Kijiji cha Lunguza
Kata ya Lunguza
Wiraya ya Lushoto
Mashamba yapo
0772582186, bei Kati ya laki na nusu, laki mbili mpaka laki tatu kutegemeana na shamba , yapo ya kumwagia kwa pump na yapo ya kutumia maji yanayotoka mlimani bila pamp ,
VIJANA WENZANGU: Hakuna Atakayekuja Kubadilisha Maisha Yetu Isipokuwa Sisi Wenyewe
Leo nimeamua kushare mawazo machache kwa kila kijana anayehangaika kutafuta maisha.
Ukweli ni kwamba wengi wetu tunasubiri muda mzuri, mtaji mkubwa au mtu wa kutushika mkono. Lakini muda mzuri hauji wenyewe...
Kwakuwa hii sijaiona JF, nimeona niiweke for our records:
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo, Prof.Pius Mbawala, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa familia, Prof. Mbawala...
Habari ndugu zangu,napenda kuwaeleza kile kilichotokea Hadi kuto kupatikana hapa jukwaani.
Nilipotea hapa jukwaani kwa muda mrefu baada ya kutoa post yangu iliyo zungumzia shuhuda ya safari yangu ya kuelekea kule katavi kwa shughuli ya kilimo. Tangu wakati huo zilijitokeza changamoto nyingi...
na watu binafsi pia wapewe vibali waanze kilimo hicho kuwepo na mashamba darasa,
Zao la Bangi likishaa komaa na kukaushwa liwe processed kidogo then lipelekwe nje direct kwenye viwanda vya madawa ya binadamu.
Tz mapori ni mengi sana
Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120%.
Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara...
Wataalamu wa kilimo cha vitunguu maji naomba uelewa juu ya kilimo hicho maana nimepitapita vijiji vya mkoani Tabora nikakutana na zao hili.
Naomba somo, soko na biashara yake ilivyo!
kama umegundua Watu wengi wanaofanikiwa kwenye biashara au sekta nyingine mbalimbali, wakifika umri mkubwa hasa miaka 60 na kuendelea, wanaanza kuhamishia nguvu zao kwenye kilimo.
Mfano, Shabiby wa dodoma amefanya sana biashara ya mabasi na siasa, lakini sasa anaonekana kuwekeza kwa ukubwa...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati Nchini inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji, kilimo, nishati na...
Maparachichi ya kisasa kwa Sasa limekuwa zao kubwa sana la kibiashara wateja wanakufuata shambani
Maparachichi yanasafirishwa nje ya nchi mti wa parachichi unakaa miaka 60 yaani kama ilikuwa unafikiria ulime nini Lima parachichi la kisasa utakuja kunishukuru usije sema sijakuambiaa.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wa kizazi cha 2000 (Gen Z) kuelekeza nguvu, muda, na rasilimali zao katika starehe na teknolojia; ikiwemo mitandao ya kijamii, gaming, mavazi, kamali(kubeti), na ajira za mtandaoni, badala ya sekta za uzalishaji kama kilimo na biashara ambazo zilikuwa uti wa...
My Take
Kwa wale tulioko kwenye sekta ya Kilimo ,hizi takwimu zinakatisha tamaa na zinalazimisha kurudi kwenye drawing board.
https://www.threads.com/@thestarkenya/post/DXZ5Ey4jQ-b?xmt=AQF0I7ra76rglfFzjxe5u6sxGi2YPqdh3zZJ9wuksUZgTpM7mQGwAQJMz-9oOcbbZfeauGA5&slof=1
Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
Pia soma, Mradi wa BBT kwa Vijana ufanyike kila wilaya na uunganishwe na VETA Pamoja na 10% ya Halmashauri iliyoboreshwa
kuna aina ya siafu, wale ambao unawaona wanasafiri kwa msafara huku wamebeba majani. hawa huwa hawakai tu katika makoloni makubwa, wanajishughulisha na kilimo kitu ambacho kwa muda mrefu kilidhaniwa kuwa ni sifa ya binadamu pekee.
Siafu wa kundi la Leafcutter ant wamekuwa wakilima fangasi...
Ukilinganisha na wenzetu wa Kenya, watanzania wengi tuko bize na kilimo cha kawaida (traditional farming), tukidhani ukubwa wa eneo ndio ukubwa wa kipato. Ukiangalia mitandaoni kwenye suala la kilimo biashara kwa ujumla wakenya wanatupiga gap kubwa sana na wao wanawekeza sana kwenye technology...
Nicomed Bohay - EFTA
Taasisi ya fedha Equity for Tanzania (EFTA) imezindua hatifungani ya Sh50 bilioni kwa ajili ya kukopesha vifaa vya killimo, usafirishaji na ujenzi.
Akizungumza katika uzinduzi huo leo Februari 10, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Nicomed Bohay amesema kuwa wamefikia hatua...
Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia.
Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki.
Ukizingatia mbegu, upandaji,
Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri?
Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
Training, Research, Regulations and PRODUCTION.
1). Utafiti wa kilimo(TARI)
2).Uthibitishaji wa mbegu(TOSCI)
3).Kudhibiti wa pembejeo(TPHPA & TFRA)
4).Uzalishaji na Usambazaji mbegu(ASA)
5). FIELD(condition) CROP PRODUCTION (FCP).
Mashamba darasa yawe darasa kweli kweli sio kuzugazuga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.