kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums India: Kijana alivyopoteza maisha kwa ajali wakati akifanyia majaribio helikopta aliyokuwa akiiunda

    Nakumbuka hata hapa nchini kuna taarifa kadhaa zinazoelezea juu ya uundwaji wa chombo hichi, na hata kumewahi kutoka lawama ni kwa nini hwapewi kibali cha kujaribu Vifaa vyao hivi. Ingawa wanasema huwezi kujua ufanishi bila kujaribu lakini nadhani kuna mashine na mashine. Hii imetokea India...
  2. JamiiForums Kijana atajirika kwa kuuza uume, korodani, ni milionea "Wanawake wanagombania, freemanson kawaida"

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni! Msemo huu unajidhihirisha baada ya kauli ya Onesmo Mbasha, ambaye ni mmoja wa vijana wanaouza bidhaa mbalimbali zitokanazo na wanyama zikiwamo sehemu za uzazi za ng’ombe dume zinazojumuisha uume na korodani. Zipo taarifa kuwa viungo hivyo vya ng’ombe ni...
  3. JamiiForums SoC01 Faida atakayopata kijana baada ya kuoa

    Pamoja na uwepo wa utitiri wa ndoa sasa lakini bado katika ulimwengu wa sasa kuna vijana wanaogopa kuoa. Kwanza kijana acha uoga kila kijana akiamua anaweza kuoa na kumudu familia hata kama ana kipato kidogo tu. Nina miaka miwili ndani ya ndoa na hizi ni faida nilizopata. MATUMIZI BORA YA...
  4. JamiiForums Kijana wa Kitanzania na mchongo wake Bungeni

    “Kwa kuwa sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na amani. Na kwa kuwa misingi hiyo yaweza tu kutekelezwa katika jamii yenye demokrasia ambayo serikali yake husimamiwa na bunge lenye...
  5. JamiiForums Kijana ajifunze lugha ipi kupanua goli la ajira na fursa?

    N.B: HADI NAFIKA HAPA NIMEONA KUNA PONGEZI NYINGIZAIDI YA MALALAMIKO KWA WALIOFANYA KAZI KWA WAZUNGU, KWA WENZETU WAHINDI, WACHINA, N.K HUKO KUNA MALALAMIKO MENGI KUZIDI PONGEZI, HIVYO NAOMBA USHAURI UWE UMELENGA LUGHA ZA ULAYA. Habari zenu wakuu, Nina kijana kamaliza form 6 mtoto wa shangazi...
  6. JamiiForums Kijana ajifunze lugha ipi kupanua goli la ajira na fursa?

    N.B: HADI NAFIKA HAPA NIMEONA KUNA PONGEZI NYINGIZAIDI YA MALALAMIKO KWA WALIOFANYA KAZI KWA WAZUNGU, KWA WENZETU WAHINDI, WACHINA, N.K HUKO KUNA MALALAMIKO MENGI KUZIDI PONGEZI, HIVYO NAOMBA USHAURI UWE UMELENGA LUGHA ZA ULAYA. Habari zenu wakuu, Nina kijana kamaliza form 6 mtoto wa shangazi...
  7. JamiiForums Nahitaji kijana wa kusimamia akaunti zangu mtandaoni

    Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni. Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii Mahali : Awe ndani ya Dar es salaam, hasa jimbo la Kawe Mshahara : Tshs 150,000/= Ikiwa unajiona unafaa...
  8. JamiiForums Kijana muuuza chips anahitajika Mbagala

    Habari za muda wadau, Nataka nifanye biashara ya kuuza chips Mbagala ila nimekosa mtu wa kufanya nae kazi. Kama yupo mtu mwenye uzoefu na hii biashara tuwasiliane
  9. JamiiForums SoC01 Kijana amka sasa!

    Karibu ndugu msomaji wa nakara yetu hii fupi, ninayo kuletea kwako wewe pamoja na jamii yote kiujumla hasa vijana ambao wanadhani kitokana na hatua hii ya serikali yetu wanaona kama ni kikwazo cha kutimiza ndoto zao hata malengo yao, na kubaki kulalamika bila kuchukua hatua. kwa muonekano huo...
  10. A

    JamiiForums SoC01 Amka kijana usibweteke

    Chuma usipokitumia kwa muda kinaota kutu Kwa wale ambao wamesoma chemistry japo kidato cha kwanza watakuwa wanaijua hii sentesi, hivyo ndivyo ilivyo na maisha ndivyo yalivyo.Tatizo sio mshahara mdogo, tatizo sio ajira hakuna, tatizo sio fursa, tatizo sio kusoma mchepuo wa hati au sayansi...
  11. L

    JamiiForums TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

    UPDATE: MLALAMIKAJI AITWA KAZINI ----- NAMNA KITUO CHA KAZI KILIVYOPORWA Donald Mshani aliomba kazi serikalini mwezi February 2021 baada ya tangazo la nafasi ya MUHIFADHI WANYAMA PORI DARAJA LA 3 katika halmashauri ya wilaya ya Njombe. Alipata bahati ya kuiitwa kwenye usahili uliofanyika...
  12. JamiiForums SoC01 Mambo ya kuzingatia kabla ya kuhamia Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapaka na Bahari ya Hindi. Jiji...
  13. JamiiForums Njia ya kuongeza kipato: Kilimo cha pilipili kichaa kinavyoweza kumfaidisha kijana wa Kitanzania

    Habari wanajamvi wenzangu! Tatizo la ajira limekuwa sugu lakini nimekuja na suluhisho ambalo litaweza kuongeza kipato kwa sisi watu wa chini na hasa waliomaliza chuo na kukosa posts. Naeleza hiki kutokana na Experience yangu na jinsi nilivyofanikiwa kwa kilimo hiki cha pilipili kichaa (African...
  14. JamiiForums Aina za biashara za reja reja zinazoweza kuanzishwa kwa mtaji mdogo ama na mtu hata mwenye kipato cha chini

    1. Genge la mboga mboga na matunda. Hii ni biashara ambayo mtu ataweza kuanzisha kwa mtaji mdogo kabisa na ikampatia kipato cha kujiendesha kimaisha ama kutunza familia, kulipa kodi ya pango n.k 2. Duka la reja reja. Hii ni aina nyingine ya biashara ambayo utaweka vitu vya matumizi ya kila...
  15. JamiiForums Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

    Wasalamu ndugu wana Jamii Forum, Namshukuru Mungu kwa kutupatia uzima wa kuendelea kupeana mafunzo kupitia majukwaa mbalimbali ya kijamii mtandaoni hakika hatuna budi kusema asante Mungu. Nianze kwa kusema mahusiano bila pesa yanawezekana kwa siku za mwanzo tu lakini ukata wa pesa ukizidi kwa...
  16. H

    JamiiForums Elimu na harakati za kijana

    Elimu ni muhimu Sana ndiyo kauli ambayo ipo katika vichwa vya watu wengi ikiwemo watanzania Ili elimu iwe na Tija kwa kijana ni pale anapoitumia elimu yake katika harakati anazifanya kila siku. Kwa Sasa elimu ya Tanzania inapoteza sofa ya kuwa na uzito uke uliokuwepo mwanzo. Chanzo:Google...
  17. JamiiForums, JamiiForums Kenya Askari amlawiti kijana kwa kutovaa barakoa

    John Ouko askari Polisi wa Kenya anatuhumiwa kumlawiti kijana wa miaka 20 ambaye alimkamata kwa kosa la kutovaa barakoa. Kijana huyo aliripoti katika kituo cha polisi cha Langas kuwa alikamatwa lakini badala ya kupelekwa rumande askari huyo alimfunga pingu na kumpeleka nyumbani kwake ambapo ni...
  18. JamiiForums Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

    Na Andrew Chale(MNGONI ORG) Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila kukicha kufuatia kupost vitu vya kifahari. Msanii Diamond amekuwa akipost magari na majumba pamoja na...
  19. JamiiForums Mitaala inayoelezea safari za Carl Peters inasaidiaje kijana wa Kitanzania?

    Hivi mnaosoma somo la historia kwa sasa bado mnafundishwa kuhusu safari za carl peters?? Is this the history we praise and teach?
  20. JamiiForums Shades of Magufuli - Kazi nzuri toka kwa kijana Mzalendo

    Sanaa nzuri kabisaa toka kwa Kijana mzalendo kabisa wa kitanzania Mwamba Tanzania, shujaa wa Afrika na Rais wa karne Endelea kupumzika kwa amani President John Pombe Magufuli 🕊🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…