Habari za majukumu great thinkers?
Kuna hii shida kwenye website ya TADB ambayo ni zaidi ya mwezi mzima sasa, kila nikijaribu kuingia upande wa careers inaleta majibu kwamba kuna critical error kwenye website. Ila cha ajabu ni kwamba vipengele vingine vyote vipo sawa na hakuna shida yoyote...
Mchango wa Sekta Kuu kwa Ukuaji wa Pato la Taifa Tanzania Mwanzoni mwa 2023. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, wachangiaji wakuu wa ukuaji wa Pato la Taifa la Tanzania katika robo ya kwanza ya mwaka 2023 walikuwa:
1. Kilimo: Sekta ya kilimo ilirekodi kiwango cha ukuaji cha...
Kaka millard ni exception, katoka mbali sana huyu.
Nimekuwa nikiona baadhi ya vijana hasa hawa wa chuoni na wahitimu wenye kujua jua kutumia vilaptop wanapotoshana mambo ya youtube, blogging, sijui app, adsense, n.k. kwamba kuna pesa
Ni kweli haya mambo kwa wenzrtu huko yanalipa na watu...
Wadau mwezi huu mwishoni Mungu akipenda navuna nyanya shambani kwangu Nimejaaliwa kulima heka 3 na zimebeba vizuri. Shamba lipo morogoro eneo la Dakawa. Ninachojivunai zaidi nimejifunzia humu humu Jamii forum kilimo hiki. Heko kwa wote ambao mmekuwa mskijitolea kutoa mafunzo mbali mbali...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuingia na kubobea kwenye kilimo, mifugo na uvuvi, akisema kuwa hilo ndilo eneo litakaoleta uchumi wa mtu mmoja mmoja na wananchi wote kwa ujumla.
Kauli hiyo ameitoa jana Agosti 3, 2023 baada ya kukagua mabanda ya maonesho ya nanenane kitaifa...
Sasa ni muda muafaka kwa vijana kuingia kwenye kilimo. Najua vijijini gharama za kilimo huwa chini, unaweza kubahatisha mashamba yenye rutuba na yanakodishwa kwa bei nafuu.
Na pia katika kuimarisha umoja katika maeneo hayo, wanakijiji hao hao wanakuwa vibarua kwenye hayo mashamba, ambapo...
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe leo tarehe 02 Julai, 2023 amefanya kikao cha ndani kilichowakutanisha viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Myunga na Mtaalamu wa Kilimo kutoka Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko na Benki ya NMB
Mbunge...
Kwanza Niwaambie nyie wananchi inawezekana ndani ya Miezi sita ijayo Kwa hali inavyoendelea fedha zenu mlizoweka bank na kwenye vibubu zitashuka thamani na zitakukuwa na uwezo mdogo wa kufanya manunuzi.
Hali hii inatokana na Shilingi ya Tanzania kuendelea kushuka thamani kadri siku...
BASHUNGWA: JKT TUPO MSTARI WA MBELE KUWAPIKA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO
"Maono na uwekezaji Mkubwa unaofanywa na serikali ya Awamu ya Sita (6) inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Kilimo umeleta tija Kubwa sana katika Kilimo chetu Kwa sasa.
Pia Sisi...
Kama ningepewa nafasi kuongea na viongozi wangu wa Tanzania kuhusu sekta moja inayo hitaji uwajibikaji kati ya sekta nyingi zenye chanagamoto ningechagua kilimo. kwani haya ndio ndio natamani kuyajadili zaidi.
Tanzania ni moja ya nchi duniani zinazo sifika kwa kilimo. Mazao kama mahindi...
Uwajibikaji na Utawala Bora katika Kilimo ni Nyenzo ya Kuinua Uchumi
Utangulizi
Tanzania, kama nchi inayojivunia utajiri wa rasilimali za ardhi na kilimo, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wake kupitia sekta ya kilimo. Hata hivyo, ili kufikia mafanikio haya, uwajibikaji na utawala bora katika...
Utangulizi
Kilimo na uzalishaji wa bidhaa za mifugo ni sehemu muhimu ya uchumi wa Tanzania, ikiwapatia kipato watu wengi na kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye Pato la Taifa. Hata hivyo, kutokuwa na viwango madhubuti vinavyosimamia sekta hii kumekuwa na changamoto nyingi ambazo zinazuia uwezo wa...
Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu.
Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo...
Moja, kuanzisha somo mahsusi la katiba na sheria kuanzia shule ya msingi na ngazi ya sekondari. Mabadiliko haya katika mtaala wa elimu yatachochea watu kujua sheria na umuhimu wa kuzitii na kufuata sheria katika maisha ya kila siku. Maudhui ya somo hilo ni katiba ya nchi na sheria zake. Ni...
Tanzania ni nchi ambayo imebarikiwa vyanzo vingi vya maji na ardhi kubwa na yenye rutuba Kutokana na ufinyu wa ajira juu ya vijana wetu waliomaliza vyuo na kubaki majumbani wakisubiri ajira, serikali kupitia wizara yake ya kilimo ingetumia nguvu kubwa juu ya vijana kujikita katika kilimo cha...
KILIMO CHA NYOKA
Achana na Matikiti sijui Kuku, sijui Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndio suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho.
Kwa mujibu wa hisabu za calculeter yng ya cm, hebu fikiria uwe na Cobra kumi, Cobra mmoja anataga Mayai 60 kwa mwezi na anatotoa.
Ukichukua 60 mara kumi...
"Kuongeza Uwajibikaji katika Kilimo na Ufugaji: Mabadiliko ya Kuleta Maendeleo"
Andiko hili linahusu umuhimu wa kuongeza uwajibikaji katika sekta ya kilimo na ufugaji ili kuleta mabadiliko chanya na maendeleo endelevu. Inalenga kutoa ufahamu kuhusu jinsi mifumo ya kilimo na ufugaji inavyoweza...
Mabadiliko yenye tija katika ufugaji ni ubeti unaoimbwa kila muda Tanzania,Afrika na duniani kwa ujumla wake. Hii inachagizwa na umuhimu wa suala la ufugaji katika maeneo makubwa matatu ambayo ni
01. Utunzaji wa Mazingira
02. Afya za wanaadamu na
03. Afya na haki za mifugo zenyewe. Licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.