Ninaishi peke yangu inje ya nchi, Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia, jumanne alinitembelea binti mmoja nikajikuta nagonga dry.
Kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata, ikabidi jana Jumamosi nikanunue vipimo vya UKIMWI nijipime mbele yake kumshawishi ili...