kilimo

  1. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Tukikikuza kilimo kwa 10% tu tutafuta umasikini wa Watanzania kwa 50%- David Kafulila

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu, " Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hasa awamu ya sita hapa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu mambo muhimu kuhusu mashamba ya kukodi kwa mkoa wa Mbeya mahususi kwa kilimo cha mpunga

    Nahitaji kufahamu mambo muhimu kuhusu mashamba ya kukodi kwa mkoa wa mbeya mahususi kwa kilimo cha mpunga Taafifa kama 1.Bei ya kukodi 2.maeneo mazuri ni wapi ( location) 3.usafirishaji wa mavuno (miundombinu ya barabara ) 4. Aina nzuri ya mbegu 5.hatua za kilimo 6. Changamoto za kawaida...
  3. Financial Intelligence

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu, " Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa mno nauona utajiri mkubwa mbele yangu

    Kupanga ni kuchagua Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata bei nzuri ya kahawa Kuna uwezekano ikafika kg 1 sh 10000 Sasa hapa fikiria mkulima atakayepata hata...
  5. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Suluhu ya Kukabiliana na Kilimo cha Mirungi yapatikana Wilayani Same

    DCEA yataja njia sahihi za kukabiliana na adhari zitokanazo na dawa za kulevya. PCCB na Sekretariati ya MAADILI ya viongozi wa umma yasisitiza uwajibikaji kwa Watendaji na viongozi ngazi ya Wilaya hadi Vitongoji wa umma. Halmashauri Same yaainisha mazao mbadala katika kukabiliana na kilimo cha...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kilimo cha abanora (pilipili mwendokasi)

    Habari zenu wadau, Nimejaribu kulima pilipili za mwendokasi, japo nilizichelewesha kwenye kitalu lakini nimezipanda zikashika vizuri zikakutana na kiangazi zikala jua la kutosha la Dar then ilipokuja mvua ziaanza kutoa pilipili kiasi lakini kipindi chote sijaiweka dawa wala mbolea zaidi ya...
  7. 5

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga Morogoro

    Maeneo Gani morogoro naweza kupata mbuga Kwa ajili ya kilimo Cha mpunga na gharama yake please Naomba Kwa anayefahamu anisaidie
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Butondo Ashauri Pembejeo za Kilimo cha Pamba Kutolewa Mapema

    MBUNGE BUTONDO ASHAURI PEMBEJEO ZA KILIMO CHA PAMBA KUTOLEWA MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Mhe. Boniphace Butondo ameishauri Serikali kusambaza pembejeo za kilimo cha zao la Pamba kwa wakati ili wakulima waanze maandalizi mapema hali itakayoongeza tija katika uzalishaji wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Edwin Swalle Asema Utekelezaji wa Bajeti ya Kilimo Utakuwa Faraja kwa Wakulima

    MBUNGE EDWIN SWALLE ASEMA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA KILIMO UTAKUWA FARAJA KWA WAKULIMA Mbunge wa jimbo la Lupembe Edwin Swalle amesema kuwa utekelezaji wa bajeti ya kilimo ukienda vyema utakuwa tiba na faraja kwa wakulima ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Condester Sichalwe Apongeza Ongezeko la Bajeti Wizara ya Kilimo

    CONDESTER SICHALWE APONGEZA ONGEZEKO LA BAJETI WIZARA YA KILIMO Mbunge wa jimbo la Momba Condester Michael Sichalwe ameitazama bajeti ya wizara ya kilimo kama mkombozi kwa wakulima wa mahindi na mpunga kwa kuwa itasaidia kupata Masoko ya nje ambapo pia imeitaka serikali kuhakikisha inatokomeza...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameelezea umuhimu wa uanzishwaji wa Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema la Jimboni mwao. Mbunge huyo ameeleza mengi, yakiwemo yafuatayo: (i) Mhe Rais Dkt Samia...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo Bungeni Jijini Dodoma

    NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA WIZARA YA KILIMO, BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro tarehe 21 Mei, 20245 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Wizara ya Kilimo ambapo amempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mazao ya kilimo nje ya nchi yameongezeka

    THAMANI YA MAZAO YA KILIMO NJE YA NCHI YAMEONGEZEKA Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo nje ya nchi imeongezeka kwa asilimia 195 kutoka Dola za Marekani bilioni 1.2 mwaka 2019/20 hadi bilioni 3.54 mwaka 2023/24 sawa na ongezeko la asilimia 195. Haya ni mafanikio ya Bajeti ya serikali ya mwaka...
  14. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Jambo la Msingi Kabla ya Kuanza Kilimo ni KULIJUA Shamba Lako!

    Je, unajua ukubwa wa shamba lako? Je, umechunguza hali ya udongo unaotumia kila msimu? Kufanya kilimo bila taarifa hizi ni sawa na kuingia kwenye giza nene bila tochi! Leo #RubabaTV tupo Shigagati - Geita Vijijini tukitembelea shamba la mkulima wa mpunga kwa ajili ya: 🧪 Kupima udongo 📏 Kupima...
  15. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni kuna unafuu wa kununua ardhi ya kilimo.

    Habari, Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi virefu vya mvua. Na bei kwa bei nafuu around 200k to 700k kwa hekari pawe panapitika kwa gari...
  16. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Askofu Afichua: Anavyopata UTAJIRI kwenye Kilimo Cha Mpunga

    "Kwanza nianze na wachungaji, Sadaka hazipo Madhabahuni. Mungu Amesema atabariki kazi ya mikono yako. Utajiri wote upo kwenye ardhi. Madini yanapatikana kwenye ardhi, mafuta yanapatikana kwenye ardhi, ndio maana Mungu anamwambia Adamu: 'Uilime uitunze ili ule matunda yake.' Kwa hiyo ninachoweza...
  17. Damian Wayne

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango kustaafu Siasa, atangaza kupumzika na kukuza Kilimo cha Urithi wa Baba yake

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake. Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania kitu gani kimeshusha brand ya vyuo na kozi za kilimo, watu wengi huenda kama mbadala baada ya kukosa nafasi kwengine.

    Hapo zamani nakumbuka watu wengi waliepnda kwenda vyuo vya kilimo au kusomea kozi za kilimo Hali ya sasa imebadilika, ile ari tuliyozoea kuiona imeshuka Sikuhizi ni herimtu aende chuo cha wanyama pori kuliko kilimo, mifano ya kozi Science in Wood Technologies Agricultural Engineering...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kilimo naomba kujua madhara ya dawa ya kuua magugu shambani

    Habari zenu wa kulima wenzangu nnashamba langu lina magugu mengi sana na uchumi haujakaa vizuri nnataka ninunue tu dawa ya kuua magugu nipulizie hila sijawahi kutumia naomba kujua km kuna madhara yoyote kwenye mimea iliyopandwa
  20. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Faida za mkojo wa sungura kwenye kilimo

    FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE KILIMO Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana. Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato kizuri kupitia ufugaji wa sungura. Lakini sungura Wana umuhimu Sana kwenye kilimo. Mkojo wa sungura una umhimu mkubwa Sana...
Back
Top Bottom