kilimo

  1. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Faida za mkojo wa sungura kwenye kilimo

    FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE KILIMO Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana. Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato kizuri kupitia ufugaji wa sungura. Lakini sungura Wana umuhimu Sana kwenye kilimo. Mkojo wa sungura una umhimu mkubwa Sana...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 bilioni 102 ziliidhinishwa kupelekwa kujenga chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere, Wamefikia wapi ?

    Shilingi Bilioni 102 ziliidhinishwa 2023 kwajili ya ujenzi mkubwa wa chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere Butiama. Awali chuo hicho kilianziswa 2010 lakini hakikuwahi kudahili wanafunzi, ndipo likawekwa pendekezo la kukijenga vizuri. Kuna kinachoendelea ?
  3. Ebrahim98

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha muhogo

    Habari Guys, natumaini mpo salama. Mimi ni mgeni wa kilimo, naomba kuuliza... ekari 6 za kikimo cha muhogo, kilicho tunzwa kawaida, kina wastani wa chini wa gunia ngapi? Nineuliza sababu nilisikia watu wakibishana hakivuki gunia 100!
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yanadi fursa za biashara na Wawekezaji Vietnam, waelezewa fursa za ujenzi, uvuvi wa kisasa, kilimo na kilimo cha korosho

    Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Namibia: Waziri wa kilimo afukuzwa kazi kwa tuhuma za ubakaji msichana wa miaka 16

    Waziri wa Kilimo wa Namibia, Mac-Albert Hengari, amefukuzwa kazi baada ya kutuhumiwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 16 miaka mitano iliyopita. Kwa mujibu wa polisi, Hengari alikamatwa siku ya Jumamosi baada ya kudaiwa kujaribu kumhonga mlalamikaji, ambaye sasa ana umri wa miaka 21, ili...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deodatus Mwanyika amuomba Rais Samia amrejeshe tena Hussein Bashe kuwa waziri wa kilimo baada ya uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge viwanda, biashara, Kilimo na Uvuvi Deodatus Mwanyika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan mara baada ya Uchaguzi Mkuu amrejeshe katika nafasi yake ya uwaziri wa Kilimo,Hussein Bashe Ili aendeleze mazuri yanayofanyika katika...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na mageuzi ya kilimo, benki mpya kwa wakulima

    Katika uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka mkazo mkubwa kwenye kuimarisha sekta ya kilimo (sekta inayoajiri 60% ya watanzania), hatua inayojenga msingi wa maendeleo jumuishi ya taifa. Tathmini ya sera, mikakati na hatua zilizochukuliwa zinaonyesha mwelekeo mzuri wa kulibadilisha...
  8. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaondoa zuio la Mazao ya Kilimo kutoka Malawi

    Hii hapa taarifa Rasmi Tanzania imekuwa na uhusiano mzuri wa kibiashara na Malawi katika biashara ya bidhaa mbalimbali za kilimo. Biashara hii ya kikanda na kimataifa inaongozwa na miongozo iliyotolewa na Baraza la Afrika la Masuala ya Afya ya Mimea (IAPSC) pamoja na Mkataba wa Kimataifa wa...
  9. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Habari Njema kwa Wakulima, Wafugaji na Wadau wa Kilimo!

    Tatizo la soko sasa limepata suluhisho rahisi na la moja kwa moja! Sasa kupitia Blog yetu ya Tanzania na Kilimo 👉 TANZANIA NA KILIMO Unaweza kUUZA au kUNUNUA bidhaa na zana mbalimbali za kilimo na ufugaji bila kutumia dalali! Faida za kutumia Soko letu: Mteja atakupigia moja kwa moja – hakuna...
  10. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mbolea bora msimu huu wa kilimo

    Habari wadau wa kilimo poleni na majukumu, misimu ya kilimo hii kama tunavyojua kipindi hichi kumezuka mbolea nyingi sana za makampuni tofauti tofauti za vimiminika (booster) ,na wakulimu tunazitumia na Tunaona ubora wake naomba tushare uzoefu wa booster nzuri ulioyoitumia na kuletaa matokeo...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi

    Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. ==== Salaam Ndugu zangu Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi aahidi Soko na Stendi ya Kisasa Namtumbo, apongeza mafanikio ya Kilimo Ruvuma

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Mwenza wa Urais 2025, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma kwa kufanya mkutano na wananchi wa Wilaya ya Namtumbo, ambapo amesisitiza umuhimu wa kuimarisha sekta ya kilimo na kuahidi kushughulikia...
  13. Pombe sio maji

    JamiiForums Tanzania Biashara ya AGROVET (KUUZA PEMBEJEO ZA KILIMO NA MIFUGO)

    Habari wa WADAU Naitwa Mr. t Nilikuwa ninawazo la kuanzisha biashara ndogo ya agrovet Kuuza pembejeo za kilimo na mifugo mtaji wangu ni 2.5 m hapo nihela ya mzigo tu. Dhumuni langu Nini. 1.kuna wadau humu wanajua ABC's za izi biashara A)chimbo la bidhaa B)mambo ya vibali ila ningetamani kuanzia...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Kilimo cha nyumbani ukiwa na eneo dogo

    Hapa no kilimo cha matunda, mbogamboga na baadhi ya mazao ya chakula Huhitaji tena kwenda kununua mboga zisizo salama.. Na wala huhitaji kulalamika kuwa huna eneo la bustani
  15. Jebel

    JamiiForums Tanzania Utajiri uliojificha kwenye kilimo cha mbegu za mchicha

    Wasalaam, Je, umeshawahijiuliza njia rahisi ya kutoka kimaisha kutokana na kilimo? Basi leo nataka nikuletee jibu la swali lako. Kama wewe ni kijana mwenye ndoto za kutoka kimaisha basi pata mtaji mtamu sana kutoka kwenye kilimo hiki cha mbegu za mchicha. Hiki ni kilimo chenye gharama nafuu...
  16. anxto

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maharage

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia kama mboga kwa binadamu. Katika ekari moja unaweza kupata Kg...
  17. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Mpya kutoka wizara ya kilimo: muongozo kwa wanaoomba mkopo mfuko wa pembejeo

    WALENGWA WA MFUKO WA PEMBEJEO 1. Wakulima Binafsi 2. Vikundi 3. Kampuni zilizo sajiriwa 4. Vyama vya ushirika 5. Taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya kilimo. AINA ZA MIKOPO A. MKULIMA NAFUU LOAN Huu ni mkopo unaowalenga wanawake na vijana wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 Kwa wanaume na 65 Kwa...
  18. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Nje ya Siasa Ruto huwa ana insipire mno hasa kwenye mambo ya kilimo.

    Ruto akiwa shambani kwake akiotesha Ngano.
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhia kufungwa shughuli za uvuvi Ziwa Tanganyika

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeridhia kupumzishwa kwa shughuli za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. Ziwa hilo linatarajiwa kufungwa kutokana na makubaliano ya nchi nne zinazotumia ziwa hilo huku baadhi ya wabunge wakionesha kutoridhika na hatua hiyo.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo, jeshi na computer yawe masomo ya lazima

    Nisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa Ila ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari badala yake ningeweka COMPUTER, ENGLISH, KILIMO NA JESHI kuwa masomo ya lazima kuanzia chekechea sio primary, secondary na...
Back
Top Bottom