kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. Emmanuel180

    Gari za Cassablaca Kigoma na Tv za nyumbani

    Nyiee hivi mlishawahi kwenda Kigoma kuna gari zinaitwa Cassablanca ukiingia ndani picha linaanza kwanza hitakiwi kuvaa tshirt au nguo nyeupe maana utafika kibondo kama umetoka kumuibia mchina madini kule Buzwagi. Ok sasa Tv za mule ndani ni flat screen Lg zimechomelewa juu ya dali la gari kwa...
  2. Shadow7

    Kigoma: Auawa kwa kukatwa shingo, wauaji waondoka na kichwa

    Mtu mmoja mkazi wa kijiji cha Janda wilayani Buhigwe mkoani Kigoma aliyetambulika kwa jina Shinze Mugarama ameuawa kwa kukatwa shingo kijijini hapo na wauaji kuondoka na kichwa chake. Kamanda wa polisi Mkoa wa Kigoma Kamishna Msaidizi wa Polisi James Manyama amesema marehemu ambaye hana...
  3. Ushimen

    Job Opportunities At TANROADS Kigoma Region, April 2021- (5 Various Posts)

    1. JOB TITLE: LABORATORY ASSISTANT (ONE) 1 POST DUTIES AND RESPONSIBILITIES ● Collection of material samples from various construction sites. ● Investigation of borrow-pits ● Making sure that laboratory equipments are well taken care of. ● Make timely reports on equipments that need repair...
  4. B

    Zitto na Nondo wanaenda speed sana kupush agenda za Kigoma

    Nondo na Zito punguzeni speed maana kila mtu anajua Kigoma ilikuwa nyuma kwa miaka miaka mingi na Kuna agenda mahususi za mkoa huo. Jana Zitto amesimamia kidete suala ya Uraia akiwa chini ya cover ya hoja iliyoletwa ya Uraia wa Dr. Mpango. It's true Kigoma Kuna changamoto ya wakaazi wengi kukosa...
  5. Ileje

    Wananchi wa Kigoma msijishuku kubaguliwa mnapohojiwa uraia wenu

    Kuna wananchi wenzetu wa asili ya mkoa wa Kigoma wametaharuki baada ya watu kuhoji uraia wa Dr. Mpango na kuona kama wanabaguliwa. Hapana, ni jambo la kawaida kwani kuna watu wengi kutoka nchi jirani wanahamia Kigoma. Jambo linalotakiwa ni kujibu hoja mnazoulizwa kwa usahihi na siyo kuanza...
  6. J

    Zitto Kabwe: Kabla ya kuja wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru

    Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru. Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi...
  7. Miss Zomboko

    CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe

    Chama cha CHADEMA kimesema hakitashiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Muhambwe lililopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma. Jimbo la Muhambwe liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge Atashasta Nditiye kufariki dunia Februari 12, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma alikokuwa...
  8. C

    Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

    Toka kuumbwa ulimwengu,. Leo hii Mkoa wa Kigoma umekwenda kutoa Kiongozi Mkubwa, Msomi, makini nchini. Heko wana-Kigoma kwa kuaminiwa. FUNZO: Marufuku kukata tamaa maishani.
  9. J

    CHADEMA itashiriki uchaguzi mdogo kule Kigoma?

    Kigoma kuna jimbo moja la uchaguzi liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo ndugu Nditiye kufariki dunia. Kwa kuwa Rais mpya mhe. Samia Suluhu amesema tushikamane na tuache kunyoosheana vidole, ndio najiuliza Chadema watashiriki uchaguzi huo mdogo? Maendeleo hayana vyama!
  10. MSAGA SUMU

    Baba Levo : Niko tayari kumtambulisha Mondi nyumbani kwetu, wanaume wote Kigoma tuko hivi

    Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?. Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda kumtambulisha. Pia amesema mambo anayoyafanya ni sample tu ya vijana wa Kigoma kwa hiyo watu wasishangae sana...
  11. I

    Tunaomba matuta barabara ya Saigoni Kigoma

    Niaje wakuu, mimi ni mkazi wa Kigoma Mjini, kuna hii barabara mpya ya lami ambayo inapita katika mtaa wa Saigoni Kigoma mjini, naomba mamlaka husika zifanyie kazi suala la kuweka matuta katika hii barabara mpya kwa sababu magari na pikipiki zinashuka kwa kasi sana. Tuna watoto zetu na wake zetu...
  12. J

    Askofu Gwajima: Kawe tuna barabara za urefu wa KM 1400 sawa na Dsm - Kigoma tumepewa fedha ya km 130 tu hii haikubaliki!

    Mbunge wa Kawe baba askofu Gwajima amesema jimbo lake la Kawe lina barabara zenye urefu wa takribani kilomita 1400 sawa na umbali wa kutoka DSM hadi Kigoma lakini Tarura wamepewa bajeti ya kukarabati kilomita 130 tu. Gwajima amesema hii haikubaliki na kuwataka watu wa Tarura kujiongeza kwani...
  13. Chizi Maarifa

    Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

    PART I Katika harakati za kutafuta maisha kuna mengi sana ambayo wanaume tunapitia. Leo ntawaelezea visa na mikasa ambayo nlipitia toka nimemaliza kidato cha nne mwaka 1995. Mambo haya yametokea nikiyaona na pia nikihusika. Mimi ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto 7. Nikiwa na dada...
  14. Inside10

    TANZIA Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga afariki Dunia

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu. Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga alistaafu mwezi Julai, mwaka 2020 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  15. abackuk

    TBA waingia matatani kwa kutokamilisha miradi Kigoma

    Jafo aagiza watumishi TBA kukamatwa SATURDAY JANUARY 16 2021 Summary Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo amemuagiza mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye kuwakamata na kuwekwa ndani viongozi na wasimamizi wa miradi wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) mkoani humo kwa kuchukua fedha za miradi...
  16. YEHODAYA

    Kigoma yaipiku Dar na madaraja yake ya waenda kwa miguu ya Manzese na Buguruni, yajenga kivuko chini ya Barabara

    Kwenye ubunifu wa kujenga barabara ya kuvuka waenda kwa miguu kutoka upande mmoja kwenda mwingine Kigoma imeipiku Dar es salaam mbali mno Mainjinia wa barabara Dar es salaam nendeni Kigoma mkajifunze huko ona Kivuko cha waenda kwa miguu kigoma kilivyokaa vizuri mtu unahamasika kuvuka lile la...
  17. I

    Tuliosoma Kigoma Sekondari Miaka ya 2006, 2007, 2008 na 2009 tujuane hapa

    Katika pitapita zangu mjini si nikakutana na mchette akiwa kwenye mishe zake akaniita 'we idara nyeti upo kijana wangu mtukutu nikamwambia mie saivi mtukufu nikakumbuka long maisha ya Kigoma sekondari nikaikumbuka Coy b..nikapakumbuka Kamala, nikamkumbuka mzee Mwingira, nikapakumbuka foko. Ebu...
  18. Red Giant

    Tungeanzisha special economic zones au export procesaing zones kwenye mikoa ya mipakani -- Kagera, Kigoma, Mbeya na Songwe

    Special economic zone ni eneo ambapo wawekezaji huzalisha kwa gharama nafuu na hupata upendeleo kwenye kuzalisha ili kuvutia uwekezaji. Sheria za maeneo haya na kodi kwenye maeneo haya huwa tofauti na sehemu zingine. Hata gharama za kuingiza malighafi na mashine huwa chini. Mara nyingi bidhaa...
  19. FredMaria

    Kwa sasa hivi naweza kupata nafasi chuo cha VETA Kozi ya Umeme miaka miwili Kigoma au Chato?

    Habar wana JF. Kutokana na Mambo kuwa mengi huku mda ukiwa mchache nimejiiuta nachelewa kutuma maombi katika chuo chochote cha VETA nchini hususani Kigoma au Chato(ni kipya kinaanza kutumika mwaka huu) nimeingia kwenye website mbali mbali lakin sikufanikiw kupata mawasiliano na uongoz husika...
  20. Nyanswe Nsame

    Mkoa wa Kigoma ukatili waongezeka, "Madanga" kutoka Congo DRC na Burundi waingia Kasulu

    Mkoa wa Kigoma ukatili waongezeka, "madanga" kutoka Congo DRC na Burundi waingia Kasulu Mkoa wa Kigoma umetajwa kuwa na kiwango kikubwa cha vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana kitendo ambacho kimeelezwa kusababisha kurudisha nyuma shughuli za maendeleo katika mkoa huo...
Back
Top Bottom