Vijana chaguo ni moj; Kilimo au VETA

Vijana chaguo ni moj; Kilimo au VETA

Paspii0

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2020
Posts
638
Reaction score
1,043
Maisha na mazingira ya sasa yanatulazimisha Vijana kuchagua KILIMO au VETA,

Uwe na kazi, usiwe na kazi ili kujiongezea kipato zaidi ya mshahara ,siku zote tunajua mshahara hautoshi,Vijana kilimo NDIO Maisha.,

Wale wenzangu na mimi nyumbani pakavu utaamua wewe usubiri ajira kwenda tandahimba ukalipwe laki 5 ,au utajibidiisha kutafuta ujuzi hata wa kufuga kuku!

Sometimes mawazo hayapigwi rungu
 
Back
Top Bottom