kirahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Juma Magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga SC na asimamie assets zote za timu

    Kwenye hukumu ya magoma yameongelewa mengi ila katika jambo ambalo limenichekesha ni yeye kutaka kukabidhiwa timu na account zote za timu ziwe chini yake kirahis kirahis swala la mtu kutaka kupewa timu kirahsis rahis hiki ni kituko na ni ujumbe kwamba tuliowengi tunapenda short cut na kudandia...
  2. JamiiForums Tanzania Sababu zinazoweza kumfanya mwanamke asikuache kirahisi

    Mambo vip, Nataka niende straight kwa point, Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga siachiki kirahisi na wanaokua wapenzi wangu hata kama wakijua natoka na wnawake wengine?? Kwanza nataka...
  3. JamiiForums Tanzania Kati ya hizi ipi napata hela kirahisi

    Wazee wa blog
  4. JamiiForums Tanzania Kama haujawahi kupitia machungu makali ya maisha usiwabeze na kuhukumu kirahisi wanaojitafuta kwa njia ambazo zinaoekana ni mythical.

    Angalau hajakukaba kukupora au kufanya ujambazi wa unyama kupelekea mauti ya ndugu yako. Hivi unadhani kuna mtu yuko tayari kupoteza nafasi ya kuhudimia familia bila ya kuwa omba omba na mfalme wa madeni. Shida na tabu zinachaganya nyie sio hizo mlizonazo na unajua at some point unafuu una...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mnaosema kuna fixed matches kwanini hamtumii hela zenu zote, kukopa na kuuza mali zenu ili mpige hela kirahisi kwa uhakika mtajirike?

    tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ? Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za wachezaji kujifungisha huwaga ni siri zao na watu wao wachache sana, hata wachezaji wengine ndani ya timu...
  6. JamiiForums Tanzania Ukizawadiwa tunda kirahisi usile kwa mapepe

    Hey guys wa JamiiForums, Kuna kasumba moja sasa hivi, mwanamke anakuwa na mwanaume wengi kutokana na tamaa binafsi walizonazo wanajikuta wanapata mimba za kushtukiza. Kama mimba ni ya jamaa asimjali huyo mwanamke ataangalia upande wa pili. Kama ulikuwa unamtongoza na anakukatalia utaona...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufunga siku 52 kwa Kila mwaka kirahisi kwa afya

    Salaam, Shalom!!! Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua watu wengi tangu zamani. Wiki Moja, Ina siku Saba, ukitenga siku moja iwe special Kwa ajili ya...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara ya kutoboa kirahisi Dar 2024

    Habari za Asubuhi wakuu humu ndani natumahi mko poa. Sasa kama mada inavyojieleza hapo juu, mimi nimekuwa nikifanya utafiti mbalimbali hapa Dar es Salaam kuhusu biashara ambazo mtu ukizifanya kwa sasa ni haraka tu unatoboa kimaisha. Miongoni mwa biashara hizo ni biashara ya kuuza nafaka kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana wa 2,000 mnaoanza kutest ganja kirahisi rahisi, sisi Juma Nature alitushauri hivi kwa phrase fupi sana ila yenye maana kubwa sana

    Sir nature alikuwa mfalme wa "the art of street story telling" Katika wimbo wa Jinsi Kijana aliyasema maneno haya na kwa kweli alikuwa sahihi sana kuhusu bangi kutegemeana na asili ya mtu. "Hiyo mibangi tunayovuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kweli utaambuka, kijasho...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kuna watu ambao wako systematically prone kwa tabu na mateso na ni vigumu mikosi yao kuondolewa kirahisi kama wengine?

    Hakuna mwanadamu asie kuwa na changamoto. Asilimia kubwa ya watu duniani tunapitia matatizo makubwa mbali mbali ila kuna wale watu ambao utafikiri furaha hata robo sio ridhiki kwao. Unaweza mkuta mmama, mwenye hurka ya kuishi vyema na watu lakini anapitia mateso kutoka kwa mme wake, wifi zake...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunashindana wenyewe, tunaogopa maendeleo ya mwafrika mwengine, tunaridhika tukiwa juu ya mwafrika mwenzetu bila ari ya kushindana kimataifa.

    Ubinafsi umekuwa ni tatizo kubwa sana kwetu Africa kuzidi umoja wa uafrika wetu hasa katika Loyalty ya ukabila / ukoo / mru binafsi, Mwafrika yupo tayari kumnyima nafasi mwafrika mwenye uwezo kwa sababu za ubinafsi aidha hayupo kwenye kabila / ukoo wake, anahofia akimpa atamzidi maendeleo...
  12. JamiiForums Tanzania Mtu kujitangaza kaokoka ama watu kumsemea kaokoka ni undumilakuwili, matendo yake ya mafichoni na fikra zake haviwezi kuonekana kirahisi.

    Mimi nimeokoka sikuhizi, Fulani kaokoka baada ya kutoka jela, fulani kaokoka baada ya kuponea chupu chupu ajali, n.k, ni kauli ambazo nikizisikia namrefer mhusika moja kwa moja na ndumilakuwili. Kuokoka huwa ni siri ya mtu binafsi na Mwenyezi Mungu, kwamba yeye anatenda, kufikiri, kunena, n.k...
  13. JamiiForums Tanzania Shafii Dauda na Dahuu wateuliwa jumuiya ya wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam

    Hebu angalia mchango wa hawa halafu fananisha na kipara kipya au Kamanda Asiyechoka Hawa eti wameteuliwa kwenye Jumuiya ya Wazazi , huku Magonjwa Mtambuka na Lucas mwashambwa wametoswa ! Hata hivyo sisi wengine tulishaonya mapema sana kwamba CCM ina wenyewe, lakini hatukueleweka. ========...
  14. JamiiForums Tanzania Hapa Afrika, suala la kujiuzulu na kuachia madaraka ni msamiati ambao hukumbatiwa na wachache

    Hapa Afrika, suala la kujiuzulu na kuachia madaraka ni msamiati ambao hukumbatiwa na wachache sana kwasababu kwa muktadha wa Afrika; cheo ni ulaji, cheo ni mamlaka, cheo ni biashara, cheo ni fimbo Kwa washindani, cheo ni "connection" ya mambo mbalimbali. Nashangaa kuona mnajiuzulu pamoja na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje pesa ingepatikana kirahisi kama inavyopatikana Ngono

    leo nimewaza sana, nipo mbali na.nyumbani ,nimefuata biashara huku, nimeacha mji wangu, nipo mbali na watoto wangu, nipo katika nchi ambayo imejaa matukio ya kishamba(matumizi ya bundiki hapa wanaona ni kama ndio akil) Haya yote nafanya eti natafta pesa, nguvu ninazotumia , akili ninayotumia...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi tukifikisha miaka 50 na kuendelea tunatapeliwa kirahisi na wanawake

    Habari zenu wadau. Ninachosema hapa wengi mnaweza kuwa mashahidi. Wanaume wengi tukifikisha miaka 50 kwenda juu huwa ndo muda ambao wanawake wengi wanatutapeli, wanatudanganya sana na wengi wetu ndo muda ambao tunaibiwa mali zetu na wanawake, haswa wanawake wadogo(20-30) Nimesikia na kuona...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa game za mpira matoleo ya simu naweza vipi kucheza friendly au ligi kwa kuchagua timu kirahisi, Sina muda wa kujenga vikosi online

    Huwa napenda sana kucheza game ya mpira kwenye playstation, x box na pc kwasababu mambo ni chap chap, ukiwasha game waweza kuchagua timu unayotaka unazama uwanjani kulisakata kabumbu. Kwenye game za simu nimeshusha dls na fifa naona ni mpaka ujenge vikosi, huo muda sina kwakweli, hii kitu ipo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wakishiriki Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi basi CCM itashinda kirahisi na Wasiposhiriki basi CCM itashinda kiubwete kabisa!

    Muundo wa sasa wa Tume ya Uchaguzi ni sawa na Mtego wa Panya hunaswa wahusika na wasiohusika Angalizo: Chadema wakishiriki Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi ni Wazi CCM itashinda kirahisi lakini Wao Chadema watapata Wabunge na Madiwani Wawili Watatu Ikiwa Chadema hawatashiriki itakuwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Wazungu wengi wenye gundu la mahusiano nchi zao wakija bongo huokota kirahisi watoto wakali

    Niliwahi kuingia kwenye mtandao wa reddit, kuna hawa wazungu ambao wana magundu, madomo zenge, n.k yani huko kwao wanapata wakati mgumu sana kupata wapenzi. Hii si kwa wanaume tu hata wanawake hata wanaokaribia kuwa mabibi wakija huku ni kuokota tu. Hawa jamaa huwa wanaenda nchi za asia na...
  20. JamiiForums Tanzania Kama umechoshwa na Tabia mbovu ya Mwanamke wako , pitia hapa upate suluhisho na Umbadilishe Kirahisi

    Nishaandika Nyuzi nyingi sana kuhusu Hawa Wanawake, nyuzi zangu nyingi kuwahusu Wanawake nimezielekeza kupitia kucheza na "Ubongo wa Wanawake ". Ukijua hii Sanaa ya kucheza na Ubongo wao ,hawatakusumbua !! Sasa Leo nazungumzia na nyie wanaume wenzangu ambao inawezekana, Umechoshwa na tabia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…