kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Ndio kusema huyu mama alifunika nyota yangu kwa uchawi?

    Nimejikuta usingizi unakata na kuruka kama mtoto. Baada ya kumaliza fomu six miaka 2000 siku moja nilienda kumtembelea jamaa yangu asubuhi ili tupige stori. Mama yake akaandaa chai ilikuwa, Dar maeneo ya Yombo Kilakala.. Basi wakati anatenga chai akaleta vikombe viwili cha kwangu na cha rafiki...
  2. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna kisa cha kweli kwa fumanizi ambalo mwanaume aliekutwa kalala na mke wa mtu aliachwa aondoke kwa amani, hali yake ilikuwaje?

    Huwaga naskia stori kwamba kwenye fumanizi ni heri upewe kichapo kizito sana kuliko uachwe uende kwa amani. Kuna kisa ambacho kimetamba sana ila nadhani ni stori ya kijiweni tu nadhani wengi mtakua mmesikia, Hapa tumiwite mwenye mke anaitwa Michael, sasa kuna siku Michael alistukiza kurudi...
  3. masai dada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

    Yaani mimi kutumia tu hela yangu kwa matumizi yangu naona naumia. Je, Kwa kumtafutia viza, kumsafirisha mpaka London mtoto wa mama mkwe, kufunga nae harusi, kumlea na kumsomeshea mwanae uliyemkuta nae kwa pesa yako..... eeeh watu kuweza. Sometimes naona hata sio suala la uzuri au age imeenda...
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine. Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu...
  5. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Utafiti: vijana wengi wanaogopa kununua condom madukani kisa eti wanaona aibu.

    Habari wanajf. Utafiti umefanywa na taasisi fulani umebaini kuwa, vijana wengi hasa wa kiume wanogopa kununua mipira ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali na mimba zisotarajiwa kwa kigezo kuwa pindi wanapoenda kununua bidhaaa hiyo wanaona aibu na hasa wanapokuta wahudumu watu wazima...
  6. KASHAMBURITA

    JamiiForums Tanzania Kisa cha swahaba wa mtume S.A.W

    KISA CHA SWAHABA WA MTUME S,A,W Ar'wa ibn zubair ulikatwa mguu wake kwa maradhi yaliyokuwa yakimsibu. Siku hiyo hiyo ambayo alikatwa mguu akafiwa na mtoto wake mmoja kati ya watoto saba aliokuwa nao. Akasema Ar'wa "Ewe M/Mungu ninakushukuru kwani hakika ww ndiye uliyenipa watoto saba na leo...
  7. Candela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naachana na mpenzi wangu kisa bei

    Mmelala? Basi amkeni tutete hili, nina mwanamke niko nae katika mahusiano, amepanga na mie naishi kwangu. Kiuhalisia hali yake kiuchumi haiko poa hivyo tangu niwe nae nimekuwa najitahidi sana asijihisi yuko peke yake hasa kiuchumi. Wakati naanza nae alikuwa anafumga nywele miezi hata 4 bila...
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke Mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Jackline Mnkonyi mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa Sombetini Jijini Arusha mei 23 mwaka huu majira ya saa 5 usiku alipata kipigo kikali kutoka kwa mume wake ikiwa ni pamoja na kung’olewa meno mawili na kutobolewa jicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania TRA unahimiza matumizi ya EFD halafu mnawazimia wafanyabiashara kuzitumia kwa Ujumbe 'Device Blocked by TRA'

    Wako wafanyabiashara kadhaa EFD zao zimezimwa na TRA na zinaonyesha ujumbe mzuri kabisa DEVICE BLOCKED BY TRA bila kusema sababu. Hii inawezekanaje wakati ambao TRA inahamasisha toa risiti dai risiti?!
  10. Friday Malafyale

    JamiiForums Tanzania Auawa kikatili kisa wizi wa mihogo Ruangwa Lindi

    Raia mmoja ambaye hajatambulika kwa haraka amekutwa amekufa kwa kuuliwa na kuchomwa moto hadi kufa. Kwa mujibu wa mtoa taarifa hii, tukio hili limetokea kijiji cha Luchelegwa Ruangwa Lindi njia inayoelekea Nachingwea kuna mwizi ameuawa na kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali usiku wa...
  11. Jemima Mrembo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

    Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here. Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine...
  12. 5

    JamiiForums Tanzania Kisa kilichombadilisha mume tabia.

    🗯️
  13. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

    Wakuu, za sahizi tena Nipo hapa nacheka kaa fala, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii ni baada ya ku dislike baadhi ya comment za watu na mtu akaamua kunianzishia thread Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi, Maana najua humu wengi ni watu wazima sana mostly 28+ huko Sema mpo...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni nitakuja na kisa cha kusisimua kuhusu JPM, Kasesera na Mchungaji Msigwa

    Ulishawahi kujiuliza, kwa nini JPM alibaki na Kasesera ambaye ni mwandani lia lia wa Benard Membe?! Utaamini kwamba pamoja na mbwembwe zote Mchungaji Msigwa alikuwa mlisha habari wa JPM kutoka upande ule?! Kwa nini JPM alimrejesha RAS yule kuwa DG....?! Simulizi hiyo ifuatayo itakufanya...
  15. SONGOKA

    JamiiForums Tanzania Martin Luther King vs Malcom X, kisa cha Lissu na Mbowe

    Chadema kuna maigizo wanaendelea, na wakiendelea kuigiza kuwa hawaoni hili tatizo la msingi, natabiri kuwa kabla ya mwaka 2025 "CHADEMA ITAGAWANYIKA", .....stay with me Martin na Malcom: Kisa cha hawa Nguli wa haki za raia weusi ni funzo kuu la "ideological alignment" katika siasa, Martin...
  16. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kisa cha Funguo na Muuza duka

    Taifa linaweza kupiga hatua ikiwa kila mmoja wetu atakipenda kile cha halali akifanyacho. Kwa juhudi, maarifa mengi na kujitoa. Nakumbuka mama Theresa alipata kusema: "It is not what we do, it is how much love we put in the doing." Nakukaribisha kusoma andiko hili ewe mwanajamiiforums...
  17. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Michael Essien na John Terry

    Kisa Cha Michael Essien na John Terry wakikipiga Chelsea John Terry alikua akimshangaa mchezaji mwenzake Michael Essien... John Terry alikua anamshangaa Michael Essien kwanini akipata pesa inaisha haraka haraka...... Pesa ya Michael Essien ilikua Ina isha haraka kwasababu dependency ratio...
  18. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Wachaga na kisa cha kurudi nyumbani kila mwisho wa mwaka.

    Wachaga ni kabila lenye asili ya Kibantu na mchanganyiko wa asili ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania, Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro. Kabila la Wachaga linatajwa kuwa la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, ambapo takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi ya Wachaga ni watu 2,000,000...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Hello habari, Mimi ni kijana niliezaliwa mnamo mwaka 1995 katika kanda ya kaskazini hapa nchini.Nimesoma shule mbalimbali hadi kufanikiwa kupata digrii ya kwanza katika chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT). Leo nimeona kushare na nyie story yangu hii ya kweli ambayo nahisi itakusaidia kupata...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali sehemu za starehe Ma DJs kupiga nyimbo za hovy na mbaya watakavyo kisa wameweka ratiba mziki wenye vybez upigwe saa7;usiku na kuendelea?

    Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja. Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏 Mimi mpambanaji, mjasiliamali, niliejipambanua kutafuta pesa Kama kipaumbele changu kwa mawanda mapama kwa sekta mseyo, ambaye...
Back
Top Bottom