Faida za mkojo wa sungura kwenye kilimo

Faida za mkojo wa sungura kwenye kilimo

Chifu mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2025
Posts
857
Reaction score
926
FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE
KILIMO

Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama
ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana.
Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato
kizuri kupitia ufugaji wa sungura.

Lakini sungura Wana umuhimu Sana kwenye
kilimo. Mkojo wa sungura una umhimu
mkubwa Sana kwenye kilimo. Hutumika Kama
MBOLEA na dawa pia. Matumizi ya MBOLEA za
viwandani Kama DAP, N.P.K pamoja na UREA
kwa muda mrefu huathiri rutuba ya udongo na
kuufanya udongo usifae kwa matumizi ya
kilimo.

Mkojo wa sungura huweza kutumika Kama
MBOLEA ya asili na rafiki kwa kilimo kwani
hudumisha na kuongeza rutuba ya udongo.
Mkojo wa sungura una virutubisho vingi vya
madini ya naitrojeni, phosforasi na kalsiamu na
potasiamu ambayo ndio mara nyingi huitajika
na mimea kwa ukuaji mzuri. Iwapo mkulima
atatumia Lita moja ya mkojo wa sungura kwa
Lita tano za maji asubuhi na jioni atapata
matokeo mazuri kwenye kilimo.

Mkojo wa sungura unatumika pia Kama dawa
ya kuua WADUDU waharibifu kwenye kilimo.
Iwapo mkulima atatumia Lita moja ya mkojo
wa sungura kwa Lita mbili au tatu za maji
ataweza kuua WADUDU waharibifu kwenye
kilimo. Hii Ni kwasababu mkojo wa sungura
una kiambata Cha ammonia ambacho huua
WADUDU Kama fangasi na bakteria. Hii pia
hutunza na kuhifadhi rutuba ya udongo.

Kwa mahitaji ya mkojo wa sungura tutafute:

0717 445411
0784 024 733

Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
 
Ninapenda nimuo e akikojoa na wewe ukiugema ili niwe na uhakika na si wa mbuzi
 
Mkuu vipi sungura unao unauza? Sh ngapi nipo Kahama nahitaji wa2 tu wa mapambo hapa kwangu.
Sungura pia nauza.
Ninao kama 40 wazima na vitoto kama 20. Nataka niwapunguzepunguze kidogo kwasababu kuna kama watano wana mimba kwahiyo baada ya muda watakuwa wengi sana.
Nitafute tuzungumze biashara.
0717445411.
 
Kwa faida ya wengi weka hapa picha tuone breed ulizo nazo bandana kwako mkuu
 
Ninapenda nimuo e akikojoa na wewe ukiugema ili niwe na uhakika na si wa mbuzi
Iko hivi :, Uvunaji wa mkojo wa sungura unafanana na uvunaji wa maji ya mvua.
Unapotaka kuvuna mkojo wa sungura ni kwamba eneo wanapolala sungura inatakiwa liwe limeinuka juu yaani mabanda ya sungura yanatakiwa kuwa na muundo wa nyumba ya gorofa.
Sakafu yao inakuwa na wavu na chini ya wavu kuanzia kama inchi mbili na kuendelea panakuwa na bati.
Mwisho wa bati kunakuwa na mfereji kama ule wa kukingia maji ya mvua na mfereji unaoelekea kwenye chombo maalumu kama ndio au dumu.
Sasa sungura wanapokojoa mkojo hudondokea kwenye bati kisha hutiririka kidogokidogo kuelekea kwenye mfereji na huendelea kitiririka ndani ya mfereji kwenda kwenye chombo.
Kiasi cha mkojo unaovunwa kila siku hutehemea idadi ya sungura na hali ya hewa .
Kwa mfano mimi ninao sungura 40 na kwa siku napata lita 3 hadi 4 za mkojo wao.
 
Hivi sungura sio panyabuku mkubwa aliyechangamka?🤣🤣🤣🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Attachments

  • IMG_20250509_153643_470.jpg
    IMG_20250509_153643_470.jpg
    557.9 KB · Views: 57
  • IMG_20250509_153621_651.jpg
    IMG_20250509_153621_651.jpg
    667.2 KB · Views: 56
  • IMG_20250509_153542_180.jpg
    IMG_20250509_153542_180.jpg
    560.9 KB · Views: 61
  • IMG_20250509_153448_485.jpg
    IMG_20250509_153448_485.jpg
    607.6 KB · Views: 57
FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE
KILIMO

Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama
ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana.
Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato
kizuri kupitia ufugaji wa sungura.

Lakini sungura Wana umuhimu Sana kwenye
kilimo. Mkojo wa sungura una umhimu
mkubwa Sana kwenye kilimo. Hutumika Kama
MBOLEA na dawa pia. Matumizi ya MBOLEA za
viwandani Kama DAP, N.P.K pamoja na UREA
kwa muda mrefu huathiri rutuba ya udongo na
kuufanya udongo usifae kwa matumizi ya
kilimo.

Mkojo wa sungura huweza kutumika Kama
MBOLEA ya asili na rafiki kwa kilimo kwani
hudumisha na kuongeza rutuba ya udongo.
Mkojo wa sungura una virutubisho vingi vya
madini ya naitrojeni, phosforasi na kalsiamu na
potasiamu ambayo ndio mara nyingi huitajika
na mimea kwa ukuaji mzuri. Iwapo mkulima
atatumia Lita moja ya mkojo wa sungura kwa
Lita tano za maji asubuhi na jioni atapata
matokeo mazuri kwenye kilimo.

Mkojo wa sungura unatumika pia Kama dawa
ya kuua WADUDU waharibifu kwenye kilimo.
Iwapo mkulima atatumia Lita moja ya mkojo
wa sungura kwa Lita mbili au tatu za maji
ataweza kuua WADUDU waharibifu kwenye
kilimo. Hii Ni kwasababu mkojo wa sungura
una kiambata Cha ammonia ambacho huua
WADUDU Kama fangasi na bakteria. Hii pia
hutunza na kuhifadhi rutuba ya udongo.

Kwa mahitaji ya mkojo wa sungura tutafute:

0717 445411
0784 024 733

Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kuna mzee mmoja aliingizwa mkenge na watu wa sungura aliingiza mtaji wa 16 milion kufuga sungura , na walikubali si mchezo alikuwa na uwezo wa kuvuna mapipa matatu per day , mbolea magunia ya kutosha ila jamaa waliingia mitini . Nilipomtembelea nikamtia moyo na kumwelekeza kwa kuwa ana shamba kubwa apande parachichi na atumie mbolea hiyo .

Parachichi zimezaa sana za kisasa hata zile za kienyeji na ameweza kuludisha pesa zake na anapata kiasi cha tsh 30 m kwa mwaka na nilimshauri aanzishe bustani ya mboga mboga atumie mkojo kupulizia na mboga zake zimepata soko sana kwa kuwa hatumii madawa ya maabara .
Mwisho technical know how is best thing in agribusiness ingawa alipitia maumivu ya kudanganywa na motivation speakers .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom