kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Saa ya ukombozi ni sasa or else ukombozi wa nchi yetu utaendelea kuwa ndoto kwa kipindi kirefu sana kijacho

    Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa. Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
  2. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nanasi huharibu ujauzito

    Nanasi ni tunda lenye faida lukuki kwa afya. Miongoni mwa faida za tunda hili ni kuongeza kinga ya mwili, kutibu mafua, kupambana na saratani, kuondoa maumivu pamoja na kulinda moyo. Pamoja na uwepo wa faida hizi kwa afya, nanasi huhusishwa na changamoto ya kuharibika kwa ujauzito kwa...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nyimbo wanazoimba Polisi wetu ni huzuni kwa kipindi hiki

    Ewe mwananchi ukapige ukishamaliza ukale ugali nyumbani.....
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mamlaka za maji kudaiwa kubambikia wateja bills imeanza kitambo, kwanini Samia achukizwe kipindi cha uchaguzi?

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akimnadi Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ndiye Rais wa Tanzania, ameelezea kuwa anasikitishwa na tabia ya baadhi ya mamlaka za maji kubambikia wananchi bili kubwa zisizo na uhalisia. Najiuliza kwanini hatua za msingi hazikuchukuliwa mapema...
  5. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki

    Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki.
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ, kwa huu Ufisadi unaoendelea nchini, tukubaliane tu muongoze kipindi cha mpito kulipatia Taifa Katiba Mpya

    Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania. Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi. Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa...
  7. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Je Kuna kipindi ambacho WAKRISTO na makanisa wamepitia nyakati ngumu kama hivi Sasa?

    Leo hii wachungaji, manabii, maaskofu wengine mapadri wanatekwa na wengine wamefanikiwa kukimbia nchi... Makanisa yamefungwa baadhi, haya naskia hata kwenye Ibada wametumwa watu waovu ndio hao mnawaita wasiojulikana kwenda kusikiliza mahubiri ili kusudi kama ni kukosoa ama kuhubiri Haki na...
  8. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Africa na Udikteta ni very strong bond na haitokuja kuvunjika kipindi cha uhai wetu

    Sina mengi ya kusema ila Africa kwa madikteta, nainua mikono 😂😂🙌 “Africa never ceases to amaze the world with how it keeps producing new dictators every now and then.” Congratulations Africa, you just got yourself a female dictator 🏃🏽🏃🏽
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Nyerere alitawala kipindi kirefu lakini hakujilimbikizia mali

    Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Said Miraj amesema Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ameendelea kuwa mfano bora wa uongozi wa kizalendo usioendeshwa kwa tamaa ya mali binafsi. Akizungumza kupitia kipindi cha Maswali na Majibu kinachorushwa na Jambo TV na kuendeshwa na mtangazaji...
  10. covid 19

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika kwa asilimia 85% kuwa Bwana Polepole hatauliwa, ila huenda tusimuone tena

    Kwanza kwa nafasi alizoshika na hadhi yake, ni vigumu mno kwa mtu kama yeye kuuawa kirahisi, nitafafanua kwa nini hilo ni gumu kutekerezwa, Polepole hakuwa mtu wa kawaida. Ni senior citizen, mwanaccm kindakindaki, na mtu aliyekuwa sehemu ya mfumo wa juu wa chama na serikali. Sio kama wale...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kulizuia Jeshi kuchukua Nchi halipo kipindi hiki

    Duniani pote kizingiti pekee cha Jeshi kuchukua nchi ni kutokuwepo na support ya Wananchi pamoja na kutokuwepo kwa support kutoka nje ya nchi. Mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kumpindua Nyerere , Mapinduzi yale yalifeli kwa sababu tu Nyerere aliomba msaada wa Majeshi ya Uingereza yaliyopo Kenya...
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kususia Uchaguzi ni Bora kuliko kuandamana hasa kipindi tukiendeacho sababu ni hizi

    1. Pamoja na kwamba uchaguzi wetu umekuwa haramu siku zote ila kuandamana Kwa wakati huu inaweza leta matatizo makubwa. A. Nguvu itatumika kubwa kuyazima hivyo kupelekea watu kuumizwa sana. B. Kuna matukio ya kitaifa yatakayofwatana mfululizo kwenye wiki la mwisho la October na wiki la mwanzo...
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM waliopo humu kipindi hiki cha mfungo wanataka nini?

    CCM imefungia huu mtandao kwa muda wa siku 90. Ila wapiga kelele maarufu wa CCM naona nao wamegoma kupumzika bado wapo humu wana randa randa. Hii inaashiria hata na wao hawakubaliani na uongozi wa Serikali iliyopo na inayotaka kuingia ya CCM ndio maana kwenye ule uzi wa michango kwa ajili ya...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua

    Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua. Mnakumbuka mauaji ya Kibiti?yalikuwa organized na watu wa juu sana ndani na nje ya Serikali. Polisi walishindwa kuyathibiti sababu taarifa zilikuwa zinavuja kila...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akilalamika kuhusu mwanamke anaambiwa "TAFUTA HELA WEWE", ila mwanamke akilalamika kuhusu mwanaume anaandaliwa hadi kipindi maalum kwenye TV

    Mi nafikiri uduni uliopo katika jamii yetu umetengeneza ulimbukeni katika fikra na reasoning za watu katika maswala ya maendeleo ya mahusiano. Kuna watu wanadhani kuwa mtoto wa kiume ni kuwa robot alie auto-matic katika kukidhi kila kitu kilichopo mbele yake. Ndio maana wanaojinyonga , walio...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais wa CHAD kuongoza kwa kipindi kisichokuwa na ukomo

    Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti. Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI)...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka hiki Kisa kipindi hiki Jamiiforums si ni Utawala Huru? Tunajimwaya mwaya tu

    Mfano mtu akituma uzi wa lugha mbaya au akiamua kutukana hata serikali. Huo uzi si utaachwa tu mpaka siku 90 ziishe ndo Mods watakuja uona? Maana wakiuondoa itakuwa mgogoro na TCRA wameuondoaje na wakati wamefungiwa? Je wanaingia JF kupitia VPN? kosa jingine. Nikakumbuka habari ya Mlinzi...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Watawala Wasio Rasmi "Oligarchs" walioshutumiwa kipindi cha kikwete, Wakazimwa na Magufuli, Wamerudi kwa Samia.

    Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king dethroners (waangushaji wa watawala). Hawa watu huendesha siasa kwa kivuli, bila kuonekana moja kwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Hii ndiyo halisi ya habari Tanzania . Naleta makala hii japokuwa ni ya muda kidogo ili iweze kuingia kweney record. Je ni kwa sababu hii ndiyo maana waandishi wanalamba viatu vya JK ? HEADLINE: CCM magnates in the media The treasurer of the Chama cha Mapinduzi (CCM) and advisor to the...
Back
Top Bottom