Hakuna namna nyingine sahihi sana ya kuwaenzi hawa zaidi ya kuwajengea minara katika mikoa husika. Mnara mkuu utawekwa Dar Es salaam. Utaitwa mnara wa pili wa mashujaa. Kisha kila mkoa ambao.palitokea mauaji ya halaiki pajengwe mnara kisha majina yote ya waliouawa yawekwe hapo.
Kadhalika picha...
Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao.
Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao.
Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji?
Kwanini Polisi waliiua watu?
Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".
Poleni kwa misiba,
Hopefully mko njema kabisa nilipost humu uzi siku kabla ya maandamano uzi ulikuw wazi sana kuhusu mbinu za maandamano nikasema watatumia human shield kama mbinu yao ya kuzibiti maandamano uzi ukafutwa ila mambo niliyozungumza yote yalifanyika.
Enewi twende na muda...
Kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa kuchukua miili ya ndugu zao ili kwenda kuizika.
Na kuna uvumi kuwa waliouwawa wanazikwa usiku ili kuficha ushahidi.
Kama hii ni kweli . Hili jambo sio jema
Kwanza kabisa nitoe pole kwa changamoto zilizotukumba tangu tarehe 29-10-2025
Kwa upande wa pili hio ni siku ambayo internet ilizimwa hadi siku ya leo.
Kwa mara ya kwanza kwa miaka mitano nimecheza karata
Niliipikia familia yangu siku ya jumamosi chakula cha usiku, hadi wife na housegirl...
Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa.
Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
Nanasi ni tunda lenye faida lukuki kwa afya. Miongoni mwa faida za tunda hili ni kuongeza kinga ya mwili, kutibu mafua, kupambana na saratani, kuondoa maumivu pamoja na kulinda moyo.
Pamoja na uwepo wa faida hizi kwa afya, nanasi huhusishwa na changamoto ya kuharibika kwa ujauzito kwa...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akimnadi Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ndiye Rais wa Tanzania, ameelezea kuwa anasikitishwa na tabia ya baadhi ya mamlaka za maji kubambikia wananchi bili kubwa zisizo na uhalisia.
Najiuliza kwanini hatua za msingi hazikuchukuliwa mapema...
Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania.
Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi.
Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa...
Leo hii wachungaji, manabii, maaskofu wengine mapadri wanatekwa na wengine wamefanikiwa kukimbia nchi...
Makanisa yamefungwa baadhi, haya naskia hata kwenye Ibada wametumwa watu waovu ndio hao mnawaita wasiojulikana kwenda kusikiliza mahubiri ili kusudi kama ni kukosoa ama kuhubiri Haki na...
Sina mengi ya kusema ila Africa kwa madikteta, nainua mikono 😂😂🙌
“Africa never ceases to amaze the world with how it keeps producing new dictators every now and then.”
Congratulations Africa, you just got yourself a female dictator 🏃🏽🏃🏽
Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Said Miraj amesema Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ameendelea kuwa mfano bora wa uongozi wa kizalendo usioendeshwa kwa tamaa ya mali binafsi.
Akizungumza kupitia kipindi cha Maswali na Majibu kinachorushwa na Jambo TV na kuendeshwa na mtangazaji...
Kwanza kwa nafasi alizoshika na hadhi yake, ni vigumu mno kwa mtu kama yeye kuuawa kirahisi, nitafafanua kwa nini hilo ni gumu kutekerezwa,
Polepole hakuwa mtu wa kawaida. Ni senior citizen, mwanaccm kindakindaki, na mtu aliyekuwa sehemu ya mfumo wa juu wa chama na serikali. Sio kama wale...
Duniani pote kizingiti pekee cha Jeshi kuchukua nchi ni kutokuwepo na support ya Wananchi pamoja na kutokuwepo kwa support kutoka nje ya nchi.
Mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kumpindua Nyerere , Mapinduzi yale yalifeli kwa sababu tu Nyerere aliomba msaada wa Majeshi ya Uingereza yaliyopo Kenya...
Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida?
Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
1. Pamoja na kwamba uchaguzi wetu umekuwa haramu siku zote ila kuandamana Kwa wakati huu inaweza leta matatizo makubwa.
A. Nguvu itatumika kubwa kuyazima hivyo kupelekea watu kuumizwa sana.
B. Kuna matukio ya kitaifa yatakayofwatana mfululizo kwenye wiki la mwisho la October na wiki la mwanzo...
CCM imefungia huu mtandao kwa muda wa siku 90.
Ila wapiga kelele maarufu wa CCM naona nao wamegoma kupumzika bado wapo humu wana randa randa.
Hii inaashiria hata na wao hawakubaliani na uongozi wa Serikali iliyopo na inayotaka kuingia ya CCM ndio maana kwenye ule uzi wa michango kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.