kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Scars

    JamiiForums Tanzania Historia Halisi yenye kusisimua kuhusu rapa Juice WRLD

    Whatsup! Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua. Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea kujuzana hata yale ambayo unayajua na humu sijaweza kuyaandika kwasababu sio rahisi maisha ya miaka...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha likizo ya sensa Wazazi wawalinde watoto wao, mitaa imefurika

    kuna likizo ndefu kwa ajili ya sensa ya watu na makazi nchini, ambapo wanafunzi kuanzia ngazi ya chekechea hadi vyuo wapo mtaani, na kiukweli mitaani pamefurika kuna kila aina ya makundi na watu wa rika tofauti tofauti. Sasa huu ni muda wa wazazi kuchukua kila aina ya tahadhari kwa ajili ya...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama nitakuwa nmewakosea Mnisamehe lakini hili pia naomba lifanyiwe kazi kipindi hiki

    Wadau kama nitakuwa nimewagusa sehemu mbaya mnisamehe tu ... Tunapofanya sensa mwaka huu naomba tusiishie tu kuhesabu watu. Tuendelee mbele kidogo. Tuhesabu watu wenye utimamu wa akili. Unaweza ukawa unahesabu mayai ya kuku na kudhani atatotoa vifaranga kumi. Kumbe mayai mengine mengi tu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

    Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania. Tumepitia kipindi kigumu sana, nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai, hakukuwa na disposable syringe, nesi akipitiwa...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin ajisahau na kukiri kwamba Urusi inapitia kipindi kigumu kwenye teknolojia

    Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake. ===== Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology problems due to the world’s biggest entertainment brands ceasing operations in the country. But the...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tunaomba kipindi cha Sports AM cha Azam Tv kianze saa 4:00 asubuhi

    Hiki ni kipindi kizuri sana, tatizo kubwa ni muda wa kuanza kipindi ambapo wengine bado huwa tupo ibadani maana huwa wanaanza saa mbili kamili asubuhi. Kwasisi watu wa zamani, kipindi hiki huwa na Ma-legend wa soka wa zamani huojiwa mubashara studioni na mtaalam Bin Zubery. Tunaomba suala la...
  7. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania U-Live ya U-FM: Kipindi bora cha michezo kuliko vyote

    Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. U-live kuna watangazaji wastaarabu. Wachambuzi bora kabisa. Na habari zao ni za uhakika. Wana programs zimetulia, wameweka standards zao za sponsors wa kipindi chao. Matangazo hayaboi ni machache lakini hayaharibu ladha ya kipindi.
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Industrialisation Uingereza. Butcher man alipita na mkokoteni nje ya nyumba

    Kipindi hiki watu walihama kufuata kazi, miji ilifanyika na biashara zilishamiri. Ni katika kipinndi hiki walianza ustaarabu wa kusukuma maji na yalifika majumbani. Maji tiririka yalipunguza magonjwa kama cholera kwani yalikuwa treated kabla hayajafika kwa mtumiaji.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Michael kyando wa kipindi cha ujue usafiri wako (ITV)

    Huyu jamaa huwa anatumia syllabus gani...mbona kama namna anaelezea mifumo ya engine na utendaji wa magari ni wa zamani .. Ni sawa na mm kusoma kitabu cha zaman kinachoelezea namna engine za petrol na diesel zinafanya kazi where utakuta kitabu cha mwaka 70 huko ambavyo ndo vingi vimejaa ma...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tafuta nyumba au kiwanja kipindi cha mvua

    Ukitaka kujua ubora wa eneo unalofikiria kuhamia kwa kujenga makazi au kupanga tafuta eneo hilo wakati wa kipindi cha mvua. Itakusaidia kujua miundombinu kama inapitika au haipitiki. Kipindi cha ukame huwezi kujua na muda huo madalali hupata nafasi ya kuwachomekea wateja maeneo mabovu.
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

    ==== Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anayemaliza muda wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametaja kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli, na matukio yaliyofuata baada ya tukio hilo, kama moja kati ya changamoto kubwa alizokabiliana nazo kwani Jeshi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kukiita kipindi cha UMBEA ICU ni kuikosea heshima taaluma ya Afya ,wahusika mnakosea sana .

    Habari wana Jf , Hivi unawezaje ita kipindi cha umbea jina la Chumba ambacho ni chumba maalumu cha wagonjwa mahututi wanao pigania uhai wao ? Kibaya zaidi unavaa sare za wahudumu na kuanza jadili umbea ,nadhani ni kebehi na kukos heshima kwa watumishi wa afya .
  13. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Usiache Kufanya Haya katika Kipindi cha Uongozi Wako

    Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la ujenzi wa shule ya sekondari kila kata limekuwa na msaada mkubwa kwenye jamii tofauti na huko nyuma...
  14. Zogolo1550

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  15. Championship

    JamiiForums Tanzania Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

    Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake. Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa. Mtume Petro naye alikumbusha kuombea...
  16. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Kuna kipindi unaomba ardhi ipasuke

    Yaani huyu mtu sio wa humu nimefundishwa humu niache umalaya wa mdomo nije kusocialize. So kuna jamaa yangu mmoja anamzungu huyu jamaa alitoka tz akaenda kusoma sasa kwa miaka mingi akarudi na mkewe nawatoto. Kama kawaida wakamkanyaga akafilisika kiasi fulani so hivi ninavyoongea asingekuwa...
  17. big dreamer

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani kwa kipindi hiki cha mwezi 1 kwa mtaji huu

    Wasalaam wakuu,,, UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya) Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa...
  18. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi kipindi Kama hiki Ngoswe halikuwa ameshapeleka Maombi ya sensa ?

    Wakuu eti kipindi Kama hiki Ngoswe alikuwa Ameshapeleka Maombi ya Sensa?
  20. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo kwenye kipindi kigumu sana na kwa bahati mbaya kuna dalili za hali kuzidi kuwa mbaya

    Ishawahi kukukuta siku ambayo mpaka umefika mchana wa saa 9 hujaweka kitu tumboni, sio kwamba umefunga hapana bali huna hela ya kula? Ukaona kimbilio pekee ni kumtafuta mtu wako wa karibu akukopeshe angalau hela ya kula tu ili uondokane na zahma inayokukuta. Ukamtafuta wee kwenye simu bila...
Back
Top Bottom