Ombi: kesi ya mheshimiwa Mbowe itengenezewe kitabu

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
Niungane na wenzangu kuwapongeza wale wote walikuwa wanaleta live updates za kesi hii Naomba sana ikiwezekana waunganishe sehemu moja kutoka pale na kutengeneza kitabu ambacho bila shaka kinaweza kusomwa vizazi na vizazi kwa wale waliofuatilia kesi hii wataungana na Mimi kuwa hata namna ya kuhoji maswali katika maisha yao ya kawaida yamebadilika sana..

Kesi hii unaweza kujifunza mambo mengi ya kisheria na hata katika maisha kwa jumla..
Kumbe vile vitu tunadhani ni vidogo sana na havina umuhimu vinaweza kutusaidia sana hapo baadae..

Mods naomba Uzi ubaki hivyo
 
Thank's mr,hili wazo naliunga kwa 100% nami nitakuwa mmojawapo wa kukitafuta kitabu hicho pindi kitakapotoka. Hili ni wazo zuri sana.
 
Back
Top Bottom