biblia nilikiwa mtu wa hasira sana, lakinj kadri nilivyosoma biblia nilijua namna ya kupambana na hasira
Nilijua hasara ya hasira na nilijua kwanini hasira inaweza kukukwamisha katika safari yako na Mungu, kwa hiyo biblia imekuwa msaada mkubwa sana wa kupambana na hasira
Sio tu hivyo ni mambo Mengi nimejifunza ikiwemo kusamehe na kusahau, katika maisha ya dunia hii lazima ujifunze kusamehe na kusahau na kucontrol hasira lasivyo utakuwa na changamoto sana
Kitabu cha mithali nilitabu kizuri sana cha kukusaidia namna ya kuishi vizuri na watu na Mungu.
Nilitabu ambacho Mfalme Sulemani ambaye alijaliwa kuwa na hekima kuliko wanadamu wote wa kipindi kile ametuachia tujifunze mahali alipopitia
Tuna na tabia ya kusoma vitabu sio tu biblia hata vitabu vingine vyenye maarifa mbalimbali
Je umesoma kitabu chochote mwaka huu? Ni kitabu gani ? Na umejifunza nini karibu