kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi makini hapa Afrika ukasimamia haki na maslahi mapana ya taifa lako uhai wako unakuwa hatarini

    Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao. Wote wawili waliuawa bila hata huruma. Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la Kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa. Adui wa kwanza huwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Shamsi Vuai Nahodha si aliwahi kuwa Waziri Kiongozi Zanzibar?

    Ukiwa waziri kiongozi wa Zanzibar si unalipwa hadi kufa? Sasa ubunge wa Viti Maalum wa nini tena?
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Mangula, Mbatia, Lipumba na Duni kushiriki Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano

    Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake. Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania IS yathibitisha kifo cha kiongozi wake Quraishi na kumtaja mrithi wake

    Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla.Image caption: Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla. Kundi la Islamic State (IS) limemtaja kiongozi...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ludewa: Kiongozi wa CHADEMA apiga magoti kuishukuru CCM kwa kutekeleza ilani yake. Hii ni baada ya mto Ruhuhu kukamilika

    Diwani wa kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

    Mshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili. Ramzan Kadyrov ni kiongozi wa Chechnya ambaye ana cheo cha Meja Jenerali ktk mojawapo ya majeshi ya Russia na pia...
  7. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

    Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua. Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Trump alikuwa kiongozi imara ndio maana Putin alivamia Ukraine kipindi cha Obama (2014) na anaendelea sasa kwa Biden

    Kipindi cha obama Russia iliivamia Ukraine wakajimegea mkoa wa Crimea. Kipindi hiki cha Joe Biden, Russia anaimega huko ukraine mikoa miwili Kipind cha Trump , Putin hakuthubutu. Kiukweli Obama na Bidden ni maraisi ambao wanapaishwa sana na media kuanzia magazeti mararufu kama New York Times...
  9. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania Hii hapa single ya Shaka Hamdu Shaka Kumbe kiongozi huyu ni msanii mzuri

    Shaka Hamdu Shaka ni kiongozi mahiri anayeweza kuteka karibu kila kundi, Hebu tazama hii treilor (kionjo) cha song kali linaloandaliwa katika studio maarufu zaidi hapa nchini, Tunahitaji viongozi wabunifu na mahiri katika vyama na Serikali ili kuliletea Taifa maendeleo kwa haraka,
  10. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

    Argentine court starts trial of Catholic bishop accused of sexual abuse By Agustin Geist BUENOS AIRES, Feb 21 (Reuters) - The trial of a Roman Catholic bishop accused of sexually abusing young men in northern Argentina will start on Monday, in the latest court case to highlight allegations of...
  11. Leak

    JamiiForums Tanzania Kiongozi analazimika kufuatana na Mwenza wake kwenye safari za kikazi na shughuli za Kitaifa nje na ndani ya nchi?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza ikiwa ni lazima au ni busara kiongozi kufuatana au kuambatana na mwenza wake akiwa kwenye shughuli muhimu za kitaifa ndani na nje ya nchi, hili ni jambo la busara au la lazima? Yani Viongozi wenzio uko duniani wanakuona kila leo kama uko single wanashindwa kujua...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kiongozi mwandamizi ajitolea kumtetea Mbowe mahakamani asema hata Mkapa alimtetea Profesa Mahalu pale ilipolazimu!

    Kiongozi mmoja mstaafu aliyehudumu katika awamu ya kwanza hadi ya nne na ambaye hayati Magufuli alisema Rekodi yake haitavunjwa amesema atamtetea Freeman Mbowe mahakamani endapo Peter Kibatala atatoa baraka zake. Mstaafu huyo amesema anamjua Freeman na anaijua Chadema lakini pia anazijua fitna...
  13. kunta93

    JamiiForums Tanzania Leo nimeyakumbuka maneno ya kiongozi wa Upinzani Uganda, Bobi Wine

    Mwaka 2016 Y.K Museveni alitanganzwa mshindi kwenye uchaguzi wa Raisi huku mpinzani wake Col Dkt kizza Besigye akiwa gerezani katika kipindi chote cha kuhesabu kura na utangazaji matokeo Baada Raisi Museveni kuapishwa kua raisi wa nchi hiyo na kuanza majukumu yake ndipo Col Dkt kizza besigye...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Mwanasheria mahili sana ila sio kiongozi wala mwanasiasa mzuri

    Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini. Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani. Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake. Mara zote...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Vitabu vya Kiimani (Dini) vimepinga Mwanamke kuwa Kiongozi / Mtawala?

    Na je, Mwenyezi Mungu aliona nini mpaka Kulisemea hili mpaka Kusisitiza kabisa kuwa Mwanaume ndiyo awe Kiongozi na kuainisha Majukumu ya Mwanamke na Ukomo wake? Kwenye Kitabu cha Quran (cha Waislamu) hiyo Aya nimeiona na imesisitizwa kweli kweli na naomba kama kuna anayejua Aya inayosema hivi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu Tanzania tukawa na utaratibu kiongozi wa Serikali achaguliwe na Bunge

    Kiongozi wa nchi yetu anapokuwa ni Rais anakuwa na mamlaka makubwa sana. Yeye hawajibiki popote na kwa yoyote. Kwanini tusiwe na utaratibu kama wa Uingereza, India, South Africa, Canada. Tuwe na Rais au Waziri Mkuu amabaye atakuwa kiongozi wa taifa letu, ila atakaewajibika chini ya Bunge...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa juu wa Iran awakosoa Rais Biden, Trump asema wameharibu sifa ya Marekani

    Picha: Ayatollah Ali Khamenei Kiongozi wa juu kabisa mwenye usemi wa mwisho nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amewatuhumu Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden, na mtangulizi wake, Donald Trump, kwa kuiharibu sifa ya Marekani. Ukosoaji huo wa moja kwa moja ni hatua ya nadra kufanywa na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kiongozi aliyeshawishi mawaziri wakuu wastaafu Wawili kujiunga Upinzani ni halali yake kulindwa na Makomandoo. Tupunguze Wivu!

    Ukiifahamu protokali ya nchi yetu utaona ilivyo kazi kubwa "kupenya" hadi kuwafikia mawaziri wakuu wastaafu na kuwashawishi wajiunge na chama kinachoipinga CCM. Freeman Mbowe alifanya kazi kubwa na ya kijasiri kuwashawishi mzee Lowassa na mzee Sumaye ambao wanalipwe pensheni na serikali ya CCM...
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Geronimo Pratt: Kiongozi wa Black Panther na Godfather wa Tupac aliyeishi Tanzania baada ya FBI kumbakikia kesi iliyomweka gerezani miaka miaka 27

    Elmer "Geronimo Ji-Jaga" Pratt Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa Tanzania, basi utakuwa unaikumbuka ngoma kali ya Nako2Nako inayoitwa We Ndiyo Mchizi Wangu Remix (2008) iliyowashirikisha marapa kibao kama vile Fid Q, Geez Mabovu, Babuu, Mwana FA, Temba, Mansu Li n.k Ukiisikiliza vizuri ngoma...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Arusha na Kilimanjaro hawajawahi kunyenyekea mwanasiasa wala kiongozi: Miaka yote wamekataa kutawaliwa wanaongozwa

    Nawapongeza wachaga, waarusha, wairaq, wambulu, waMeru na Wamasai kwa kukataa kutawaliwa. Hawa watu toka enzi ya mkoloni walimkataa mkoloni kwa vitendo, mkoloni alipobaini ni vigumu kuwatumikisha akaamua atumie wamishenari kwa ajili ya kutangaza injili kurahisisha njia ya kuwatala lakini...
Back
Top Bottom