kinyume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kushiriki mapenzi ya kinyume na maumbile ni kosa kwa mujibu wa sheria

    Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na kutumia via visivyo vya uzazi kufanya mapenzi, kwa mfano kutumia sehemu ya haja kubwa kufanya ngono, kutumia midomo, vidole n.k Kasi ya uovu huo inatisha kote nchini. Imefikia mahali imekua kama fashion. Usipofanya huo uchafu mnapokua faragha...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais anachaguliwa na sio anajichagua yeye mwenyewe kinyume na Katiba. Jeshi kumpigia saluti ni uasi, yeye sio Rais wetu

    Rais anachaguliwa na sio anajichagua yeye mwenyewe kwa njia za kinyume na katiba jeshi kumpigia saluti ni uasi yeye sio rais wetu ni muhaini.
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa. Ni kinyume na sheria pia

    Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa kinyume cha sheria pia
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 11 kutoka Marekani waishtaki Serikali ya Ghana kwa Kuzuiliwa kinyume cha Sheria

    Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa wateja wake hawajavunja sheria yoyote ya Ghana, lakini walihifadhiwa kwenye kambi ya kijeshi bila...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: Magari ya wanaCCM yakiwa na rangi za kijeshi kama magari ya kivita kinyume na utaratibu

    Hii si imezuiliwa kisheria?
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wamiliki silaha kinyume na sheria kusamehewa

    Jeshi la Polisi kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya Mwaka 2015, Sura ya 223 na marejeo ya mwaka 2023 ametoa msamaha wa kutoshitakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KINYUME NA IMANI YA WENGI: WANAUME NI WENGI KULIKO WANAWAKE

    Kinyume na WENGI wanavyo dai, idadi ya wanaume ni kubwa kuliko WANAWAKE. Hii ni kwa mujibu wa takwimu za mwaka hii 2025. https://m.statisticstimes.com/demographics/world-sex-ratio.php
  8. sameer0220

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoga matusi nenda kinyume na CHADEMA

    Tatizo huwa ni nini hasa kwa wafuasi wa CDM kwamba ukiwauliza swali ili ujifunze unapewa matusi Ukienda kinyume na maono yao unashambuliwa NB mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtu huru😅
  9. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Boniface Mwangi aondolewa mashitaka ya ugaidi, sasa akabiliwa na kosa la kumiliki risasi kinyume cha sheria

    Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imeondoa mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mwanaharakati Boniface Mwangi, ambaye sasa anakabiliwa na mashitaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria. Mwangi, ambaye ameachiwa kwa dhamana, awali alishtakiwa kwa kusaidia shughuli za kigaidi kufuatia...
  10. haszu

    JamiiForums Tanzania Ugumba/kutokushika mimba ni kati madhara ya mapenzi kinyume na maumbile ambayo sijawahi isikia ikizungumzwa.

    Mara nyingi watu huzungumzia madhara ya kuvaa pempas kwa anaefanyiwa au kuziba kwa mirija kwa anaefanya, ila nimeshangaa kuona pia kitendo hiki hupelekea mwanamke kutoshika mimba. Mwanaume anapomwaga, kwakua eneo lile sio sahihi, mwili hutengeneza ant-bodies kujilinda, kitendo hiki kinafanya...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kupakua Video Youtube ni Kinyume cha Sheria. Askari aliyefanya hivyo ashtakiwe kwa jina lake

    Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi. Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube inamtambua mtu yeyote atakayetumia njia nyingine kupakua video za mtandao huo kuwa ni JANGILI na ni...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Manispaa ya Mpanda imelipa Tsh. 220M kinyume na utaratibu, yakaletwa mabati yasiyo na kiwango

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, imebaini mabati yenye thamani ya fedha Sh Milioni 220 yaliyonunuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Katavi na Sekondari Rungwa kuwa yako chini ya kiwango. Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mchakato: Learn → Get Experience → Build networks → ndipo uwaze mtaji, Watanzania wengi wanafanya kinyume ndio maana wanafeli

    Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji. Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji ili kuanza biashara lakini jambo hili kwenye process nzima inabidi iwe hatua ya mwisho kabisa. ndio...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya uchunguzi kuhusu uchangishaji fedha kinyume na taratibu kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya mkuu wa wilaya ya Maswa

    Kwa Waziri,Mh Mohamed Mchengerwa,Waziri wa TAMISEMI. Sisi wafanyabiashara wa mji wa Maswa kunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utaratibu unaoendelea wa kuchangishwa fedha na Katibu Tawala wa wilaya ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya. Taarifa...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sheikh adai dini iko kinyume dhidi ya biashara ya kuuza maji.

  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Vodacom: Kuna watu ndani ya system wana wahujumu ndani ya siku hizi mbili mabando yanakatwa kinyume na utaratibu

    Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf. Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unaweza ukawa Wife material na bado Dunia ikawa kinyume na wewe. Ndoa ikawa ngumu kwako. Fanya haya.

    UNAWEZA UKAWA WIFE MATERIAL NA BADO DUNIA IKAWA KINYUME NA WEWE. NDOA IKAWA NGUMU KWAKO. FANYA HAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli wapo wife material ambao hawajaolewa na ambao wanahangaika Kupata ndoa. Na wapo wife material ambao wameolewa lakini ndoa ni ngumu kwao. Wamepata...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumbe Saudi Arabia ni kinyume cha sheria kushuhudia Ukristo/Injili ili kuwabadilisha watu dini!

  19. R

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa na kutumia degree za heshima ni huu kwa dunia nzima. Watu wanapenda kuitwa Doctors (Drs) na Professors ( Prof) kinyume na taratibu

    by Prof Shivji Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions of higher education. HUU HAPA NDIO UTARATIBU WA DUNIA NZIMA . 1. Awadees msitumie hizo titles before...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kushikilia kadi za benki za Watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa ni kinyume cha Sheria

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Abdul Mtaka, ametoa agizo kwa taasisi zenye tabia ya kushikilia kadi za benki za watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa kuacha mara moja vitendo hivyo kwa kuwa ni kinyume cha Sheria. Agizo hilo amelitoa Wilayani Rorya...
Back
Top Bottom