kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Walioshtakiwa kuua askari waachiwa huru

    MAHAKAMA Kuu Kanda ya Kigoma, imewaachia huru washtakiwa 11 waliokuwa wakikabiliwa na kosa la kuua kwa kukusudia askari wawili wa Jeshi la Polisi na kukata sehemu za siri za mmoja wa askari hao katika mapigano yaliyotokea wakati wa kuwaondoa wananchi waliovamia eneo la Hifadhi ya Ranchi za Taifa...
  2. Victoire

    JamiiForums Tanzania By 2015 Kigoma kuwa kama Dubai, Mwanza kuwa kama California

    Jana nilimsikia Rais Magufuli akisema ndani ya miaka yake mitano ijayo endapo atashinda basi Tanzania kuwa kama Ulaya by 2025. Hivi Watanzania turudi nyuma kidogo. JK alituambia Kigoma itakuwa kama Dubai by 2015, leo tupo 2020, je Kigoma imeshakuwa kama Dubai? Watanzania wenzangu...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Watu 10 wafariki dunia baada ya boti kuzama ziwa Tanganyika

    Watu Kumi wamefariki dunia na wengine 87 wameokolewa baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupigwa na dhoruba na kuzama katika ziwa Tanganyika. Mkuu wa mkoa Kigoma Thobias Andengenye Amethibitisha. Taarifa zaidi zinakuja....
  4. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Askari Polisi wamepigwa mawe na Wananchi

    Polisi Mkoani Kigoma wamelazimika kutumia mabomu ya machozi pamoja na kupiga risasi hewani kutawanya Wananchi wenye hasira ambao wamevamia nyumba ya mkazi wa Mtaa wa Yusuph Kata ya Mwanga Kusini, Manispaa ya Kigoma Ujiji na kuharibu milango na madirisha kwa kutumia mawe. Katika vurugu hizo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dodoma kwenda Kigoma

    Napenda kufahamu mabasi mazuri ya kutoka Dodoma asubuhi kwenda Kigoma. Nawasilisha.
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hamis Shimye amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CCM

    Mwandishi wa Habari Uhuru Media Group (UMG) Hamis Shimye amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  7. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa JUKE Taifa, Kiza Mayeye aliteka Jimbo la Kigoma Vijijini

    HABARI Makamo Mwenyekiti wa JUKE TAIFA Mhe. Kiza Mayeye aendelea na Ziara yake ya Ujenzi wa Chama Katika Jimbo la Kigoma Vijijini. Atembelea kata kwa Kata Katika Jimbo Hilo na kufungua matawi na kutoka kadi kwa wanachama wapya wa CUF. Pia, Mhe. Miza Mayeye Ndiye Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma...
  8. Mgiriki MTz

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua nauli ya basi kutoka Mbeya hadi Kigoma ni shilingi ngapi?

    Habari wana JF, Naomba kujua nauli ya basi kutoka Mbeya hadi Kigoma ni shilingi ngapi? Pia, naomba kujua kama kuna basi la moja kwa moja Mbeya to Kigoma? Nawasilisha.
  9. SHERRIF ARPAIO

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Kigoma kuwa Dubai ndogo inavyoyeyuka

    JK 2005: Tutaibadilisha KIGOMA kuwa DUBAI ya Afrika 2020,Huo ndio mwonekano wa KIGOMA linganisha na DUBAI yenyewe
  10. T

    JamiiForums Tanzania Siasa ya chikichi vs korosho mkoani Kigoma

    Wasalamu bandugu. Naomba Leo niongee kidogo kuhusu zao la chikichi mkoani kigoma. Watanzania wote tunafahamu kuwa Chikichi inastawi zaidi kigoma na mikoa ya pembezoni mwake. Ukweli ni kwamba zao hili halijaleta tija/maendeleo makubwa kama linavyovuma, hii inatokana na sababu nying ambazo sio...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaapisha viongozi mbalimbali wa Mikoa na Wilaya aliowateua hivi karibuni

    Rais Magufuli leo anawaapisha wakuu wa mikoa ya Tabora na Kigoma, Ikulu jijini Dodoma. Kadhalika Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri watakula viapo vya maadili. Tukio hilo litarushwa mubashara na TBC na Channel ten Up dates; === Leo Julai 6, 2020, Rais MagufuliJP anatarajia...
  12. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Abdul Nondo atia nia ubunge Kigoma Mjini

    Watia nia ubunge kigoma mjini mpaka sasa kupitia ACT-WAZALENDO ni Abdul Nondo, Baba Levo. Bado najiuliza Zitto Kabwe atahama jimbo tena au atagombea nao kura za maoni, au hatagombea mwaka huu?
  13. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Kigoma Mh. Kiza Mayeye, umeilinda heshima ya wana CUF na wana Kigoma kwa ujumla

    Umelinda heshima, Umekitendea haki chama, Umewatendea haki wana mama, Umewatendea haki wana Kigoma, Kiza mayeye kigoma umefiti. CUF Kigoma zamu yetu.
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Wazee Kigoma: Askari aliyemkamata Zitto kama Jambazi aombe radhi lasivyo kukiona

    Wanasema Zitto sio jambazi na mwizi kushikiliwa vile kama alivyofanyiwa na askari aliyemkamata hawaamini kwanini alimuharasi kiasi kile. Wanasema Zitto ajavunja sheria yeyote na mikutano ya ndani haijakatazwa mpaka mtu akamatwe kama jambazi wazee wanasema wanampa muda yule askari aombe radhi.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ijue Siri: Kwanini Njia ya Kigoma - Dar haina mabasi mengi ya ( luxury )

    Njia ya Dar-Kigoma, Dar-Sumbawanga Ni miongoni mwa njia chache Sana ambazo ukiomba kibari Cha njia (TLB ) Kutoka SUMATRA hutasumbuka hata kidogo! Hii inatokana na dhana ya uhaba wa mabasi kwenda maeneo hayo! Swali hapa je, kwanini Ni machache? Wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza bei ya kikomo ya Sukari; ipo kati ya Tsh. 2,600 na Tsh. 3,200 kwa kilo kutegemea na Mkoa

    Serikali imetangaza bei ya ukomo ya Sukari kwa rejareja katika Mikoa yote nchini, ambapo kwa Dar es Salaam itauzwa kwa Shilingi 2,600 kwa Kg 1, Mbeya 3,000, Mwanza, Dodoma na Shinyanga 2,900, Kigoma 3,200, Arusha na Kilimanjaro ni 2,700, Kagera na Mara ni 3,000. Aidha kwa Mikoa ya Lindi na...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora Wapelekwa Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma Kulima Michikichi

    Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora wamepelekwa katika Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma ikiwa ni mkakati maalumu wa Serikali kuliteua gereza hilo kuwa Kituo Kikuu cha Uzalishaji wa zao la mchikichi nchini. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa: Wananchi wa Kigoma wanaongoza kwa kupenda kulipwa fidia na hivyo wanajicheleweshea maendeleo

    Waziri mkuu mh Majaliwa amesema wananchi wa Kigoma Ujiji wanapenda sana kulipwa fidia pindi miradi mikubwa ya maendeleo kama Hospitali, bandari na barabara. Majaliwa amesema kwa kufanya hivyo wana Ujiji wanajicheleweshea maendeleo wao wenyewe kwani kulipa fidia ni hisani siyo lazima. Kadhalika...
  19. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya shilingi yamwagwa kujenga barabara Kigoma

    SERIKALI ya Tanzania imetiliana saini mkataba na wakandarasi wanne wa kampuni ya ujenzi ya China kwa ajili ya barabara ya kiwango cha lami kutoka Kabingo wilayani Kakonko hadi Manyovu wilayani Buhigwe yenye urefu wa kilometa 260 kwa gharama ya Sh bilioni 584.7. Waziri wa Ujenzi, Isack Kamwelwe...
  20. winnerian

    JamiiForums Tanzania Mikataba minne ya ujenzi wa barabara ya kuanzia Kabingo kwenda mpakani mwa Kigoma na Burundi (Km260) imesainiwa

    Imesainiwa mikataba minne na kwa ufupi tu fedha zote zinatokana na waafrica ikiwemo Watanzania maana ni za Bank ya Maendelo ya Africa lakini cha kusikitisha na kushangaza wote waliopewa zabuni hizi ni wakandarasi kutoka china, katika wakandarasi wote wanne wote ni wachina. Naomba kama mzalendo...
Back
Top Bottom