kilimo

  1. Optimists

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

    Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Korogwe wazindua kilimo mbadala Tarafa ya Bungu kuunga mkono jitihada za Rais Samia

    Afisa Tarafa wa kata ya Bungu Wilayani Korogwe Ndugu Peter Kahindi amefanya uzinduzi wa kilimo mbadala spices yaani viungo, karafuu, iriki ,mdalasini Tangawizi na nk. Akizungumza na waandishi wa Habari Peter Kihindi katika uzinduzi huo amesema lengo la kuzindua kilimo hicho ni kuunga mkono...
  3. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Vijana chaguo ni moj; Kilimo au VETA

    Maisha na mazingira ya sasa yanatulazimisha Vijana kuchagua KILIMO au VETA, Uwe na kazi, usiwe na kazi ili kujiongezea kipato zaidi ya mshahara ,siku zote tunajua mshahara hautoshi,Vijana kilimo NDIO Maisha., Wale wenzangu na mimi nyumbani pakavu utaamua wewe usubiri ajira kwenda tandahimba...
  4. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Kilimo partners

    Nipo Mbeya nafanya shughuri ya ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mwanzo mradi ulienda vizuri sana lakini nimekutana na changamoto ambayo imenifanya nianze upya. Wazo nililonalo ni kufanya kilimo cha bustani. Maeneo niliyopo kilimo cha nyanya, hoho, vitunguu, viazi mviringo na matango yanaruhusu...
  5. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wana kilimo naomba kujua zao la dengu jinsi ya kulima kiasi cha mavuno na bei

    WANA KILIMO NAOMBA KUJUA ZAO LA DENGU JINSI YA KULIMA KIASI CHA MAVUNO NA BEI
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo Kanda ya kaskazini msimu wa 2025

    Limeni mazao ya muda mfupi,mwaka wa njaa huu nimepita jana hakuna mvua, mvua zitakata mwezi mei ni mwaka wa wakulima waliovuna kuinuliwa, asanteni
  7. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Shirika au site inayotoa training ya mambo ya Kilimo.

    Wakuu,, Hivi ni Mashirika gani au site gani zinazotoa ofa za training za Kilimo bure kwa muda mfupi, Iwe hapa Tanzania au nje ya nchi.. Nitashukuru sana nikijulishwa ili nijaribu kuomba kulingana na wakati uliopangwa kufanyika kwa mafunzo husika kulingana na Kila training/course.
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliye

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Influencers wetu na wataalamu wetu wa kilimo pengine kuna mengi hawajui

    Ubunifu kama huu wenye tija Ungelisaidia sana taifa kwenye kipato ajira na mazingira
  10. Half american

    JamiiForums Tanzania Ipi mbegu nzuri/bora kwa kilimo cha maharage soya ya njano?

    Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake. Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na sokoni. Natanguliza shukrani.
  11. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo juu ya kilimo Cha tangawizi

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
  12. ankol

    JamiiForums Tanzania Shikamoo kilimo

    Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!. Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year. Ila kila nikikaa machale yananicheza. Page pendwa yangu ikawa tma. Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani. Refer hapa...
  13. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya kilimo cha chai Mufindi Iringa

    Kilimo cha chai katika Mkoa wa Iringa, Tanzania, kilianza wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwanzoni mwa karne ya 20. Wakati huo, mashamba ya chai yalianzishwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa, hususan katika wilaya ya Mufindi, ambayo ina hali ya hewa baridi na mvua za kutosha zinazofaa kwa kilimo...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Magereza lakabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 kwa ajili ya kilimo

    Jeshi la Magereza lakabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 kwa ajili ya kilimo Jeshi la Magereza, kupitia Mkuu wa Wilaya ya Geita, limekabidhiwa mbegu za alizeti kilo 500 zitakazotumika kupandwa kwenye shamba lenye ukubwa wa ekari 65. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mh. Martine Shigella, alieleza hayo...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama kila anayefeli anaambiwa akalime, basi kilimo kiwe somo la lazima kuanzia chekechea

    Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea? Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option ya kulima maana imeonekana ni kimbilio na mkombozi na option kwa wote wanaofeli malengo ya maisha...
  16. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Rasilimali za kilimo, ufugaji na uvuvi na mchango wake katika uchumi wa Tanzania

    RASILIMALI ZA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI NA MCHANGO WAKE KATIKA UCHUMI WA TANZANIA Tanzania ni nchi yenye utajiri wa rasilimali za asili ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa. Miongoni mwa sekta hizi ni kilimo, ufugaji na uvuvi. Sekta hizi zimekuwa uti wa mgongo wa uchumi wa...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji

    Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Viet Nam, Mhe. Le Thi Thu Hang...
  18. mrED

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa wanangu wa NETO

    Kilimo kinalipa wanangu wa NETO njooni tujaribu nahuku sasa kama kule kumegoma inakuaje mfano mpaka sasa hatuelewi kama oral tulifaulu au tumefeli. Majibu tuliyo nayo niya written tu
  19. A

    JamiiForums Tanzania NINA SHAMBA EKARI 15, LIPO MBEYA- CHIMALA. NATAFUTA MTU WA KUUNGANISHA NAE NGUVU TUFANYE KILIMO CHA ALIZETI.

    Kilimo cha umwagiliaji kinawezekana pia kwakua shambani kuna miti inayotoa maji mwaka mzima. 0625012562
  20. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania NAOMBA kujua kuhusu kilimo Cha tangawizi?

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
Back
Top Bottom