kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kigoma yaipiku Dar na madaraja yake ya waenda kwa miguu ya Manzese na Buguruni, yajenga kivuko chini ya Barabara

    Kwenye ubunifu wa kujenga barabara ya kuvuka waenda kwa miguu kutoka upande mmoja kwenda mwingine Kigoma imeipiku Dar es salaam mbali mno Mainjinia wa barabara Dar es salaam nendeni Kigoma mkajifunze huko ona Kivuko cha waenda kwa miguu kigoma kilivyokaa vizuri mtu unahamasika kuvuka lile la...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Kigoma Sekondari Miaka ya 2006, 2007, 2008 na 2009 tujuane hapa

    Katika pitapita zangu mjini si nikakutana na mchette akiwa kwenye mishe zake akaniita 'we idara nyeti upo kijana wangu mtukutu nikamwambia mie saivi mtukufu nikakumbuka long maisha ya Kigoma sekondari nikaikumbuka Coy b..nikapakumbuka Kamala, nikamkumbuka mzee Mwingira, nikapakumbuka foko. Ebu...
  3. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tungeanzisha special economic zones au export procesaing zones kwenye mikoa ya mipakani -- Kagera, Kigoma, Mbeya na Songwe

    Special economic zone ni eneo ambapo wawekezaji huzalisha kwa gharama nafuu na hupata upendeleo kwenye kuzalisha ili kuvutia uwekezaji. Sheria za maeneo haya na kodi kwenye maeneo haya huwa tofauti na sehemu zingine. Hata gharama za kuingiza malighafi na mashine huwa chini. Mara nyingi bidhaa...
  4. FredMaria

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa hivi naweza kupata nafasi chuo cha VETA Kozi ya Umeme miaka miwili Kigoma au Chato?

    Habar wana JF. Kutokana na Mambo kuwa mengi huku mda ukiwa mchache nimejiiuta nachelewa kutuma maombi katika chuo chochote cha VETA nchini hususani Kigoma au Chato(ni kipya kinaanza kutumika mwaka huu) nimeingia kwenye website mbali mbali lakin sikufanikiw kupata mawasiliano na uongoz husika...
  5. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kigoma ukatili waongezeka, "Madanga" kutoka Congo DRC na Burundi waingia Kasulu

    Mkoa wa Kigoma ukatili waongezeka, "madanga" kutoka Congo DRC na Burundi waingia Kasulu Mkoa wa Kigoma umetajwa kuwa na kiwango kikubwa cha vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana kitendo ambacho kimeelezwa kusababisha kurudisha nyuma shughuli za maendeleo katika mkoa huo...
  6. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, Kigoma tunakushukuru Fedha na Elimu - hatutakuangusha

    WanaKigoma, Huu ni ujumbe mahususi kwa Mhe Dkt Magufuli kwa heshima aliyotuonesha, aliyotupatia kufuatia uteuzi wa wasaidizi wake kwa nafasi ya uwaziri ambapo Wizara ya Fedha kamuteua Isidory Mpango, na Wizara ya Elimu na Mafunzo kamuteua Prof Ndalichako. Hii ni heshima kubwa sana tuliyopewa...
  7. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Vyombo vya Usafiri; Mabasi, Coaster na Hiace kati ya Uvinza na Kigoma

    Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Sisi wananchi wa Uvinza na viunga vyake tunaomba Serikali yetu tukufu iingilie kati suala la mgomo wa vyombo vya usafiri Kigoma-Uvinza toka juzi usafiri haupatikani tunashindwa kufanya shughuli za kimaendeleo ambazo zinatufanya kutoka kituo kimoja kwenda...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Kijiji, Halmashauri ya Mji wa Kasulu - Kigoma

  9. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

    Mgombea wa CCM jimbo la Kigoma mjini, Kilumbe Ng'enda ametangazwa mshindi baada ya kupata kura 27, 688 huku Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo akipata kura 20, 600. Akitangaza matokeo hayo msimamizi wa uchaguzi, jimbo hilo Mwailwa Pangani amesema kura zilizopigwa ni 50268. Zitto: Licha ya kuingiza...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Kigoma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 8 ambayo ni Buyungu - Aloyce Kamamba (CCM) Muhambwe -...
  11. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe kuunguruma Kigoma leo kwenye Mkutano wa Kampeni

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika Kata ya Bangwe leo Oktoba 16, 2020. Zitto ambaye pia ni Kiongozi wa Chama anatarajia kuwaeleza wananchi hatima ya kura za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wahamiaji haramu 32 wakamatwa wakitokea Kigoma na wana vitambulisho vya kupigia kura

    Wahamiaji haramu 32 raia wa Burundi wamekamatwa Mkoani Tabora wakitokea Mkoa wa Kigoma kuelekea Mikoa ya DSM na Mbeya katika upekuzi watatu wamekutwa na vitambulishio vya kupigia kura vya Tanzania na sita wakiwa na barua za utambulisho kutoka kwa Watendaji wa Kata za Mkoa wa Kigoma na DSM...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe apata ajali Mkoani Kigoma, asafirishwa kwa ndege kwenda Dar

    Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi kufuata baadaye. ====== Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe amepata ajali...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe atoa sababu 5 za Kigoma kuikataa CCM

    ..sina uhakika kama baada ya hotuba hii ya Zitto Kabwe wananchi wa Kigoma wataipigia kura CCM.
  15. NCCR Mageuzi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia NCCR Mageuzi, Yeremia Maganja kuifunika Kigoma mjini leo

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, anatarajia kuongea na wananchi wa Kigoma mjini hii leo Oktoba 01, 2020. Rais Maganja atakua sambamba na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini ndugu Wiston Andrew Mogha ambaye anatajwa...
  16. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli kakataa treni ya umeme isifike Kigoma bali iende Mwanza?

    Habari za humu wadau, poleni na hongereni na pilika za kampeni. Juzi kati nimesikitishwa na kitendo cha mgombea kupitia kiti cha ccm ambaye kawaita watu wa kigoma kwamba wana akili sana, nawakosoa kwa sababu, Magufuli huyuhuyu kakataa katakata treni ya umeme isifike kigoma bali iende mwanza ...
  17. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Kigoma Kaskazini: Nitasimamia kwa makini katika Sekta ya Kilimo na Maendeleo ya Viwanda

    NITASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" KIGOMA KASKAZINI. Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa vijijini, na kuhakikisha Taifa linakuwa na...
  18. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Kigoma Kaskazini: Nikiwa Rais nitaimarisha mazingira ya uwekezaji, kufanya biashara na ujasiriamali

    NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA" KIGOMA KASKAZINI Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana. Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya kufanya biashara ya mwaka 2020 – (Doing Business 2020), Tanzania ni nchi...
  19. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli akiwa Nsimbo, Kidahwe akielekea Kazuramimba, Kigoma kwa ajili ya mkutano wa kampeni

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli kupita Kigoma, Zitto afanya kazi ya safisha safisha!

    Baada ya Dkt. Magufuli kupita mkoani Kigoma na kumwaga sera zake. Kisha kesho yake akafuatia Lissu aliyekwenda kung'oa magugu na kupanda ngano yake Siku iliyofuata, Ikawa ni zamu ya Zitto kupita Kigoma na kung'oang'oa magugu zaidi na kwa kufanya hivyo indirectly akapalilia ngano iliyopandwa na...
Back
Top Bottom