kilimo

  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika fani ya Kilimo

    Habari za wakati Wana JF, mimi ni muhitimu wa SUA katika FANI ya horticulture nipo natafuta nafasi ya kazi KATIKA FANI husika(kilimo) naishi mkoa wa songwe ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote Tanzania Natanguliza shilukrani Napatikana kupitia email yangu: yitzhakedward@gmail.com
  2. E

    JamiiForums Tanzania Sera zisizotabilika kwenye kilimo zitaua kilimo

    Kilimo kitaendelezwa na upatikanaji wa soko la uhakika. Kwa miaka ya hivi karibuni Tanzania tulikuwa tumeanza kukamata masoko ya chakula katika nchi jirani kama Kenya na Kongo. Tunasikia jinsi ambavyo kenya inahangaika na uhaba wa chakula, badala ya watanzania kuplani hawa ndugu zetu kuchukua...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Machifu simamieni Maadili ya vijana wa Kitanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023. Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  4. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kwenye nyanja ya kilimo na ufugaji

    Ili kuchochea uwajibikaji kwenye nyanja ya kilimo na ufugaji nchini Tanzania, hatua muhimu zinahitajika kuchukuliwa. Uwajibikaji unahusisha uwazi, kushirikisha wadau wote, na kuweka mfumo wa ukaguzi na adhabu kali kwa ukiukwaji wa kanuni. Hapa chini ni orodha ya hatua ambazo zinaweza kuchukuliwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya; 1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata million mbili...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo kiinue uchumi Tanzania

    Uchumi wa nchi yetu utegemee zaidi kilimo kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania basi sekta hii ipewe bajeti nzuri kwa ajili ya wakulima (mikopo) na kupunguza garama za pembejeo mfano mbolea za viwandani, viuwa tilifu, mashine za shambani pamoja na kupunguza garama za uwekaji mazao kwenye...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi. Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kilimo

    Nilikuwa nasoma bajeti ya elimu. Nimeona mambo mazuri ya vyuo vya ufundi vya cheti, astashahada, stashahada na shahada, na kuona kila wilaya inatarajiwa kuwa na chuo cha veta na vinginevyo. Najua ni jambo jema. Lakini havyo vyote na vya kujiajiri na wanahitaji kula. Ninachojiuliza kwanini...
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sido iwe kichochezi katika kilimo cha kisasa hapa nchini

    Mapinduzi ya viwanda yalileta mwamko mkubwa sana katika mataifa ya magharibi katika uzalishaji mali na kuudondosha mfumo wa “utumwa” baada ya kutengeneza zana bora za kiutendaji ambazo zilianza kufanya kazi zilizokuwa zikifanywa na watumwa pamoja na wanyama na zikaja kuwapiku kwa kuongeza...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kwenye kilimo Tanzania

    Kilimo ni sekta muhimu yenye kuleta mapinduzi makubwa kwenye nchi yetu mapinduzi hayo kama VIWANDA, BIASHARA ZA NDANI NA NJEE, ELIMU BORA, UJUZI, NA AFYA KWA JAMII. Uwajibikaji ungekuwa kama ifuatavyo elimu ya kilimo ingeanza kufundishwa kuanzia shule za msingi na sekondari na ingekuwa lazima...
  11. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo walia na umasikini mikoa inayoongoza kwa kilimo

    CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kitaendelea kushawishi sera mbadala za kuondoa watu kwenye umasikini ikiwemo ya Hifadhi ya Jamii kwa wote itakayohakikisha kunakuwa na Bima ya Afya kwa wote. Chama hicho kimesema haikubaliki kuwa asilimia 61 ya watu masikini nchini Tanzania wapo mikoa ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada Kutoka kwa wakazi wa Kifanya kuhusu kilimo cha Ndizi

    Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea. Altitude yake ni m800 mpaka m1200. Je eneo hilo ndizi zitafanya vizuri? nimeona mashamba ya ndizi za moro zile fupi...
  13. JamiiForums Tanzania Kenya tena: Waziri wa Kilimo tulikuonya mapema kuruhusu Wakenya kuingia mpaka mashambani kununua mazao hukusikia. Huu ni mwanzo tu!

    Wafanyabiashara wa kitanzania wanaosafirisha mahindi kuingia nchini Kenya wameandamana kwenye mpaka wa Holili kufuatia kuzuiliwa kuingiza shehena za mahindi na Kenya. Msururu wa maloli umekwama mpakani hapo kufuatia mamlaka za Kenya kuweka kigingi na kuzuia mamia ya maroli hayo kuingia nchini...
  14. JamiiForums Tanzania Bilioni 18.4 SUA Kujenga Chuo cha Kilimo Mkoa wa Katavi, Mpimbwe

    SHILINGI BILIONI 18.4 SUA KUJENGA CHUO CHA KILIMO KATAVI HALMASHAURI YA MPIMBWE Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Mhe. Martha Festo Mariki ameuliza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maswali yaliyojibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
  15. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kilimo ya Agro - Meru imetangaza nafasi za kazi

    M/S Meru Agro-Tours & Consultants Co. Ltd (MATCC) is a local private company based in Arusha that specialized in Agricultural inputs business. The company deals with multiplication and distribution of agro seeds; importation and distribution of agrochemicals and provision of technical advisory...
  16. JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa kilimo cha Bangi Tanzania🍁

    Bangi ni zao ambalo limepigwa marufuku hapa nchini kulimwa japo baadhi ya nchi zao hili ni "tukufu". Bangi ndio zao linalolipa zaidi dunia kutokana na kua na soko la uhakika na bei yake sio fluctuate kama mazao mengine. Hii hapa Mikoa inayolima Bangi hapa nchini kwa matumizi ya ndani na nje...
  17. JamiiForums Tanzania Pongezi Wizara ya kilimo

    Pongezi kwa Serikali ya Samia kwenye Sekta ya Kilimo. Kupitia serikali hii ya Rais Samia jitihada nyingi sana zinafanyika katika kufanya mapinduzi ya Kilimo nchini ili ile slogan tunayotembea nayo siku nyingi “Kilimo ni uti wa mgongo wa Mtanzania,” iwe na uhalisia. Wengi tumeliona hili...
  18. JamiiForums Tanzania Makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024

    Hotuba ya Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe (mb), kuhusu makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe aishauri Wizara ya Kilimo kufungua dirisha ili Wakulima wapate Pembejeo mapema

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo awamu ya kwanza, Mzee Herman Kirigini afariki dunia

    Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma. ---- ALIYEKUWA mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Herman Kirigini amefariki dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…