Kama umechoshwa na Tabia mbovu ya Mwanamke wako , pitia hapa upate suluhisho na Umbadilishe Kirahisi

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,054
71,341
Nishaandika Nyuzi nyingi sana kuhusu Hawa Wanawake, nyuzi zangu nyingi kuwahusu Wanawake nimezielekeza kupitia kucheza na "Ubongo wa Wanawake ".
Ukijua hii Sanaa ya kucheza na Ubongo wao ,hawatakusumbua !!

Sasa Leo nazungumzia na nyie wanaume wenzangu ambao inawezekana, Umechoshwa na tabia mbovu ya Mwanamke wako, pengine ni Mkorofi, anamdomo mrefu sana, jeuri ,mtu asojishusha ,mwanamke anayekudharau n.k .

Kuna wanaume wako frustrated na hawana Furaha ya Mahusiano au Ndoa zao sababu ya Kero za Wanawake.

Kuna Jamaa, Wanapitia manyanyaso kweli, na wanaogopa sana kuwadeal Wanawake sababu wanaohofia mambo yataharibika.

Swali langu Leo ni, Je unahitaji kua Mwanaume mwenye Nguvu na mamlaka Kwa mwanamke wako na Unahitaji mwanamke wako akuabudu?.

Sasa mbinu hapa ni Moja ,nayo ni "Mfanye mwanamke ajihisi ana hatia".

Unaweza usielewe haraka na pengine usije namna ya Kumfanyia ajione mwenye hatia , ila ni rahisi .

Hivi mnajua wanawake wote Duniani watatumia Kila Uwezo wao wote ili mradi tu kuepuka wasiione Wana hatia? Wanawake hawapendi hatia kabisa.

Kama umechunguza sana utagundua Siku zote Mwanamke unapomtuhumu Kwa kitu Fulani, reaction zao Huwa ni mbili tu

👉Asikubaliane na tuhuma hizo katakata yaan atakataa hata kama kafanya.

Au

👉Akubali tuhuma, akiri kosa, Kisha aanze kujitafuta mwenyewe ili ajisahihishe .

Hamjanielewa?. Ulishawah Ombwa Msamaha na Mwanamke aliyechepuka? Ule Msamaha anapokuomba, Si baada ya hapo Huwa anaanza kujitutumua ndani , yaan atafanya kazi Kwa bidii zote za nyumban, atakua anakuoetipeti isvyokawaida, atazidisha maupendo , ? Hii simmeshakutana nayo?. Ni sababu ya Kujiona ana Hatia.

Kwa Mwanamke, Hisia za Hatia ,Huwa ni Adhabu kubwa na nzitooi ambayo siku zote Huwa Wanaishi wakipambana kuisahau !!.hawataki kabisaa.

Sasa njia ambayo Mimi natumia na ambayo nawaelekeza hapa, ni njia inayomfanya mwanamke kuangukia Kwenye Reaction ya Pili .

Sasa swali, Unawezaje mfanya ajione ana Hatia ?.

Njia pekee ni kutumia Maneno haya " Wewe Hauna Shukrani".
Hayo ni Maneno tu, ila Niamin Kwa mwanamke hayo Maneno ni zaidi ya Adhabu kubwa ya kihisia, , Wanawake Maneno Huwa yananguvu kwao kuliko hata Kipigo !!... Ukibisha Mwambie mwanamke wako, 'Una miguu mibaya" ,. Hatokaa kua na Amani tena kwako !!..... Why ? Kwa sababu kwao Maneno huenda Moja Kwa Moja kutia mizizi kwenye bongo zao !.

Kwa mfano, mmejikuta mpo kwenye ugomvi, weee mwambie sentesi Moja tu " unajua wewe hauna Shukrani , mbali na yote nayokufanyia, ila wee unanilipa namna hii, Hivi unathubutuje kunifanyia ivi?. "

Hapa anaweza Kukataa tuhuma unayompa ya kutokua na shukrani . Ikifika hapa, Rudia tena Kwa kumpa ushahidi ,Kwa mfano mjibu "Eeehh kweli eeh? Nimekuletea zawadi /Nmekuongezea Mtaji /Nmekulipia Kodi lakini hata hukusema Ahsante , Wee huna shukrani .

Hapa anaweza nayeye kuanza kukushambulia mfano " Kwahiyo kumbe zawadi /Kodi /Mtaji wako ndio nini Sasa?".

Wee hapa usitafute kumshinda, mjibu tu " unaona Sasa? Wee Hauna shukrani"...Kisha waweza kuondoka ukamuacha hapo Nawewe endelea na mambo yako.

Maneno "Wee Hauna shukrani" ni Maneno ambayo unatakiwa uyatumie kile Mara mnapokua na ugonvi .... Kwann? Kwa sababu yanaenda kujipenyeza Kwa subconscious mind ya mwanamke , na hatokua na uwezo wa kuyaondoa.

Utumiapo Maneno kama haya, Huwa yanamkaa ,nantaratibu taratibu huanza kubadilika ili kukuprove wewe kua yeye ni mwanamke mwenye shukrani..... Hapa ndipo unaona anazidisha UPENDO n.k

Akiwa katika hali hii ya kuonyesha yeye ni mwenye Shukrani, hakikisha, hakikisha Nawewe unaanza tena kumpa Moyo na kumsifiaa na kumwonyesha yupo sahihi Kwa Sasa Kwa anachokufanyia.

Hapa lengo ni kumpitisha kwenye Hisia za Maumivu -Furaha-Maumivu -Furaha , Huu mzunguko, ndio kitu pekee ambacho Kwa mwanamke humfanya akuone wewe ndio chanzo cha Furaha yake yaan anakua mlevi wako , Kihisiaa anakua kama ni mtumwa wako.!!.

Kudeal na Mwanamke, Deal na Hisia zake kupitia Ubongo wake.!!.

Uzi Huu uwafikie wanaume wote wanaopitia magum ndani ya Ndoa.

NB, Njia kama hizi zinafanha kazi Kwa Wanawake ambao ni wamekua yaan tayari wanajua wanachokitaka yaan ambao Sasa wanatumia Hisia kukubali na wanatumia akili kukataa.....hutu tudogodogo usijisumbue !!.
 
Hawa educated women hiyo mbinu inaweza ikawa ni kuziba tundu la panya na mkate.

Sqizo mwendo wa 50/50 bibie kasoma ana kazi nzuri ana uhakika wa kupata basic needs zote uanze kumletea maneno hayo ya wakati mtimilifu na vitenzi vielezi hakusikilizi unaachwa kwenye mataa
 
Hawa educated women hiyo mbinu inaweza ikawa ni kuziba tundu la panya na mkate.

Sqizo mwendo wa 50/50 bibie kasoma ana kazi nzuri ana uhakika wa kupata basic needs zote uanze kumletea maneno hayo ya wakati mtimilifu na vitenzi vielezi hakusikilizi unaachwa kwenye mataa
Maisha ya mwanamke kwenye Mahusiano, Huwa hayo yote sio kitu kwao as long as wee ni Mwanaume.

Msiwaogope.
 
Maisha ya mwanamke kwenye Mahusiano, Huwa hayo yote sio kitu kwao as long as wee ni Mwanaume.

Msiwaogope.
Sasa Mwajuma tako chafu atajali hilo?
Hili ni kwa wenye akili na kujielewa.

Niamini ni wanawake 10% ndio wanajielewa, waliobaki ni washi washi tu
 
Papuchi yako haina ladha na wewe mwenyeeew kiburi yni hadi nyumba siitamani ni vile tu sina mbadala maana nakupenda mpka nashindwa kufanya uaumuzi
Duu hii mbinu haifai ni zaidi ya unyanyapaa na kamwe hisia zake zitakata jumla
 
Yaani utie huruma huku kuna njemba imemuahidi gari wewe kumpa simu tu unasema hana shukrani, na hiyo njemba manzi akisema asante inakasirika, huku ikimwambia "kwanini ushukuru wakati hii ni haki yako na ni wajibu wa mwanaume kwa mwanamke mzuri kama wewe"

Kamwe usitie huruma kwa mwanamke, hiyo kauli ya nimefanya A B C lakini huridhiki ni kauli za kutia huruma hizo, unataka uhurumiwe kwa wema wako.

Labda umfanye ajione hana thamani, hii ndo naonaga wengi wanaitumia na inafanikiwa na hawasahauliki.
 
Hio mbinu not applicable kwa wanawake marapa,Kuna wanawake wanarapu hatari hadi aje amalize mistari yake yenye sumu ulishakufa kitambo.
Pana jirani mke wake alirapu usiku kucha single yenye sumu kali kufika asubuhi jirani kafa.
Omba sana Mungu asikupe mke rapa Bora awe na Tabia zingine na Sio rapa.
Usione wanaume wanashinda bar na bia mbili masaa wanakwepa rapu.
 
Kina mama wanawalea mabinti zao vibaya wanaoenda pata tabu waoaji.
Binti azaliwi rapa Bali ufanywa rapa na mama yake,Pana vitoto tangu vidogo uongea Kama chiriku mzazi mwenye hekima uicontrol hii hali ili ukubwani asiwe kero.
Umechoka unataka kupumzika ndo kwanza speaker imefunguliwa kwann usitafute mchepuko akuwekee limbwata kabisa,rapa aende akakanyage mafuta ya urejesho mume kwa mtume wao.
Nyumba yenye kelele Katu malaika mleta pesa akai.
Ili mwanaume awe na maendeleo inatakiwa apate mwanamke asiye rapu.
 
Tatizo mnatumia nguvu sana, ni.mahala padogo tuu, ila ndo hapako mahala pamoja....
Saa inhine6hata sisi wanawake wenyewe hatujui pako sehemu gani.... hapo mahala pa kutukamatia....
 
Hio mbinu not applicable kwa wanawake marapa,Kuna wanawake wanarapu hatari hadi aje amalize mistari yake yenye sumu ulishakufa kitambo.
Pana jirani mke wake alirapu usiku kucha single yenye sumu kali kufika asubuhi jirani kafa.
Omba sana Mungu asikupe mke rapa Bora awe na Tabia zingine na Sio rapa.
Usione wanaume wanashinda bar na bia mbili masaa wanakwepa rapu.
Wameumbwa kuongea ivoivo.

Wee mwambie, Hauna shukran !!.Kisha sepa na mambo yako.

Huna haja ya Kushinda argument
 
Back
Top Bottom