Mhe. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne binafsi nakuomba Radhi leo kwa yote nilikuwazia au hata kukusema kiukweli at that time nilikuwa na Moto wa ujana na sikujuwa uzee wako ni hekima.
Nikiwa kama Raia wakawaida kabisa niliwahi kukuandikia baruwa na nikalalamika sana juu ya upole wako na democrasia...