kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tatizo la Mtandao Tanzania kipindi cha Uchaguzi: Uchambuzi wangu wa kitaalamu na ushauri ili kukabiliana na janga hili

    Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wapo wapi kina Wasira, Kikwete, Butiku? Njooni kama mlivyokuwa front kipindi cha kampeini

    Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa. Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security. Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa. Sasa...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ijengwe minara kuwaenzi waliouawa kipindi cha uchaguzi mkuu 2025

    Hakuna namna nyingine sahihi sana ya kuwaenzi hawa zaidi ya kuwajengea minara katika mikoa husika. Mnara mkuu utawekwa Dar Es salaam. Utaitwa mnara wa pili wa mashujaa. Kisha kila mkoa ambao.palitokea mauaji ya halaiki pajengwe mnara kisha majina yote ya waliouawa yawekwe hapo. Kadhalika picha...
  4. JamiiForums Tanzania Uhalisia ni Polisi Walishindwa kulinda Mali za Raia kipindi cha Maandamano

    Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao. Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao. Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji? Kwanini Polisi waliiua watu?
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Joh Makini: Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu

    Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".
  6. JamiiForums Tanzania Epuka haya kipindi hiki

    Poleni kwa misiba, Hopefully mko njema kabisa nilipost humu uzi siku kabla ya maandamano uzi ulikuw wazi sana kuhusu mbinu za maandamano nikasema watatumia human shield kama mbinu yao ya kuzibiti maandamano uzi ukafutwa ila mambo niliyozungumza yote yalifanyika. Enewi twende na muda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa watu wanazuiwa kuchukua maiti ya ndugu zao waliouawa kipindi cha uchaguzi?

    Kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa kuchukua miili ya ndugu zao ili kwenda kuizika. Na kuna uvumi kuwa waliouwawa wanazikwa usiku ili kuficha ushahidi. Kama hii ni kweli . Hili jambo sio jema
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulitumiaje muda wako kwenye lockdown ya uchaguzi na Internet kuzimwa?

    Kwanza kabisa nitoe pole kwa changamoto zilizotukumba tangu tarehe 29-10-2025 Kwa upande wa pili hio ni siku ambayo internet ilizimwa hadi siku ya leo. Kwa mara ya kwanza kwa miaka mitano nimecheza karata Niliipikia familia yangu siku ya jumamosi chakula cha usiku, hadi wife na housegirl...
  9. JamiiForums Tanzania Angalizo: Saa ya ukombozi ni sasa or else ukombozi wa nchi yetu utaendelea kuwa ndoto kwa kipindi kirefu sana kijacho

    Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa. Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Nanasi huharibu ujauzito

    Nanasi ni tunda lenye faida lukuki kwa afya. Miongoni mwa faida za tunda hili ni kuongeza kinga ya mwili, kutibu mafua, kupambana na saratani, kuondoa maumivu pamoja na kulinda moyo. Pamoja na uwepo wa faida hizi kwa afya, nanasi huhusishwa na changamoto ya kuharibika kwa ujauzito kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nyimbo wanazoimba Polisi wetu ni huzuni kwa kipindi hiki

    Ewe mwananchi ukapige ukishamaliza ukale ugali nyumbani.....
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mamlaka za maji kudaiwa kubambikia wateja bills imeanza kitambo, kwanini Samia achukizwe kipindi cha uchaguzi?

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akimnadi Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ndiye Rais wa Tanzania, ameelezea kuwa anasikitishwa na tabia ya baadhi ya mamlaka za maji kubambikia wananchi bili kubwa zisizo na uhalisia. Najiuliza kwanini hatua za msingi hazikuchukuliwa mapema...
  13. JamiiForums Tanzania Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki

    Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki.
  14. JamiiForums Tanzania JWTZ, kwa huu Ufisadi unaoendelea nchini, tukubaliane tu muongoze kipindi cha mpito kulipatia Taifa Katiba Mpya

    Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania. Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi. Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa...
  15. JamiiForums Tanzania Je Kuna kipindi ambacho WAKRISTO na makanisa wamepitia nyakati ngumu kama hivi Sasa?

    Leo hii wachungaji, manabii, maaskofu wengine mapadri wanatekwa na wengine wamefanikiwa kukimbia nchi... Makanisa yamefungwa baadhi, haya naskia hata kwenye Ibada wametumwa watu waovu ndio hao mnawaita wasiojulikana kwenda kusikiliza mahubiri ili kusudi kama ni kukosoa ama kuhubiri Haki na...
  16. JamiiForums Tanzania Africa na Udikteta ni very strong bond na haitokuja kuvunjika kipindi cha uhai wetu

    Sina mengi ya kusema ila Africa kwa madikteta, nainua mikono 😂😂🙌 “Africa never ceases to amaze the world with how it keeps producing new dictators every now and then.” Congratulations Africa, you just got yourself a female dictator 🏃🏽🏃🏽
  17. JamiiForums Tanzania Nyerere alitawala kipindi kirefu lakini hakujilimbikizia mali

    Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Said Miraj amesema Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ameendelea kuwa mfano bora wa uongozi wa kizalendo usioendeshwa kwa tamaa ya mali binafsi. Akizungumza kupitia kipindi cha Maswali na Majibu kinachorushwa na Jambo TV na kuendeshwa na mtangazaji...
  18. JamiiForums Tanzania Nina uhakika kwa asilimia 85% kuwa Bwana Polepole hatauliwa, ila huenda tusimuone tena

    Kwanza kwa nafasi alizoshika na hadhi yake, ni vigumu mno kwa mtu kama yeye kuuawa kirahisi, nitafafanua kwa nini hilo ni gumu kutekerezwa, Polepole hakuwa mtu wa kawaida. Ni senior citizen, mwanaccm kindakindaki, na mtu aliyekuwa sehemu ya mfumo wa juu wa chama na serikali. Sio kama wale...
  19. JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kulizuia Jeshi kuchukua Nchi halipo kipindi hiki

    Duniani pote kizingiti pekee cha Jeshi kuchukua nchi ni kutokuwepo na support ya Wananchi pamoja na kutokuwepo kwa support kutoka nje ya nchi. Mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kumpindua Nyerere , Mapinduzi yale yalifeli kwa sababu tu Nyerere aliomba msaada wa Majeshi ya Uingereza yaliyopo Kenya...
  20. JamiiForums Tanzania Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…