kilimo

  1. ADESIGN

    JamiiForums Tanzania Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo dar es salaam, kisiju (Iam seeking for a capital to start farming business in dar es salaam, kisiju)

    Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa heka 11 za kulimia tu, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba kisima...
  2. ADESIGN

    JamiiForums Tanzania Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo Dar es salaam kisiju( seekin for a capital to start farming here in Dar es salaam kisiju)

    Habari. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa shamba la kulikia na jamaa wa karibu heka 11, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba...
  3. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha madodoki,

    Kuna vitu ukivitaja unalima au unafanya watu wanaweza kukuona kama umechanganyikiwa jwa sababu kuu 1 tusha zoea yale mambo ya fuata mkumbo yale ya mass, yale mambo yanafanywa na wote.Kama ni kilimo basi tunalimwa wote. Madodoki wengi tunayajua sana hasa enzi za kuishi huko bush, Ila wengi...
  4. The Knowledge Seeker

    JamiiForums Tanzania Nawezaje / Tunawezaje kuuza nje mazao ya yatokanayo na kilimo

    Habari wana jamii wenzangu. Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu. Nimekaa nakutafakari namna na jinsi ambavyo ninaweza, au tunaweza kama vijana kutafuta masoko ya mazao yatokanayo na kilimo nje ya nchi. Mfano wa uchache wao ni kahawa, korosho, pamba karafuu na mengineyo Kwenye...
  5. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kilimo cha ufuta

    Habari zenu wana JF Natamani kulima ufuta Ila shida yangu ni kwamba sina utaalamu nao,. Naomba msaada kwa yeyote mwenye utaalamu wa hili zao. Asanteni
  7. A

    JamiiForums Tanzania Chimbo jipya la kilimo cha mahindi msimu huu

    Jf nimejifunza na kujua mengi. Kwa hili nililoliona nimependa pia kushiriki pamoja nanyi. Katika pitapita zangu za utafutaji kuna mahala nimekuta kilimo cha mahindi na maharagwe kinakubali haswa na hakijulikani kihivo. Kwa atakae hitaji kujuzwa anipm nimpe maelezo ajipambanie. Nitakupa location...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha pasheni

    Naomba mtaalam wa kilimo Cha pesheni anae fahamu vitu vifuatavyo. Anaejua mbegu nzuri na bora sokoni? Anaejua vipimo Vya kilimo Kwa mche na mche Anaejua muda wa kukomaa tunda hilo na njia za uvunaji mzuri na wenye tija shambani. Kiufupi nataka nisaidiwe elimu yote Kwa ufasaha kuanzia abc...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha nyanya

    Kati ya nyanya aina ya DHAHABU F1 na tanzanite ni ipi Ina sifa nzuri?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Serikali inasema kilimo na ufugaji ni muhimu nchini lakini effort yao haipo

    Ukiangalia sector ya kilimo na ufugaji hutupatia fedha nyingi na ajira nchini lakini serikali haiweki macho katika nyanja za mwanzo na zenue kuleta wataalam katika sector hizi. Ukiangalia katika ufugaji na vyuo vyao majengo ni ya mwaka 1950 na ni maeneo wanayotakiwa kusomea maafisa wakuja...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo Hai (Organic Farming)

    Habari wakuu . Naomba msaada wapi nitajifunza Kilimo Hai cha mbogamboga, JijiniArusha. Nahitaji kulima mbogamboga zisizotumia kemikali wala mbolea za viwandani.
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha, Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia

    Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na kusherehekea uandishi wa habari uliotukuka kwenye masuala muhimu yanayohusiana na kilimo endelevu...
  13. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaponda kilimo licha ya soko la bidhaa yake kuwa na uhakika?

    Hapa nazungumzia kilimo biashara, sio kilimo cha kutegemea mvua, ukimwambia mtu nataka niende nikalime kati ya watu 10, 9 watakukatisha tamaa, juu ya hasara waliowahi kuzipata kwenye kilimo, lakini hawatuambii walichokosea mpaka wakapata hasara kwenye kilimo, sasahivi mahindi gunia ni 90,000/...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Simiyu aagiza Afisa Kilimo wa Wilaya Meatu ahamishwe kwa kushindwa kutekeleza majukumu kikamilifu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoa wa Simiyu kumhamisha mara moja kituo cha Kazi Afisa Kilimo wa Wilaya ya Meatu, Thomas Shilabu kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Aidha, Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoani Simiyu kuwabadilishia vituo...
  15. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maembe ya kisasa

    Katika hekaheka za kujiandaa kustaafu miaka 7 baadae nimeamua nipande miche kama 500 yaani ekari 10 za maembe kisasa. Shamba lipo Tabora kwa sasa naendelea kuchimba mashimo. Nitapanda bila mbolea ya samadi ila taweka NPK baada ya miezi 3 ikiwa imeshika. Mpango wangu miche 450 ipone ili...
  16. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kupata umaarufu katika soko la China

    Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatafanyika hivi karibuni mjini Shanghai. Ili kutekeleza kihalisi hatua za ushirikiano zilizofikiwa kwenye Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024, eneo maalum la kuonesha bidhaa za...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba kubwa kwa kilimo linauzwa Njombe Vijijini

    Habari, Kwa niaba ya ndugu yangu, wanauza eneo la shamba kubwa kwa uwekezaji wa kilimo. 1) Wapi? Ngalanga, njombe vijijini 2) Ukubwa? Ekari 100+ 3) Umbali toka barabara kuu: 5km 4) Hali yake: halijalimwa mda kidogo 5) Bei?...600k kwa ekari 1 na linauzwa lote kwa pamoja sio kwa ekari moja...
  18. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu kilimo Cha bamia

    Wakuu habari Aliwahi kulima kilimo Cha bamia , naomba uzoefu 1. Mbegu nzuri yenye kukua Kwa haraka 2. Mbolea gani nzuri na dawa za kuulia wadudu 3. Upande wa sokoni 4.Kwa heka moja naweza kupata kiasi gani Hapa, teyari Nina pump ya kumwagilia, shamba lipo , na maji Yana flow through...
  19. Tarimofundiumeme

    JamiiForums Tanzania Pampu za Solar kwa kilimo cha uhakika

    Solar water pump, zinapatikana kwa bei ya punguzo. Ili kujua bei na pampu inayokufaa tupe maelezo yafuatayo -Aina ya chanzo cha maji. -umbali toka chanzo hadi maji yapohitajika kufika. -mwiunuko upo au haupo, -urefu wa kisima . -na matumiz ya kilimo au matumiz ya nyumbani. Kumbuka pampu zetu...
  20. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
Back
Top Bottom