Napendekeza tumpe tuzo ya demokrasia Mama Samia: Kama alivyofanya BAWACHA

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
836
3,315
20240701_192614.jpg

Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi.

Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe.

Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia kuboresha demokrasia na utawala bora.

Mama amefungua nchi na demokrasia inaonekana.

Mimi nitaghramia materials na designing.

Naomba tuungane tifanikishe ili jambo na mpendekeze tuuiite vipi hii tuzo?
 
View attachment 3165291

Duuuh!!!! hii kali 🤣
 
Erythrocyte
 
Chadema ndio chama cha kwanza duniani kutoa tuzo ya demokrasia kwa rais aliyepo madarakani.

Tuwaunge mkono na sisi JF tutoe tuzo yetu.
Hakika mkuu na nadhan walifanya hivi hili wamkomoe magufuli wakaja na mbweeembwe mara mama anaupiga mwingi mpka unamwagika sasa hivi hawaelewi wasifie wakosoe au wanyamaze tu wapo wapo kama yatima
 
Mama Samia ni chuma cha reli kabisa, kapiga kwenye mshono bila huruma
 
View attachment 3165291

Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi.

Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe.

Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia kuboresha demokrasia na utawala bora.

Mama amefungua nchi na demokrasia inaonekana.

Mimi nitaghramia materials na designing.

Naomba tuungane tifanikishe ili jambo na mpendekeze tuuiite vipi hii tuzo?
Unawatafutia wadau ban kijana.
 
Peleka ujinga na uwendawazimu wako huo huko Lumumba...

Pendekezo la kijinga toka kwa mtu mjinga kwa ajili ya eti kumpa heshima kiongozi asiyestahili heshima yoyote...

Heshima ya mtu haimo kwenye mavazi na suti zake nzuri anazovaa au uzuri wa umbo la mwonekano wake...

Uzuri na heshima ya mtu inapimwa kwa matendo yake...

Bi Samia Suluhu Hassan ni kiongozi failure asiyestahilu kupewa heshima yoyote...

Labda tumwache aende zake kwa amani tu na kumwambia asante kwa kuwa "kinyago cha u-Rais" tu ktk ikulu yetu kwa miaka 4. Nenda, nenda zako salama bibi huko kwetu Kizimkazi - Zanzibar...!!
 
Hakika mama anastahili tuzo CCM imeshinda kwa asilimia 98 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa vitongoji na vijiji
Vyama vyote vya upinzani havina ata aslimia 3.
 
Hakika mkuu na nadhan walifanya hivi hili wamkomoe magufuli wakaja na mbweeembwe mara mama anaupiga mwingi mpka unamwagika sasa hivi hawaelewi wasifie wakosoe au wanyamaze tu wapo wapo kama yatima
Sasa hivi wanasema bora Magufuli kuliko huu muziki 🤣
 
Hakika mama anastahili tuzo CCM imeshinda kwa asilimia 98 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa vitongoji na vijiji
Vyama vyote vya upinzani havina ata aslimia 3.
Mama ametutoa kwenye zama za giza anastahili tuzo.
 
View attachment 3165291

Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi.

Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe.

Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia kuboresha demokrasia na utawala bora.

Mama amefungua nchi na demokrasia inaonekana.

Mimi nitaghramia materials na designing.

Naomba tuungane tifanikishe ili jambo na mpendekeze tuuiite vipi hii tuzo?
Mbowe alifanya huu ujinga hastahili kuwa mwenyekiti.. naenda na lissu
 
Back
Top Bottom