kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Unaonaga aibu kununua kitu gani dukani ukikuta muuzaji jinsia tofauti na yako?

    Mimi nikikuta muuzaji ni ke au unamkuta mama flani hivi wa makamo Kama ya bimkubwa mood ya kununua vitu hivi inaisha.. Condom Boxer Pedi kwa ajiri ya mchumba Chupi kwa ajiri ya mchumba Dawa za gono Dawa za kuongeza nguvu za kiume Energy Rasta Mafuta ya kupaka baby care Je, wewe unaonaga aibu...
  2. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Kisa cha RC Namfua na Watawa huko Kilimanjaro

    Salaam wanahistoria! Leo nilikuwa mahala fulani napiga soga na kiongozi mmoja wa Kanisa Katoliki. Soga zetu ziligusa maeneo mengi hasa Historia ya Tanzania wakati wa utawala wa Mwalimu. Kwa sababu ya utofauti mkubwa wa kielimu, umri na uzoefu wa maisha, nilikuwa msikilizaji zaidi huku...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke amejitoa sadaka kisa mumewe apate kazi

    Hellow Hii story ya kweli kabisa imetokea ivi karibuni Kulikuwa na mdada aitwaye Tupokigwe ambaye alikuwa na mchumba wake aitwaye Chacha walipenda sana. Tupokigwe alikuwa ni mwajiliwa wa sekta binafsi alikuwa ni afisa biashara wa kampuni, ila Chacha alikuwa hana kazi jobless Tupokigwe aliona...
  4. Selikavu

    JamiiForums Tanzania Nimezuiliwa kuingia hospitalini kisa ebola

    Habari za Asubuhi wakuu Leo nimejiimu mapema nikamwone Mgonjwa Hospitali ya wilaya ya Nyamagana Mwanza .. Cha ajabu nimezuiliwa na walinzi kwamba mtu anayeruhusiwa kuingia ni Mwenye chakula cha mgonjwa tuu ili kuepuka maambukizi ya ebola Swali langu limekuja je serikali imeshatoa tamko...
  5. Sea Beast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakuwa na mahusiano na mwanamke mpaka unawaza kuoa unakuja kujua baadae kuwa ulikuwa unaingia chaka, weka kisa

    Habari wazee, nimesoma baadhi ya visa vya mahusiano, kama una kisa chako uliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mpaka kufikiria kwenda kutoa barua hili mfunge ndoa lakini ukaja kugundua kumbe ulikuwa unapotea kumbe sio wife material Kama ulivyodhani. Ulimpenda na kuanza kufikiria ndoa akaja...
  6. KJ07

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Achapwa viboko hadharani na kupigwa faini laki mbili baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mpangaji wake

    Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho. Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa...
  7. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa Gumzo shule nzima baada ya kutumia hela ya ada

    Leo March 20 Kuna tukio nimelikumbuka kipindi Niko o level kidato Cha nne. Nilipewa hela kama laki 4 kwa ajiri ya kulipa Ada na michango mingine ya shule. Kipindi hicho Ada inalipwa shuleni unapewa risiti halafu muhasibu wa shule anapeleka benki..nilikuwa nasoma shule ya jeshi ni ya day na...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuishi chumba, hostel au nyumba moja na room mate ambae si muungwana, weka kisa chako hapa

    Oh my God, mbwa anaingia na kutoka nyumba tunayoishi, room mate kamleta mbwa mdogo wa kucheza nae, shughuli si ndogo hii!! kuna muda tulienda kikazi mkoa x kwa miezi mitatu, niliishi na jamaa anapenda sana mbwa, siku ya pili kaleta ki puppy kimbwa kidogo anakijali kama mtoto wake vile, kucheza...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

    Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu. Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha...
  10. Intelligent businessman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa Cha Mume, Mke jeuri na Punda kimenichanganya kuhusu sala la ndoa

    Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu chochote. Wakati pekee aliopata nafuu ni ule wakati aliokuwa nje shambani akilima na punda wake mzee...
  11. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Pesa ni za kwangu ila mie nashikiwa bunduki kisa wewe ni deep state? Haikubaliki

    Hii kitu hakiwezekani kabisa mimi nakudai billions of money ila unanishikia Bastola eti kisa wewe ni deep state hii kitu hajiwezekani na bila shaka ya muhusika upo humu na unaisoma hii thread kile kitendo ulichonifanyia pale Hyatt regency kunishikia bastola ile jana tayari nimeshashitaki pale...
  12. R

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Wahafidhina wapo toka zamani, Kisa cha Abneli mwana wa Neri na Generali Yoabu

    Kwanza nitoe Pongezi zangu Nyingi kwa Viongozi wa Kitaifa akiwemo Mh Rais Samia Suluhu Hassan, rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania. Pongezi zingine ziwaendee viongozi wakuu wa vyama vya siasa Mh Freeman Mbowe na Mh Zitto Zuberi Kabwe. Bila kuwasahau na wananchi wote wenye Mapenzi Mema. Tatu...
  13. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Kisa chenye Mafunzo!

    Tuelekee moja Kwa moja mpaka Misri, hapa tunakutana na marafiki na majirani wawili ambao walikuwa wanapendana Sana na kuheshimiana Sana. Bwana mmoja alikuwa na mtoto WA kike na mwingine WA kiume,basi Maisha yanasonga mbele,kwakuwa walikuwa majirani Wazuri na marafiki pia,wakataka urafiki wao...
  14. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Rafiki yangu Kutajirika na Kufariki kinahuzunisha

    Jamaa tulimaliza naye shule mwaka 1996 form four. Mimi nikaendelea na masomo na kufanikiwa kumaliza chuo. Nlikuja kutana nate tena mwaka 2003 akiwa anahangaika na maisha kwa kufanya biashara ndogo ndogo. Aliendelea nazo mpaka mwaka 2019 ambapo maisha yake yalibadilika sana. Akaja kuwa na pesa...
  15. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ajinyonga kisa kukataliwa kwenda kuangalia video usiku(Mtwara)

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Secondari Kiromba, Azana Dadi (13) ambaye ni Mkazi wa eneo la Muungano kata ya Kiromba wilaya na Mkoa Mtwara, Amekutwa amejinyonga chumbani kwake kwa kutumia mtandio wake. Jeshi la polisi Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio hilo aidha UCHUNGUZI wa...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa: Nini hutokea pale muoaji au muolewaji anapotokomea kusikojulikana baada ya kukusanya michango?

    Salam Wakuu, Ndani ya mada kabisa, Nataka kujua ni hali gani anakuwa na mtu kama huyu. Mapema January mwaka huu nilipata kadi ya kuchangia send-off kutoka kwa rafiki yangu, ambapo aliainisha mapema mwezi huu ata-agwa kutoka nyumbani kwao. Kwa tamaduni za send-off, japo siyo mdau huwa naona...
  17. Mirror 14

    JamiiForums Tanzania Kisa kukosa license kunavyofanya nikose ajira kwenye taasisi

    Wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina elimu ya sekondari kidato cha nne Nilihitimu 2017 lakini sikubahatika kuendelea na elimu ya advance, mimi ni mkubwa kwenye familia ya watoto wanne Dhumni la kuja kwenu, ninaomba mwenye uwezo wa kunichangia japo chochote ili niweze jiendeleza...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kisa cha aliyegongwa na mwendokasi (Osman): Kinahuzunisha, kinafundisha na kushangaza

    Ajali ya mwendokasi ilyotokea wiki moja iliyopita maeneo ya Kisutu ina shangaza mengi! Ajali ile ilitokea majira ya asubuhi na kuhusisha gari dogo kugongana na mwendokasi ulikochangia majeruhi kadhaa akiwemo bwana mmoja aliyekuwa mtembea kwa miguu (Osman) Taarifa za vyombo vya habari, report...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Sumbawanga: Madereva Bajaj waandamana kisa CHADEMA kushindwa kuwalipa baada ya kukodishwa kumpokea Freeman Mbowe

    Madereva Bajaj wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wameandama hadi kwenye ofisi za Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA aitwaye Cedrick Malila almaarufu IKUWO WAKIDAI MALIPO YAO waliyoahidiwa wakati wamekodishwa kwenda kumpokea Mwenyekiti cha CHADEMA Freeman Mbowe huko Katumba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Wazazi wamuua mtoto wao ili wapate utajiri

    Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri. Tukio limetokea katika...
Back
Top Bottom