Hii ndiyo sindano inayozua gumzo kwa wachomwaji wa kinga dhidi ya corona.

Status
Not open for further replies.

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
9,235
2,000
Chukua tahadhari binafsi kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko mikubwa isiyo ya lazima.

Tuendelee na mada.

Kwa siku kadhaa zilizopita nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya raia wakiuliza kuhusiana na uhalali wa chanjo ya Covid19 na wengine kusema imechukua kipindi kifupi sana cha ugunduzi hata bila majaribio kadhaa kupitia wanyama, makundi ya binadamu mpaka kuhidhinishwa kuwa kinga hii inafaa kutumiwa duniani kote.

Pamoja na yote kumekuwepo na hisia za ajabu kwa raia wema kushtukia viongozi wakuu wa mataifa kadhaa duniani kuwa wanapewa chanjo ili kufisha na kuhadaa wananchi kupitia luninga.

Moja ya hadaa hiyo ni pale wanapodungwa sindano ya chanjo kuwa, ile sindano na bomba lake si halisi na kinachofanyika ni kuonyesha wananchi wao kuwa wamepokea japo si kweli.

Hapa chini kuna video fupi za aina ya sindano na jinsi inavyofanya kazi kuficha uhalisia wa tukio.

Ukiachana na video hizo juu kuna clip hii hapa chini, bado haijawa wazi kwa nini sindano imeshindikana kutolewa kifuniko chake ili iweze kuingia moja kwa moja kwa mpewa chanjo ila inatumika na kufichwa au kuondoa kamera watu wasijue kilichoendelea.Karibu kwa mjadala...
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
9,112
2,000
Yani kabisa sindano inatolewa ikiwa dawa imejaa kwenye bomba, hivi wangetaka kuficha ukweli wangetumia njia hiyo ya kijinga ambayo hata mtoto tu angewastukia?
Hiki ndo ambacho najiuliza haiwezekani hapo eti wawe wanahadaa watu kwa uwazi namna hiyo.

Bila shaka kuna jambo walikuwa wanafanya na hivyo kwamba lugha yao hatuielewi basi wabongo wanazidi kutia mauongo yao.
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
17,245
2,000
Mbona kukiwa na makabidhiano ya pesa hua tunatumia mfano wa hundi na uzinduzi unafanyika, hata hapa kama lengo ni kuzindua inatosha kwa sasa.

Anaetaka, achome, asietaka akae kimya. Nafikiri ifike mahali tujitahidi kuficha kiwango cha ujinga. Kunyamaza wakati mwingine huhesabiwa hekima.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
15,907
2,000
Kichwa kama bumunda
Chukua tahadhari binafsi kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko mikubwa isiyo ya lazima.

Tuendelee na mada.

Kwa siku kadhaa zilizopita nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya raia wakiuliza kuhusiana na uhalali wa chanjo ya Covid19 na wengine kusema imechukua kipindi kifupi sana cha ugunduzi hata bila majaribio kadhaa kupitia wanyama, makundi ya binadamu mpaka kuhidhinishwa kuwa kinga hii inafaa kutumiwa duniani kote.

Pamoja na yote kumekuwepo na hisia za ajabu kwa raia wema kushtukia viongozi wakuu wa mataifa kadhaa duniani kuwa wanapewa chanjo ili kufisha na kuhadaa wananchi kupitia luninga.

Moja ya hadaa hiyo ni pale wanapodungwa sindano ya chanjo kuwa, ile sindano na bomba lake si halisi na kinachofanyika ni kuonyesha wananchi wao kuwa wamepokea japo si kweli.

Hapa chini kuna video fupi za aina ya sindano na jinsi inavyofanya kazi kuficha uhalisia wa tukio.

View attachment 1873320
View attachment 1873321

Ukiachana na video hizo juu kuna clip hii hapa chini, bado haijawa wazi kwa nini sindano imeshindikana kutolewa kifuniko chake ili iweze kuingia moja kwa moja kwa mpewa chanjo ila inatumika na kufichwa au kuondoa kamera watu wasijue kilichoendelea.

View attachment 1873327

Karibu kwa mjadala...
 
my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
1,801
2,000
Week 2 zilizopita mimi, mama, baba na wadogo zngu tumechoma chanjo hatujapata tatizo lolote mpk sasa. Ile sku ya kwanza kuchoma mama tu ndo kichwa kilimuuma na hii kwasababu ye mgonjwa mgonjwa tuliobaki hatujasumbuliwa na chochote hadi leo
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
10,057
2,000
Angalizo πŸ‘‡

1627645190038.pngPamoja na yote kumekuwepo na hisia za ajabu kwa raia wema kushtukia viongozi wakuu wa mataifa kadhaa duniani kuwa wanapewa chanjo ili kufisha na kuhadaa wananchi kupitia luninga.

Moja ya hadaa hiyo ni pale wanapodungwa sindano ya chanjo kuwa, ile sindano na bomba lake si halisi na kinachofanyika ni kuonyesha wananchi wao kuwa wamepokea japo si kweli.
 
Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
8,942
2,000
Inshu ni rahisi sana,kama hutaki kuchanjwa kaa kimya acha kupotosha umma..! Hivi mzungu akitaka kutuumiza anatukosa wapi? Yaani wewe umeshiba magimbi yako unakaa unasema eti wazungu hawana nia njema! Nosense!
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
9,235
2,000
Pamoja na yote kumekuwepo na hisia za ajabu kwa raia wema kushtukia viongozi wakuu wa mataifa kadhaa duniani kuwa wanapewa chanjo ili kufisha na kuhadaa wananchi kupitia luninga.
But umeelewa hapo☝🏾?.

Mwingine huyu hapa πŸ‘‡πŸΎ
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
9,112
2,000
Inshu ni rahisi sana,kama hutaki kuchanjwa kaa kimya acha kupotosha umma..! Hivi mzungu akitaka kutuumiza anatukosa wapi? Yaani wewe umeshiba magimbi yako unakaa unasema eti wazungu hawana nia njema! Nosense!
Hapo napo huwa najiuliza sana yani
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom