kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ahmed Saidi

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza nafasi 221 za ajira katika kada mbalimbali

    Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira. Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali. Wenye sifa nafasi hii. Hivi lilikuwa ni...
  2. Hajto

    Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

    Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza, juzi tarehe 10 Juni, 2022 UTUMISHI wametangaza ajira Chuo cha Ushirika Moshi, Je, kwenye barua address unatumia ile ya wao UTUMISHI ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya Msaada wenu tafadhali
  3. Mohamed Said

    Kitabu cha baba wa taifa katika mjadala Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam 26 Mei, 2022

    Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman Yahya, Dr. Ng’wanza Kamata katika mahojiano na Mohamed Said (out of sight) kuhusu Mwalimu Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu chake.
  4. B

    Mfanyabiashara Mo Dewji atunukiwa Ph.D ya heshima ktk Chuo Kikuu cha Georgetown

    21 May 2022 Mohammed Dewji to Graduates: Recognize the Power in Community Two decades ago when Mohammed Dewji (B’98) crossed the stage at Georgetown University’s commencement ceremony, he asked himself an important question – ‘is the world ready for me?’ In many ways, the answer was yes...
  5. S

    Kodi kubwa kwenye mafuta ndio chanzo kikuu cha bei ya mafuta kuwa juu nchi hii

    Waulizeni watawala wanatoza kodi kiasi gani kwa kill lita moja ya mafuta yanayoingia nchini ndio mtajua nini hasa chanzo cha hizi bei kuwa juu. Sasa kwakuwa kodi ziko juu, issue ya vita inafanya bei ambazo teyari ziko juu, ziwe juu zaid na hiki ndio kinatutesa leo hii. Suluhisho ni kwa...
  6. Roving Journalist

    Serikali kusomesha chuo kikuu wanafunzi watakaofanya vizuri masomo ya sayansi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23 Wizara imetenga fedha kwa ajili ya kutoa ufadhili wa elimu ya juu (scholarships) kwa wanafunzi watakaofanya vizuri katika masomo ya Sayansi. Waziri Mkenda amesema hayo Jijini Dodoma...
  7. Erick msigwa1234

    Niliagiza mzigo Kikuu, wanasema umefika Dar muda mrefu. Lakini bado hawajanitumia kuja mkoani, nifanyeje?

    Jamani mimi niliagiza mzigo kikuu nawanasema upo tayari Dar muda wowote utatumwa mkoani niliko. Ila naona kimya hadi saizi. Anaejua anielekeze nifafanyaje
  8. Jamii Opportunities

    Mtunza Ghala, Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd (Nafasi 1)

    Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd kinaundwa na vyama vya msingi 134 kutoka katika wilaya tatu za Muleba, Bukoba na Misenyi. KCU (1990) LTD yenye makao makuu katika manispaa ya Bukoba, inaendesha shughuli zake chini ya Sheria ya Ushirika namba 6 ya mwaka 2013, Ili kutekeleza kwa ufanisi...
  9. Jamii Opportunities

    Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd (Nafasi 1)

    Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd kinaundwa na vyama vya msingi 134 kutoka katika wilaya tatu za Muleba, Bukoba na Misenyi. KCU (1990) LTD yenye makao makuu katika manispaa ya Bukoba, inaendesha shughuli zake chini ya Sheria ya Ushirika namba 6 ya mwaka 2013, Ili kutekeleza kwa ufanisi...
  10. B

    Ubinafsi kikwazo kikuu Katiba Mpya

    Hakuna asiyejua kuwa Katiba Mpya ni majumuisho ya mustakabala ulio bora zaidi katika uendeshaji wa nchi kwa wakati husika. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kupinga matumizi au ujio wa mustakabala kama huo. Taabu gani makwetu Tanzania basi? Kwa hakika ubinafsi uliopitiliza ndiye aliye...
  11. MIMI BABA YENU

    Huyu ndiye Abdulrahman Kinana, nguli wa siasa nchini

    Kinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi...
  12. chiembe

    Askofu Dkt. Shoo, Wana KKKT wa Konde wanasema fedha zao bilioni 2 za kujenga chuo kikuu ndizo zimekutoa Kilimanjaro kwenda kumfukuza askofu wao

    Ni vyema sasa Askofu Shoo akatoka na kufafanua hili. Ukifuatilia YouTube, Wana Konde wanaidai kwamba mzizi wa mgogoro ni fedha hizo, na wanadai askofu "mchaga" anatumika kuficha waliozifuja. Kuna nini katika fedha hizo? Maana ni vizuri akajisafisha kwamba hakuzila Hela hizo, na kama alizila...
  13. Idugunde

    TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari Wote. Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro. Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
  14. L

    Kituo kikuu cha media cha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu chafunguliwa rasmi Februari 28

    Februari 28, 2022, kituo kikuu cha wanahabari cha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing kilianza kazi rasmi baada ya kukamilisha mabadiliko kutoka Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi. Takriban vyombo vya habari vya uchapishaji na watangazaji 3,300 kutoka sehemu...
  15. Miss Zomboko

    Russia: Benki Kuu yaongeza riba kudhibiti thamani ya shilingi na mfumuko wa Bei

    Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi. Moscow pia imeamuru makampuni...
  16. Spartacus boy

    Msaada: Ofisi za kikuu mkoani Iringa zipo wapi?

    Habari za kazi wakuu Nilikuwa nauliza kwa mkoani Iringa kuna ofisi za KiKUU kwa ajili ya kuchukulia bidhaa zilizoagizwa mtandaoni Ahsante.
  17. MK254

    Mkenya aajiriwa kufunza Kiswahili kwenye chuo kikuu cha Michigan, Marekani

    Wakenya hatujambo likija suala la kuchangamkia fursa duniani, huyu kuupiga mwingi maana hiki chuo kikuu cha Michigan ni mojawapo wa vyuo maarufu duniani na kipo ndani 100 bora. Kuchaguliwa ufunze chochote pale lazima upitie ukaguzi sio haba. A collage image of Paul Otieno (Left) and an aerial...
  18. The unpaid Seller

    Ni kweli kua ukinunua bidhaa za kikuu haulipishwi kodi ?

    Umuofya kwenu wakuu, Naomba kujuzwa jee ni kweli kua ukiagiza bidhaa kwa kikuu haulipishwi kodi. Nimeagiza mara kadhaa bidhaa kwa Aliexpress na kila maia nimekua napewa makadirio na kulipia kodi. Product nazoagiza hua ni derma roller na ointment oils.
  19. S

    Ndugai kujiunga na Chama kikuu cha Upinzani Itapendeza

    Wadau vipi ? Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu? Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea...
  20. peno hasegawa

    Chuo Kikuu cha Utumishi wa Umma Kampasi ya Chato kipo eneo gani huko wilaya ya Chato?

    Mwenye uelewa kilipo chuo tajwa hapo juu tafadhali . Pia mwenye kufahamu aina ya kozi zitolewazo na chuo hicho na gharama za masomo. Niwatakie Xmas Njema
Back
Top Bottom