Kitu ambacho nimegundua,
mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa wanakutongoza wenyewe.
NB: SIJAZUNGUMZIA...
Ukisafiri baadhi ya nchi, website za muhimu kama za dini huwa zimefungiwa.
kuna browser inyoitwa opera, hii ni browser kama ilivyo kwa google chrome, lakini imeboreshwa zaidi kwa kuwekewa ndani yake feature ya vpn, huna haja ya kudownload vpn, ukiwa na opera ushamaliza mchezo.
1. ingia...
Hongereni kwa Ubunifu huo wa Kinafiki wakati nanyi pia mlikuwa ni sehemu ya yaliyokuwa Maamuzi ya Hayati huku mkisimama Hadharani Kuyapongeza na Kuyaunga mkono, ila leo baada ya Kumhifadhi Milele Kanda ya Ziwa mmembadilikia ghafla.
Sasa KEROZENE nasubiri zangu kwa hamu mkubali na Pesa za hao...
Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu.
Vipi kuhusu Mfugale Flyover na Kijazi interchange!
Leo hii Kibaha mpaka Mbezi foleni ni story iliyosahaulika.
Stand ya kisasa ya ya...
Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
Ukitulia kabisa na kama tokea mwanzoni umeangalia Kesi ilivyoanza na inavyoenda huhitaji Akili Kubwa sana kujua kuwa ni Kesi ya 'Kimkakati' zaidi na lazima lililopangwa litokee.
Kwa nia njema tu nikaja na Threads zangu Mbili ( ambazo hata hivyo mpaka leo sijui kwanini ziliunganishwa au kufutwa...
Simu Janja zinatengenezwa kwa madini kadhaa ikiwemo dhahabu, fedha, platinamu, shaba na paladi. Ukikusanya simu nyingi na kuvuna madini hayo unaweza kuwa milionea ndani ya muda mfupi sana
Imeajwa kuwa Iphone ina gramu 0.034 za dhahabu hiyo ni sehemu ya utajiri unaobaki hata baada ya simu...
Habari wakuu.
Baada ya kusoma kiarticle fulani, nimeona kitu hiki.
Tawala nyingi huanguka kutokea ndani. Si kitu rahisi watu kutoka nje kuangusha utawala ambao upo established. Mfano ni Rais wa Misri Mubarak, alianguka baada ya majenerali kuacha kumuunga mkono. Mambo yanayoweza sababisha watu...
Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa muda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.