Nishaandika Nyuzi nyingi sana kuhusu Hawa Wanawake, nyuzi zangu nyingi kuwahusu Wanawake nimezielekeza kupitia kucheza na "Ubongo wa Wanawake ".
Ukijua hii Sanaa ya kucheza na Ubongo wao ,hawatakusumbua !!
Sasa Leo nazungumzia na nyie wanaume wenzangu ambao inawezekana, Umechoshwa na tabia...
Kama kawaida mlinzi msomi nisiye na hiyana.
Nilipanda bajaji mwaka 2021 nikasikia jambo, nami nikadadisi kidogo. Nikafanya kama nilivyoambiwa.
Ukiwa na smart phone mbili , yako na ya mwenzi wako au yako na ya rafiki yako nenda kwenye Goole map then share location na simu nyingine. Hapa unaweza...
Hivi namna CCM mafisadi na wezi wa mali za umma walimvyomchukia hayati JPM wawe na ushahidi kuwa alikwapua tril 1.5 leo hii tungeupata hadi kwenye mitandao ya kijamii.
Chadema wangechapisha hadi kanga.
Leo hii baada ya rais Samia kushindwa kudhibiti ufisadi ndio mlete hoja ya tril 1.5 ambayo...
Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
Asilimia kubwa ya wanaume hufikiri hivyo, hata mimi kuna kipindi nilikua naamini hivyo lakini sikupata matokeo ninayotaka. Japo vingine ni muhimu lakini ili kudumisha mahusiano, usivitegemee hivyo pekee.
Kama unaamini hivyo, na matokeo unayopata kwenye mahusiano yako hayakuridhishi, badilisha...
Yani Jamii Forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.
Sasa we andika comment yako halafu atakayelike comment yako au utakayevutiwa naye mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na...
Vipimo hivi vimekuwa ghari Sana na hata kupatikana kwake kuna mlolongo mrefu Kwa mujibu wa taarifa ambazo tunazisikia,na inasemwa kuwa mara nyingi wahusika wanalofanya hilo zoezi mara nyingi hawatoi majibu halisi Kwa kuhofia ndoa kuvunjika.
Kama kweli tunataka jamii ambayo itawajibika Kwa...
Mwanamke yeyote anahitaji usalama kutoka kwa mwanaume wake, ndicho kitu cha kwanza wanakiangalia kabla ya kuwa kwenye mahusiano, japo huwa halisemwi waziwazi.
Usalama wanaotaka ni usalama wa kiakili, kiroho na kimwili ilii aweze kujiachia kwa mwanaume. Usalama wa kimwili mwanamke huupata pale...
Kumekuwa na mijadala mikali sana kuhusu nini kitangulie kwenye maisha ya mjasiriamali/mfanyabiashara, nyumba au gari? Watu wengi sana wamekuwa wakikatishana tamaa kwamba kununua gari kabla hujajenga ni upuuzi na uamuzi mbaya. Ni kweli wana sababu nzito kwasababu ukiachana na nyumba kukuondolea...
Bahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani.
Kila mtanzania anajua namna hilo kundi lililokuzunguka linawatafuna namna gani watanzania.
Watanzania wanayo ya moyoni ila 2025 ikikaribia watafunguka...
Singida tumeshawafunga kabla hata ya menchi. Hawa jamaa wana alama zetu 6 kila msimu. Kwahiyo wala hawatuumizi kichwa. Ni timu ya Mwigulu Nchemba ambaye ni mtu wetu, kwahiyo mechi rahisi hii.
Wana Yanga leo hesabuni alama 3 hapa, hakuna lolote la kutuzuia.
Wakuu nimesoma mitandaoni kuhusu show ya Fally Ipupa huko kwao Kinshasa nikabaki kinywa wazi. Huyu jamaa yuko serious. Hakuna longolongo. Yaani pamoja na kufanya promo kwa mbinu zilizozoeleka lakini kijana akaamua kukodi ndege kadhaa kwa ajili ya kutangaza show mjini Kinshasa. Tazama picha jinsi...
Nilimsikia Rais wetu Samia akihutubia mkutano wa kimataifa huko Quatar hivi majuzi. Alilalamika kuhusu kutokuwa na usawa wa ugawaji wa chanjo duniani.
Nikacheka kimoyoni nikasema hata Rais wetu kaingia mkenge au kaamua kushiriki hila za mabeberu kutuundia magonjwa na kisha kujidai ukarimu...
Wanawake wenye jina la mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho?
Ni jina la yule mama mdogo ambaye wamezoena zaidi na mama ukiachana na wadogo zake wengine wawili wa kike.
Nakumbuka sekondari form 3 hadi 4 kuna binti alikuwa na hilo jina aliniganda na tulipendana...
Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza?
Kama mliunda tume, mkaleta yale yote kwa...
umekuwa ukipata rundo la emails usizozitakaka kwenye gmail yako?
hiii huwa inachukiza sana unapopokea emails ambazo hazihusiani na mambo yako kabisa leo nitakufundisha namna rahisi sana ya kuziblock zisikufikie tena.
kama ni mtumiaji wa gmail fuata hatua hizi chache..
1.fungua gmail yako,
2...
Wazee salama ngoja niende moja kwa moja kwenye point nimegundua njia rahisi za kuwapata hawa viumbe pasua kichwa , njia hii inahitaji akili kidogo tu na njia yenyewe ni kuacha kuwashobokea au kuwapaparikia wanawake.
Wazee amini usiamini ukiwa bize na mambo yako yaani na life lako mademu...
Wana kinga asili nzuri dhidi ya magonjwa
Ni nadra sana kukuta hawa mbwa wetu wamepelekwa hospitalini kutolewa minyoo (de -worming), hata wengi tunaowafuga hawajawahi kuchomwa sindano yoyote tangu wazaliwa lakini wanadunda.
Kuwalisha kwa gharama nafuu
Hata ukiwachanganya ugali na dagaa kwa...
Ni kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka....
Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi ndiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.