Habari za jioni wana JF.
Katika kutafuta fursa za kimaisha baada ya kustaafishwa rasmi na Trump 😃😄😁😀.
Niliwasiliana na jamaa yangu mmoja ambaye naye amestaafishwa na Trump ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye shirika moja la Kilimo huko Iringa. Jamaa alinieleza fursa za Kilimo kwenye Kulima...
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO MCHANGO WA MAWAZOYENU!
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 22! Niko chuo mwaka wa pili, nasomea ualimu wa math & physics.
Baada ya kukusanya pesa kidogo kutoka kwenye boom takribani 1M mpaka sasa, hivyo nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya...
🌽🥦Kilimo mchanganyiko🍅🍏
Ni mazoezi ya kilimo ambapo mkulima hupanda mazao na kufuga mifugo kwa wakati mmoja kwenye kipande kimoja cha ardhi. Mfumo huu unaunganisha kilimo cha mazao na ufugaji ili kuunda mfumo endelevu na bora wa kilimo.
📌FAIDA ZA KILIMO CHA MCHANGANYIKO
1. Mapato Mseto...
"Anajua hili eneo halitakiwi kufanywa shughuli za kilimo"- Remidius Mwema, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto
====
Mamlaka zilikuwa wapi mpaka mtu anaandaa shamba lenye ukubwa ambao hawezi kulianda kwa siku moja mpaka anapanda mahindi hadi yanaota ndiyo wanataka kuja kudhibiti, alikuwa akilima na kupanda...
Habar za mda ndugu zangu.
Leo nmependa kujumuika na vijana wenzangu ambao hawana ajira na bado wanalilia ajira nawapa pole sana.
NIANZE HAPA;mm ni kijana wa miaka26 Sasa,
nilizaliwa mkoani Tanga katika familia hata kula yetu ulikuwa Haina mpangilio wa ratiba,
kunawakat tulilala njaa kabisa...
Wakuu wa JamiiCheck naomba kufahamu uhalisia wa hili kwamba ukungu unaweza kuathiri mazao na kupunguza kiwango cha uzalishaji. Huwa naona shambani majani ya mimea inaungua nikuliza wenzangu wananiambia ni ukungu je, ni kweli?
Baada ya Mwananchi ambaye ni Member wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mhitimu wa Igabiro Training Institute of Agriculture Wilayani Muleba kueleza kuwa Wahitimu wa awamu mbili chuoni takribani miaka miwili hawajapata vyeti licha ya kukamilisha taratibu zote, hatimaye vyeti vimetolewa...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Kagera Wilayani Muleba ni muhitimu wa Diploma in Animal Health and Production katika Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture kilichopo Muleba.
Tangu tulipohitimu, huu unaenda Mwaka wa pili sasa, tulihitimu Februari 2023 lakini mpaka leo hatujapata vyeti...
Wapendwa Habari zenu
Poleni na majukumu ya kulijenga Taifa.
Lengo la huu uzi ningeomba kwa wale waliowai kulima nyanya Mkoani Mbeya tupeane ushauri msimu gani wa kulima na vitu gani vya kuzingatia ili tumsaidie mtu mwenye nia ya kulima nyanya
Na pia tujuzane kuhusu masoko, pembejeo na Gharama...
Majuzi nilikuwa matembezini zanzibar, nilichokishuhudia ardhi yao si ya kutosha kwa kilimo kikubwa kile cha kimkakati, ambacho unaweza kuita kama kilimo haswa,
Nikatafakari je haiwezekani kukapatikana vijana 300-500 wa kizanzibar wakaanzishiwa program ya kilimo, aidha Mkoani Morogoro au Tabora...
Kila ninapofikiria taswira ya mkulima, mara nyingi namwona mtu aliyechoka, akiwa na mavazi yaliyochakaa. Hii inatokana na jinsi kilimo kimekuwa kikichukuliwa kama kazi ya watu wa kipato cha chini. Hata matangazo ya pembejeo za kilimo mara nyingi huwahusisha watu wenye lafudhi nzito za vijijini...
Teknolojia ya AI na drones inaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo cha misitu, ikilenga kuongeza uzalishaji kwa njia endelevu huku ikilinda mazingira ya asili.
Kwa kutumia teknolojia hizi, wakulima wanaweza kufuatilia afya ya misitu, kupunguza uharibifu wa mazingira, na kuongeza tija...
Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali.
Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua changamoto hiyo.
Au kifaa hicho kipo ila ni gharama sana hasa kuagiza nje ya nchi.
Wazo lako ni...
Kitu kimoja huwa najifunza kutoka kwa Viongozi wa Kenya ni kwamba asilimia 99 wana fuga na wanalima.
Raila shamba lake linaitwa Opoda ni moja ya shamba kubwa sna la mifugo hapo Kenya.
Kuna wakati Ruto alikuwa ana unda Balaza lake la kwanza la mwaziri sasa wakawa wanafanyiwa Vetting Bungeni kwa...
Kiukweli, unatupambania sana vijana na hakika unatutakia mema. Kijana yeyote anayejitahidi kupambana lazima ataona juhudi zako.
Mheshimiwa, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu, lakini nimeshindwa kufanikisha mambo kupitia fani na taaluma nilizonazo. Kwa sasa, nimeamua kuanza upya maisha yangu na...
Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa heka 11 za kulimia tu, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba kisima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.