kikwete

  1. JamiiForums Tanzania Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ahudhuria msiba wa Gabriel Ndugulile, Baba wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo. Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Membe: Kikwete siyo kaka yangu

    Amesema wakati akichukua fomu hapo Dodoma. Amesema asingeficha kama angezaliwa baba mmoja yeye na Jakaya! Chanzo: Michuzi
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Salma Kikwete achukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea jimbo la Mchinga kupitia CCM

    Salma Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mchinga, Mkoani Lindi kupita Chama Cha Mapinduzi (CCM) Machi 2017, Salma ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kikwete alikuwa genius wa uchumi, Magufuli itabidi akajifunze kwake kama kweli ana nia ya kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye reli

    Huu ni muendelezo wa nyuzi zangu za kiuchumi ambazo ni matokeo ya kutafiti taarifa mbalimbali za serikali kwenye masuala ya fedha na uchumi. Msukumo wa kuamua kufanya hizi tafiti, unatokana haswa na kuchukizwa na yale majigambo ya wanasiasa na watu wasioelewa mambo, ya eti uchumi kwenye awamu...
  5. JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Kikwete aliweza kukuza Gross National Income kutoka USD 500 mwaka 2005 hadi USD 940 mwaka 2015, ni kutokana na kuvutia uwekezaji imara!

    Asikudanganye mtu eti mambo anayofanya Rais Magufuli yanakuza GNI. Hakuna kitu kama hicho na ndiyo maana katika utawala wake wa miaka mitano (5) ya mwanzo amepata matokeo ya hovyo kabisa kwenye GNI. Haiwezekani pamoja na kelele zote, sifa zote anazopewa na wasaidizi wake then akuze GNI kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete atunukiwa medali kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi

    Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye amemtunuku medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi. Chanzo: ForeignTanzania Sisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya M Kikwete ana...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekuza GNI kwa wastani wa USD 80 kwa miaka mitano, mwaka 2005-2010 Kikwete aliikuza kwa wastani wa USD 220!

    Wakati MATAGA mkishangilia sana ni kuwa Rais Magufuli hajafanya chochote zaidi ya siasa ambazo jana tu nilimuweka kundi la watu wasio jua kuweka facts huku nikimpa namba 1. Wakati JK anaingia madarakani mwaka 2005 GNI ilikuwa 500USD ila mwaka 2010 pamoja na kupigwa makombora kila kona GNI...
  8. JamiiForums Tanzania Masalia ya Kikwete kuendelea kupukutishwa

    Kama wewe ni mwanaccm na kama unajijua kwamba ulibebwa na Kikwete na Kinana au Makamba basi unapaswa kufahamu kwamba muda wako katika cheo ulichonacho unahesabika , na ni vema ukaanza kujiandaa mapema kabla ya panga kukufyekelea mbali . Na kama ulitarajia kugombea chochote kwenye uchaguzi ujao...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama Magufuli ni Bora kuliko Kikwete, Basi naamini ajaye ni bora kuliko Magufuli. Miaka 10 ikiisha aondoke

    Kama baadhi ya watu wanavyoamini kuwa Rais Magufuli amefanya mambo mengi na Mazuri kuliko Kikwete, ndivyo hivyo ninavyoamini Mimi kuwa Atakayefuatia baada ya kipindi Cha miaka kumi cha uongozi wa Magufuli kumalizika, atakuwa Bora kuliko Rais wa Sasa na ataifanyia Tanzania mambo makubwa kuliko...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Japo wako kimya, Mkapa na Kikwete wanaridhika na hoja ya kutaka kumuongezea muda Magufuli?

    Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba. Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi alituachia PPF Tower, Mkapa katujengea National stadium, Kikwete kaacha Mwendokasi na UDOM, sasa twende na Rais Magufuli

    Tunakumbushana tu alama njema zilizowekwa na viongozi wetu wastaafu. Kiukweli wamefanya mengi ila kwa yale ambayo yanajulikana kona zote za nchi ni hayo machache niliyoyataja hapo juu. Kwa Dkt. Magufuli hii awamu ya kwanza tu nimeshindwa nianzie wapi maana mambo ni mengi, hapa nipo njia panda...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Dokta Jakaya Kikwete: ‘No way’

    wakati Afisa Mhamasishaji wa Yanga Afrika akifungua halfa ya mchakato wa utiaji saini wa makubaliano ya mabadiliko ya mfumo kati ya Yanga, GSM na La Liga, amemtaja Rais Mstaafu Dokta Jakaya Mrisho Kikwete kama Rais kipenzi cha Watanzania. Akiwa amekaa katika meza yake, huku kamera zikimmulika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mahudhurio ya wagonjwa wa moyo yapungua JKCI kwa hofu ya COVID-19

    Wagonjwa wenye matatizo ya moyo, kisukari, shinikizo la juu la damu, figo na saratani wameshauriwa kuhudhuria kliniki zao bila kukosa ili kuepuka kupata madhara ya kiafya ikiwa ni pamoja na kupoteza maisha. Rai hiyo ilitolewa jana Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya...
  15. JamiiForums Tanzania Clip ya Kikwete ya mbayuwayu speech

    Mwenye Ile clip ya siku Ile Kikwete ana simulia story ya mbayuwayu na Ndo akatoa mseme huu maarufu umekuwa wa kila siku. Akili za kuambiwa changanya na zako.. Naomba mwenye clip aiweke hapa.. Naona Kikwete ametupa urithi wa huu msemo utakao last mda mrefu kuliko vingi alivyofanya..
  16. T

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

    Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii. Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwakuwa Nyerere hatunaye nawaomba Wazee waliobaki akina Mwinyi, Mkapa na Kikwete wanisaidie kunijibu hapa!

    Je, na Wao nyakati zao Majirani zetu Wapendwa walikuwa wakiwachoka au labda wakiwaona hawaeleweki au wakionekana ni Wabishi, Viburi, Jeuri, wenye Dharau na Wakorofi kiasi kwamba labda na Wao kuna muda walijukuta wanafungiwa mipaka na hata wakitengwa katika Mambo ya Ustawi na Maendeleo? Sina...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Mahalu amtuhumu Kikwete kumfungulia kesi ya ufisadi kwa uonevu kwa unyemela aliosimamia mwenyewe akiwa waziri Mambo ya Nchi za Nje

    Prof. Mahalu amemtuhumu Kikwete kwamba akiwa Rais alimfungulia kesi ya ufisadi kiuonevu, wakati yeye mwenyewe Kikwete ndiye aliyesimamia uuzaji wa nyumba ya Tanzania kinyemela huko Italy akiwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje. Prof. Mahalu amedai kwamba kwa kuwa Mkapa alijua ukweli wa jambo hili...
  19. JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya utawala wa Rais Magufuli ametengeneza Serikali ya kishikaji kuliko Kikwete

    Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Paul Makonda, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

    Wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta Kikwete ametengeneza makubaliano na Wachina ya Kujenga SGR yote Dar hadi hadi Kigoma, na pia kutoka Uvinza kwenda mgodi wa Musongati wa Burundi na kufika Kaliua. Ilikua iende na Mwanza nadhani, kwa mkopo wa $7.6 Bilioni kupitia benki ya China ya EXIM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…