kinyesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr. Zaganza

    Ijue afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

    Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo. Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba. Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni...
  2. Mwl Athumani Ramadhani

    Teknolojia ya usindikaji kinyesi cha wanyama (Biogas)na ukatikaji wa umeme uwanja wa taifa!

    Wakuu Mi nadhani Zama za kutegemea chanzo Cha umeme cha aina moja kama maji pekee na gesi kidogo imepitwa na wakati. Kilichotokea jana uwanjani kinatupa picha kuwa nyakati zimefika za kutotegemea kiitwacho grid ya Taifa ya umeme wa aina moja, Taasisi lazima ziwe na umeme wa kujitegemea kama...
  3. R

    Msaada: Bata wanatoa kinyesi cheupe, ni ugonjwa gani huu na tiba yake ipoje?

    Bata wanakunya kinyesi cheupe (kawaida huwa wanatoaga kinyesi cheusi), hawana kabisa hamu ya kula, kunywa maji na wanaishiwa nguvu na kutembea goigoi. Please, nisaidieni ni ugonjwa gani na tiba yake.
  4. Mokaze

    Pale kinyesi cha mnyama kinapotengenezwa kupata kinywaji ghali Duniani

    Habari zenu wakuuu. Huko Indonesia kwa muda sasa wamegundua njia bora ya kuzalisha kahawa bora inayoitwa "Luwak coffee" kupitia kinyesi cha mnyama wanayemuita Luwak au "Civet cat". Mnyama huyo pamoja na vyakula vingine anapenda kula mbegu mbivu za kahawa (buni), kwakuwa tumbo lake haliwezi...
  5. Unique Flower

    Eti mtatumia mkaa wa kinyesi cha binadamu??

    Watu wajf je mtatumia mkaa wa vinyesi vya binadamu??
  6. N

    VIDEO/AUDIO:TUNDAMAN ATOA SINGELI KUHUSU KINYESI FC

    watu weweweeeeeee waleteeee waleeeeetee maaaaamaaaaaaaaaaaaaaaa
  7. Jemima Mrembo

    Natafuta kwa udi na uvumba dawa ya kuondoa vyakula tumboni ili kitambi kiishe haraka

    Nimechanganyikiwa kichizi, bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney. Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni. Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati.
  8. sky soldier

    Kuna ndugu wengine wakija kwako ni changamoto sana

    Kule chooni unapomaliza shughuli zako, huwa kuna zoezi la kuflashi ama kumwaga maji ili choo kiende, ila amini usiamini kuna choo hata uki flashi mara ngapi kitaibuka tu, hakunaaga utofauti na aina ya watu hawa. - Kuamka saa tatu ama nne asubuhi. - Muda mwingi ni kuchati, kupeleka playstation...
  9. M

    Samaki kufa kwa kinyesi na mkojo wa ng'ombe inawezekana ,lakini samaki wa mto mara wamekufa kwa sababu hiyo?

    Wasalaaamu ndugu , jamaa na marafiki wa JF . Haika nawathamini sana. Kila mmoja wetu amepata kushituka kwa taarifa ya wasomi wetu nguli wa mambo ha mazingira kwa kusema samaki katika mto mara wamekufa kutokana na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Kabla ya kupinga au kuunga mkono majibu ya tafiti...
  10. Roving Journalist

    Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na...
  11. Roving Journalist

    Dar: Hospitali ya Dar Group inanuka kinyesi kila sehemu

    Salaam Wakuu, Usalama wa wagonjwa hatarini katika hospitali ya Dar Group iliyopo Tazara Jijini Dar es Salaam. Mazingira yote ya hospitali yananuka kinyesi kutokana na kutozibuliwa Kwa chemba za kuhifadhia maji taka. Wagonjwa Wengine wanashindwa kuvumilia na kuondoka kwenda kwenye hospitali...
  12. Faana

    Arusha: Kinyesi cha Binadamu Chatumika Kutengeneza Mkaa

    Kutoka BBC asubuhi hii, kuna vijana wabunifu wakazi wa Arusha wamekuja na mkaa unaotokana na kinyesi cha binadamu. Ni mkaa usio na athari yoyote kiafya hata kama mtu atalala nao ndani Ni mkaa unaokaa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida. Huwezi kuuzima na maji kama mkaa mwingine Hauna moshi...
  13. Subira the princess

    CCM kwa haya yanayoendelea ni kama wanajipaka kinyesi

    Wasalam: Kwa hali ilivyo, na jinsi nchi inavyoendeshwa kwa matamko na kuvunja Katiba, jumlisha kauli kinzani za wana CCM zinazowagawa watanganyika huko mbele itakuwa kazi ngumu kuwaunganisha, maana watu wamepoteza imani. Mambo yafuatayo yameligawa taifa: 1. Ugonjwa wa Corona ccm hawa hawa...
  14. P

    Tukikubaliana na dhana za kuikejeli elimu kisa Profesa Muhongo kakejeliwa tutapotea kama Taifa

    Mheshimiwa Msukuma amepata umaarufu mkubwa siku za karibuni haswa kwa kumkejeli Profesa Muhongo mwenye kuamini kwamba umeme wa gesi ni suluhisho la suala zima la nishati hiyo. Ni mawazo ya Profesa Muhongo na anao uwezo wa kuyatetea kwa hoja kila anaposimama na kuongea bungeni. Naona kama...
  15. J

    Ijue Afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

    Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo. Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba. Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni...
  16. D

    Niliwahi kusikia umeme wa chooni una nguvu, lakini hadi leo hakuna mwanasayansi hata mmoja aliyewahi kuvuna kinyesi tupate umeme

    Tangu miaka ya zamani tuliaminishwa hivyo" Kwamba karo la choo likiwa na kinyesi liwauwezo wa kuzalisha Megawatt za kutosha! Sijui kwanini hadi Leo wanasayansi wapo kimya! Yamkini tungekuwa na STIEGLERS ndogo ndogo kila mtaa!
  17. No Escape2

    Mradi: Mbolea ya kinyesi cha Binaadamu

    Wakuu nisiwachoshe sana, Naomba mwongozo kwa anaeweza kunisaidia kuanzisha kiwanda cha uzalishaji mbolea hii adimu kuhusu malighafi ipo ya kutosha! Mnisaidie pa kuanzia ili niweze kuandaa mashine, mtaji na jambo lolote ambalo mnahisi litanisaidia kunzisha mradi huu na pia Alie tayari kuungana...
  18. AbuuMaryam

    Tatizo hili linanitisha juu ya mwanangu. Msaada jamani!

    Mwanangu baada ya kumpa uji leo asubuhi niliochanganya na mafuta ya Habbat souda na asali... Akawa anajiangalia tumbo lake kama analipiga piga.. Nikadhani linamuuma labda au ameshiba sana... Shida alipojisaidia toka asubuhi yake kabla sijampa huo uji nilioeleza hapo. .. ALIJISAIDIA KINYESI...
Back
Top Bottom