kilimo

  1. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia aipongeza Tanzania kushiriki Maonesho ya 97 ya Kilimo na Boashara Zambia.

    Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema ameipongeza Tanzania kwa kushiriki katika maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara ya Zambia ambayo yametumika kama jukwaa la kuimarisha ushirikiano wa kiafya na usafirishaji baina ya nchi hizo mbili. Pongezi hizo amezitoa leo Agosti 02, 2025 jijini...
  2. B

    JamiiForums Tanzania BOT: Tunageukia kutoa elimu fedha kwa kilimo cha mbogamboga na nafaka

    01 August 2025 BOT ACADEMY, WFP KUSHIRIKIANA KUTOA ELIMU YA FEDHA KWA VIJANA https://m.youtube.com/watch?v=WugyiK5DhAY A big step for Tanzanian youths in agri-finance Hon. Gov. Emmanuel Tutuba and WFP’s Christine Mendes launch the Certified Financial Educators Initiative — empowering 150...
  3. B

    JamiiForums Tanzania SBL Yazindua Mpango wa Kilimo Biashara Kuongeza Mavuno kwa Wakulima

    Mkurugenzi Wa Masoko ya Kilimo na Usalama Wa Chakula, Gungu Mibavu (kushoto), akimwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), Obinna Anyalebechi wakiashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa ‘Shamba ni Mali’ wenye lengo la kuwanufaisha...
  4. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho msingi wa mabishano kati ya Godbless Lema na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuhusu bei ya hizi ndege

    Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US...
  5. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Ambae upo interested na kilimo cha bustani.. fursa hii

    Kama kuna mtu yupo interested kufanya kilimo cha bustani , mbogamboga. Nichek DM, tufanye kazi Mashamba yapo Maji yakutosha , mto una flow maji through out the year Pump ya mwagilia ninayo.. Wewe njoo na mpira wake tu Location: Kimara mwisho, karibu na shule ya msingi mavurunza, bonde la...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania

    Wakuu Tanzania ni nchi kubwa sana na ina resources nyingi sana. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza sana hivi tukianza kuwa makini na resources zetu hatuwezi kujikomboa kutoka kwenye umasikini kweli? Hii Tanzania ina ardhi kubwa sana, kuna madini, ardhi yenye rutuba, vyanzo vya maji, watu wengi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Kiwanda cha Dawa na Zana za Kilimo Nchini Belarus

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, leo tarehe 22 Julai 2025, ameendelea na ziara yake rasmi nchini Belarus kwa kutembelea maeneo muhimu ya uzalishaji na ushirikiano wa kimkakati. Akiwa katika mji wa Minsk, Majaliwa alitembelea kiwanda cha Belmedpreparaty, ambacho ni maarufu kwa utengenezaji wa dawa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miss World 2025 Atembelea Mradi wa Kilimo cha Mwani Unaosimamiwa na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Paje-Zanzibar

    Miss World 2025 Atembelea Mradi wa Kilimo cha Mwani Unaosimamiwa na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Paje-Zanzibar Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) nchini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) ilipata heshima ya kipekee ya kuwa mwenyeji wa Mshindi wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lini Wizara ya Kilimo itanunua Mahindi Mwaka wa 2025/26? NFRA hawajibu maswali yetu

    Nianze kwa kupongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kweli mnastahili pongezi kubwa. Mimi nina ombi moja, ninaomba nisaidieni kuuliza swali kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe pamoja na Wizara yake kuwa ni lini Serikali itakuwa na mpango wa kununua Mahindi kwa huu Mwaka wa 25/26...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapinduzi ya korosho Tunduru-maafisa ugani 50 wapatiwa pikipiki kuinua kilimo

    Katika kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na tija kwa wakulima, Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imepokea jumla ya pikipiki 50 zilizotolewa kwa maafisa ugani wa BBT Korosho. Mkuu wa Wilaya hiyo, Denis Masanja, ameeleza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya awamu ya sita wa...
  11. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Shamba linakodishwa Heka 7 lipo Kibiti (Kijijini) linafaa katika kilimo cha ufuta na Mbaazi

    Shamba linakodishwa kibiti ni hekali 7 linafaa Kwa mazao ya ufuta; mbaazi; nk Kwa kila hekali 60;000/ Kwa anayehitaji kukodi karibu. Call 0658124288
  12. Now and then

    JamiiForums Tanzania Gambo , usijisikie vibaya , mwambie mke wako apige chaki na wewe uendelee na kilimo.

    Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki. Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Kilimo BBT umeishia wapi?

    Je huu mradi bado UPO na kama UPO umefikia wapi BBT
  14. Organic Uncle

    JamiiForums Tanzania ORGANIC SUSTAINABLE AGRICULTURE. kilimo hai endelevu

    Kilimo hai endelevu Kilimo hai – kilimo kisichotumia kemikali za viwandani kama vile mbolea na dawa za kuua wadudu; hutegemea mbinu za asili. Endelevu – kilimo kinacholinda mazingira, kuendeleza uzalishaji wa muda mrefu, na kuzingatia ustawi wa jamii na uchumi. ELIMIKA
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga

    Jamani habari za sahizi nduguzangu, Nimepanga kuingia katika kilimo cha mpunga, kuna rafiki yangu mmoja kanambia kwa kilipo cha mpunga kahama kina lipa hasa maeneo ya Mwendakulima. Sasa swali langu ni kuna mtu mwenywe uzoefu au anayejua zaidi kuhusiana na hayo mawazo. Maana hata huyo rafiki...
  16. youngkato

    JamiiForums Tanzania Fursa za Uwekezaji Zinazoibuliwa na Takwimu za Mauzo ya Nje ya Mazao ya Kilimo Tanzania (2023/24)

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Kilimo Tanzania Mei 22, 2025, zinaonyesha mwelekeo muhimu wa mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa mwaka wa fedha 2023/24. Kwa ujumla, mazao ya kilimo yamechangia zaidi ya trilioni 2 katika mapato ya kigeni, yakionyesha ukuaji thabiti wa sekta hii na kutoa mwanga...
  17. K

    JamiiForums Tanzania UFUTA : Kwa Nini Serikali ya Tanzania Inapaswa Kusitisha Minada ya Mazao ya Kilimo

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikitekeleza mfumo wa kuuza mazao ya wakulima kupitia minada ya kiserikali kwa lengo la kudhibiti bei na kuleta uwazi katika biashara ya mazao. Hata hivyo, mfumo huu una changamoto nyingi ambazo zinaathiri moja kwa moja kipato cha mkulima wa kawaida. Mfano halisi ni...
  18. mwandorobo

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti, ulifanikiwa, wapi ulifeli?

    Habari wakuu, ninaweka uzi huu mfupi kukusanya uzoefu kutk watu mbalimbali, nikiwa na uzoefu wa kulima zao hili kwa zaidi ya misimu minne tofauti, na imekuwa kila msimu ninaolima nimekuwa nikianza vizuri na hatimaye kwenye mavuno naangukia pua na kupata hasara (mambo ni mengi unaweza kuhisi hadi...
  19. Zana za kilimo na ufugaji

    JamiiForums Tanzania Zana za kilimo na ufugaji

  20. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mpunga-kutaanzishwa kilimo kikubwa cha umwagiliaji cha zao la mpunga lengo ni kuzalisha tani million 50 na baadae tani million 200+ inawezekana

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutajengwa Irrigation scheme kubwa za kilimo cha mpunga, lengo ni kuhakikisha Tanzania tunakuwa wazalishaji wakubwa wa zao la mpunga na kwa kuanzia target ni tani million 50+ kwa mwaka na baadae tani million 200+
Back
Top Bottom