Hivi karibuni, serikali ya Marekani ilitangaza kuipatia Ukraine msaada mwingine wa kijeshi wenye thamani ya dola milioni 800, ikiwa ni pamoja na mabomu aina ya cluster ambayo yamepigwa marufuku na sheria za Marekani yenyewe. Cha kuchekesha ni kuwa, mwishoni mwa Februari mwaka jana, siku tano...