Miss World 2025 Atembelea Mradi wa Kilimo cha Mwani Unaosimamiwa na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Paje-Zanzibar
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) nchini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) ilipata heshima ya kipekee ya kuwa mwenyeji wa Mshindi wa...
Nianze kwa kupongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kweli mnastahili pongezi kubwa.
Mimi nina ombi moja, ninaomba nisaidieni kuuliza swali kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe pamoja na Wizara yake kuwa ni lini Serikali itakuwa na mpango wa kununua Mahindi kwa huu Mwaka wa 25/26...
Anonymous
Thread
huu mwaka
kilimo
lini
mahindi
maswali
mwaka
nfra
wizara
wizara ya kilimo
Katika kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na tija kwa wakulima, Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imepokea jumla ya pikipiki 50 zilizotolewa kwa maafisa ugani wa BBT Korosho.
Mkuu wa Wilaya hiyo, Denis Masanja, ameeleza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya awamu ya sita wa...
Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki.
Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
Kilimo hai endelevu
Kilimo hai – kilimo kisichotumia kemikali za viwandani kama vile mbolea na dawa za kuua wadudu; hutegemea mbinu za asili.
Endelevu – kilimo kinacholinda mazingira, kuendeleza uzalishaji wa muda mrefu, na kuzingatia ustawi wa jamii na uchumi.
ELIMIKA
Jamani habari za sahizi nduguzangu,
Nimepanga kuingia katika kilimo cha mpunga, kuna rafiki yangu mmoja kanambia kwa kilipo cha mpunga kahama kina lipa hasa maeneo ya Mwendakulima. Sasa swali langu ni kuna mtu mwenywe uzoefu au anayejua zaidi kuhusiana na hayo mawazo. Maana hata huyo rafiki...
Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Kilimo Tanzania Mei 22, 2025, zinaonyesha mwelekeo muhimu wa mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa mwaka wa fedha 2023/24. Kwa ujumla, mazao ya kilimo yamechangia zaidi ya trilioni 2 katika mapato ya kigeni, yakionyesha ukuaji thabiti wa sekta hii na kutoa mwanga...
Serikali ya Tanzania imekuwa ikitekeleza mfumo wa kuuza mazao ya wakulima kupitia minada ya kiserikali kwa lengo la kudhibiti bei na kuleta uwazi katika biashara ya mazao. Hata hivyo, mfumo huu una changamoto nyingi ambazo zinaathiri moja kwa moja kipato cha mkulima wa kawaida. Mfano halisi ni...
Habari wakuu, ninaweka uzi huu mfupi kukusanya uzoefu kutk watu mbalimbali, nikiwa na uzoefu wa kulima zao hili kwa zaidi ya misimu minne tofauti, na imekuwa kila msimu ninaolima nimekuwa nikianza vizuri na hatimaye kwenye mavuno naangukia pua na kupata hasara (mambo ni mengi unaweza kuhisi hadi...
Nikiwa Rais wa Tanzania kutajengwa Irrigation scheme kubwa za kilimo cha mpunga, lengo ni kuhakikisha Tanzania tunakuwa wazalishaji wakubwa wa zao la mpunga na kwa kuanzia target ni tani million 50+ kwa mwaka na baadae tani million 200+
Wakuu nilikua naomba ushauri nina shamba mkoa wa pwani.
Mradi gani wa kuwekeza kati ya hii kilimo cha muda mfupi na aina, kilimo cha muda mrefu na aina na ufugaji upi.
Pixie Orange ni high value oranges ambazo Bongo zipo zikiwa zinatokea South Afrixa na kuna wakati zinatoka Egypt nahisi kitu kama hicho.
Pixie Orange huwezi zilinganisha na zile chungwa zetu za Muheza Tanga ambazo zile ni chungwa za kuuziana sisi ila hazina ubora wowote kwanza ni chachu sana...
Asilimia kubwa sana ya ngano inayotumika viwandani inakua imported
Sasa nikiwa Rais wa Tanzania yale mashamba kule hanang ya ngano yatarudishwa na kutaanzishwa Irrigation scheme kubwa za kilimo cha ngano cha umwagiliaji lengo ni kuhakikisha kwa mwaka tunavuna ngano zaidi ya tani million 50
SERA YA KILIMO BORA CHA PARACHICHI MBUNGE RUHORO AIWASILISHA BUNGENI.
BUNGENI - DODOMA
11/06/2025.
Mhe. Ndaisaba G Ruhoro Mbunge wa Ngara ameiuliza Wizara ya kilimo kuhusu mkakati bora wa kukuza kilimo Cha zao la Parachichi Jimboni Ngara.
Mhe. David Silinde Naibu Waziri Wizara ya Kilimo...
Nikiwa Rais kutaanzishwa kilimo kikubwa sana cha alizeti mkoa wa singida na mchikiçhi mkoa wa kigoma
Kutaanzishwa Irrigation scheme kubwa sana ya kilimo cha alizeti na mchikichi mkoa wa singida, singida, kigoma, tabora n.k
Lengo ni kuzalisha zaidi ya tani million 20 za alizeti na tani million...
Kwa wadau wa kilimo hasa kilimo Cha mpunga Kwa mikoa ile maarufu Kwa uzarishaji wa mpungu ushindani umekua mkubwa , wakulima wamekua wengi na aridhi ndogo ivyo inapelekea mashamba kupatikana Kwa gharama mkubwa Kwa wale wanaokodisha
Kwa uzoefu nilio nao mfano mikoa wa Mbeya wilaya ya Mbalari...
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,
" Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hasa awamu ya sita hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.