Afungwa miaka 30 kwa kosa la kuingilia kinyume na maumbile

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
Mahakama ya Mkoa wa Vuga, leo tarehe 31/10/2023 imemhukumu mshtakiwa MOH'D ALI HASSAN (35) Mkazi wa Jumbi Uwandani Unguja kutumikia kifungo cha miaka 30 Chuo cha Mafunzo (jela) kwa kosa la Kuingilia kinyume na maumbile.

Awali mshtakiwa huyo alimuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 06 jambo ambalo ni kosa, kinyume na kifungu cha sheria 133 (a) cha sheria ya adhabu namba 6/2018 Sheria ya Zanzibar.

Akisoma maelezo ya hukumu hiyo, Hakimu wa mahakama hiyo Mhe. TAKI ABDALLAH amesema Mahakama imejiridhisha na ushahidi uliotolewa mbele ya mahakama ambao haukuwa na chembe ya shaka ambapo umemtia hatiani mtuhumiwa kwa makosa hayo.

Jumla ya mashahidi watano (05) walitoa ushahidi mahakamani hapo.

Kesi hiyo ilifunguliwa Mahakamani tarehe 21/08/2023 ambapo ilipewa kesi namba 127/2023.
 
Ilifaa apigwe paka afe
Bongo , chini ya 10yrs ni life sent.
Screenshot_20231013_222446_Drive.jpg
 
Mahakama ya Mkoa wa Vuga, leo tarehe 31/10/2023 imemhukumu mshtakiwa MOH'D ALI HASSAN (35) Mkazi wa Jumbi Uwandani Unguja kutumikia kifungo cha miaka 30 Chuo cha Mafunzo (jela) kwa kosa la Kuingilia kinyume na maumbile.

Awali mshtakiwa huyo alimuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 06 jambo ambalo ni kosa, kinyume na kifungu cha sheria 133 (a) cha sheria ya adhabu namba 6/2018 Sheria ya Zanzibar.

Akisoma maelezo ya hukumu hiyo, Hakimu wa mahakama hiyo Mhe. TAKI ABDALLAH amesema Mahakama imejiridhisha na ushahidi uliotolewa mbele ya mahakama ambao haukuwa na chembe ya shaka ambapo umemtia hatiani mtuhumiwa kwa makosa hayo.

Jumla ya mashahidi watano (05) walitoa ushahidi mahakamani hapo.

Kesi hiyo ilifunguliwa Mahakamani tarehe 21/08/2023 ambapo ilipewa kesi namba 127/2023.
Mahakama ya Vuga ina huruma sana.....

Huyo angepigwa maisha
 
Cc Faiza Fox
 
Mmbwa wenye mavazi ya Binadam ni hatari kuishi na binadamu, bora kuwaweka bandani, ni sawa kabisa.
 
Mahakama ya Mkoa wa Vuga, leo tarehe 31/10/2023 imemhukumu mshtakiwa MOH'D ALI HASSAN (35) Mkazi wa Jumbi Uwandani Unguja kutumikia kifungo cha miaka 30 Chuo cha Mafunzo (jela) kwa kosa la Kuingilia kinyume na maumbile...
Amekosea hukumu huyo hakimu. Ukibaka mtoto chini ya miaka 12 au ukamsodomize ni kifungo cha maisha jela. Upande wa mashtaka wakate rufaa haraka sana
 
Back
Top Bottom