Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea.
1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila...
Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya
2. My dia, kuna wanawake wenzio ambao hawajui kulia kuhusu wanaume, hawajalogwa hawatumii uchawi wala uganga wanatumia...
Ndugu zangu Mimi ni mtumishi wa umma, mshahara wangu ni kati ya laki 5 mpaka 6 kwa mwezi nikiondoa makato na Kodi
Hivi Sasa naishi kwenye mkoa wa kawaida kutokana na location ya ajira , hivyo kutokana na ugumu wa maisha minaokumbana nao hapa ikiwa ni pamoja na kukosa kitu cha ziada cha kuongeza...
Hii ilikuwa ni message kubwa sana, ila hadi leo imechukuliwa kirahisi. JPM aliielewa vizuri ndiyo maana akamwambie akachukue form ya ubunge, halafu akammwaga mazima, huku Ole Sendeka, Mrisho Gambo na Pastory Katambi wakipeta tena kwa mbeleko ya refa
Yanga wana tabia ya kuwasifia wacheza sindimba wao, lakini mchezaji wa maana anayeifanya Yanga iwe inashinda kwa sasa ni Maxi Nzengeli.
Hao wacheza sindimba kina Chama, Ki na Pacome wanakuzwa tu na walanguzi wa habari za michezo bongo.
Maxi Nzengeli asipocheza, Yanga huwa inapwaya Sana.
Wauzaji feki wa sabuni za kuoshea choo:
Unakuta wame print kabisa na tshirt ya jina ya biashara yao. Wana target wale wanaonunua jumla. Ukifungua sabuni unakuta mimaji milaini mitupu.
Wanaojifanya Afisa wa TRA:
Unakuta mfanyabiashara anapigiwa simu na mtu anaejitambulisha kama mfanyakazi wa TRA...
Habari wapendwa!
Katika maisha kila kitu kinashortcut!
Hakunaga njia ndefu isiyokuwa na shortcut!
Mimi ni moja ya waumini wa kutafta shortcut!
Yaani mimi li unipitishe njia ndefu huwa ni lazima nichungulie hatari ya kupita shortcut kama nazimudu au la!
Ndiyo maana nina imani iko siku tutapata...
Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2.
Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana.
By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru
Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo.
Kwa utajili wa Africa, wazungu...
Habari za mchana wakuu, mimi kazi yangu ni kuwasogezea michongo ya online ya kuingiza pesa.
Kuna huu mchongo rahisi kabisa unaokupa $1 kila siku kwa simu yako na internet yako bila hata ya kuhangaika kufanya kazi. Kuna hii App inalipa kwa kushare internet yako tu. Ikifika $5 unaweza kuitoa...
Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake
Nadhani madhumuni, misingi na malengo ya kuanzishwa kwake yameimarishwa au kuboreshwa zaidi hivi sasa na huenda kinyemela...
Infact...
Moderator, tafadhali kwa heshima na taadhima, naomba Uzi huu ujitegemee, usiunganishwe. Nataka rafiki yangu Mch. Peter Msigwa au washauri wake wa karibu wauone kirahisi pengine naweza kumsaidia. Ni rafiki na ndugu yangu, akinisoma tu ananielewa kwa code zetu...
Mimi sio mwana uchumi, niko tayari pia kuelekezwa na kupigwa
ILA,
Ila naamini Uchumi sio hesabu.
Haya ma-graphs ni techniques za serikali zetu kujionesha wanafanya jambo.
Binafsi naamini kipimo bora cha uchumi ni kupima ukuaji wa ubora wa maisha wa jamii masikini sana kulingana na huduma...
Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka...
Kwani wana muunganiko mzuri na makarani na waheshimiwa mahakimu, infact ni timu ya ushindi wa haraka na mapema!.
-Wana muunganiko wa karibu mno hata katika kupindisha sheria.
# ILALA
# KINONDONI
# TEMEKE
-Intelegency!
-Tutaendelea kuanika zaidi hapa!
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe
Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla...
Kinyang'anyiro cha mbio za urais huko Marekani kimeshika kasi, na upepo wa kisiasa ukibadilika karibu kila wiki. Na sasa habari kubwa ni kuhusu Kamala Harris kuanza kuuvuta upepo wa kisiasa kuibeba Democrat.
Tangu mwanzoni Kamala Harris hakupewa nafasi yoyote ya kuwa mbadala wa Biden. Biden...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.