kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa kihistoria: Je, Ishmael na Mdogo wake Isaka Walionana tena baada ya Kifo cha Babayao Mzee Ibrahim?

    Wadau hamjamboni nyote? Naleta mjadala huu ambao naamini ni wa kihistoria na utachangiwa na Wasomi wetu lukuki waliojaa ndani ya Jamii Forum Inajulikana kuwa Ishmael na Mdogo wake Isaka walikutana pamoja kwa ajili ya Maziko ya babayao Mzee Ibrahim Baada ya hapo hakuna kumbukumbu ya maisha ya...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi nchini Nigeria wachunguza kifo cha Mbunge aliyekatwa kichwa

    Polisi nchini Nigeria wanachunguza kukatwa kichwa kwa mbunge wa jimbo la kusini-mashariki la Anambra ikiwa ni wiki moja baada ya watu wenye silaha kumteka nyara pamoja na msaidizi wake. Mwili wa Okechukwu Okoye ulipatikana mwishoni mwa juma ukiwa na majeraha ya kukatwa ambapo Gavana wa jimbo...
  3. JamiiForums Tanzania Video yaonesha kabla ya kifo cha mwandishi wa habari Abu Akleh hakukuwa na majibizano ya risasi

    Video mpya imesambaa ikionesha hakukuwa na mashambuliano yoyoye wakati mwandishi wa habari Abu Akleh anauawa kwa risasi, kama ilivyoelezwa awali kuwa aliuawa wakati wa mashambulizi baina ya pande mbili Video hiyo inamuonesha mwanahabari huyo wa Al Jazeera akiwa katika hali ya utulivu na wenzake...
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya Adolf Hitler, tangu kuzaliwa kwake mpaka kifo chake

    Adolf Hitler (Braunau, Austria, 20 Aprili 1889; Berlin, Ujerumani, 30 Aprili 1945) alikuwa dikteta wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi kifo chake. Adolf Hitler akiwa mtoto mchanga Alizaliwa nchini Austria mwaka 1889, akaingia shule ya sekondari mwaka 1900 lakini hakufaulu, hivyo alishindwa...
  5. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yathibitisha kifo cha kwanza cha Covid-19. Kim Jong Un avaa barakoa kwa mara ya kwanza

    Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), leo Ijumaa Mei 13, 2022 limethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid-19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa rasmi siku moja baada ya nchi hiyo kuthibitisha mlipuko wa kwanza wa Covid tangu janga hilo lianze. Watu 187,800 hivi sasa wanapatiwa...
  6. JamiiForums Tanzania SONGWE: Serikali yaingilia tuhuma za wauguzi kusababisha kifo cha kichanga kwa uzembe

    Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama. Taarifa zilizopatikana kituoni...
  7. JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

    Hello bosses....... Nimekaa na hii experience kwa muda mrefu ila leo nikakutana jamaa fln wanabishana khs dini nimeona ni bora niisimulie labda inaweza kusaidia. Ni story ndefu ila nitajitahidi kufupisha na pia sina uzoefu sana kuandika makala za namna hii hivyo kiswanglish na typos...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha hayati Magufuli kuwa moja ya ajenda kubwa uchaguzi 2025. CCM itapasuka na mengi yataibuka

    Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale. Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Lissu alifanya kosa kubwa kumsingizia kifo huyu jamaa

    Ni aliyepata kuwa mlinzi mahsusi wa JPM bwana Oscar. Jamaa ni bomba na anaendelea na majukumu yake kama kawaida. Keep RIP JPM!
  10. JamiiForums Tanzania Pale mke anapofungwa miaka 30 jela na hurusiwi kuongeza mke, hii hali inatatuliwa vipi?

    Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo. Sasa inapotokea mfano mke wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa mbichi, hapo hii...
  11. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kunyongwa hadi kifo yaongezeka Nchini Iran

    Ripoti imetolewa leo Aprili 28, 2022 ambapo imefahamika kuwa adhabu ya kifo Nchini Iran imeongezeka kwa asilimia 25 ndani ya mwaka 2021. Katika idadi ya waliohukumiwa wamo pia wanawake 17 pamoja na walioshitakiwa kwa kesi za madawa ya kulevya Mashirika ya Haki za binaadamu IHR na ECPM ya...
  12. JamiiForums Tanzania Bwagala na hospital ya morogoro nani anahusika na kifo cha dada huyu?

    Kuna taarifa za kufariki mama mjamzito ambaye pia ni nesi. Mdada Huyo alifia hospitalini baada ya madaktari kumuonyesha Kwenye mashine kwamba mtoto wake hachezi na ameshakufa. Mbaya zaidi dada Huyo ni mtu wa medical kwahiyo alipoona tu Kwenye scrini kwamba mtoto wake kafa akapatwa na bp nae...
  13. JamiiForums Tanzania Dodoma: Shughuli za Bunge zaahirishwa kufuatia kifo cha Mbunge Irene Ndyamkama

    Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amelazimika kuahirisha shughuli za Bunge hadi Jumatano ya April 27 kutokana na kifo cha Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa (CCM), Irene Alex Ndyamkama, kilichotokea jana Aprili 24, 2022 ======= Spika wa Bunge, Dk Tulia Akson ameahirisha kikao...
  14. JamiiForums Tanzania WanaCCM wamechukia na hawashiriki chaguzi za ndani za CCM

    WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea. CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji. WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM. Hayati JPM hachafuki. WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi na upelelezi wa tukio la kifo cha padri Francis uanzie hapa

    Katika upelelezi wa matukio kama haya huwezi kuacha kuangazia (last moment ya marehemu) Marehemu padri Francis katika mahubiri yake ya misa takatifu jumapili ya matawi! Sehemu kubwa ya mahubiri yake alilalamika jamii kusema vibaya watu, alisisitiza kwamba yeye kama paroko anasemwa vibaya sana...
  16. JamiiForums Tanzania Tuacha upotoshaji wa kudhani kuteseka sana mwishowe huwa ni kufanikiwa, watu wengi huteseka mpaka kifo bila kufanikiwa.

    Utaskia.. "Diamond aliteseka sana leo kafanikiwa" - hapa mtu anasahau kwamba kwenye muziki kuna ma elfu ya wasanii wameanza kuimba 2005 huko ila mpaka leo bado wanteseka. "Bakhresa alianzia chini kwa kujiajiri leo katoboa" - katika kundi hili kuna watu wengi sanaaa waliojiajiri kila siku...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Mateso ya Bwana Yesu yalikuwa makali sana na kilikuwa kifo cha aibu"Alijivua hali ya uungu akavaa hali ya ubinadamu"

    Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo...
  18. JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Kifo cha Yesu Kristo Msalabani (Simba wa Yuda)

    IJUMAA KUU; KIFO CHA YESU KRISTO MSALABANI (SIMBA WA YUDA) Leo 14:25pm 15/04/2022 Basi tangu saa sita mchana Yesu alipowekwa msalabani na kugongelewa misumari pale Calvary,akapaza sauti yake akasema Eloi,Eloi lamasabakhthani(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?) mara giza likatanda, Yohane...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe hili, wanaume wana maumivu pia, tena yenye huzuni karibu ya kifo

    WANAUME WANA MAUMIVU PIA Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka kujua kwamba wanaume pia hulia. Nilimchukulia mume wangu kama binadamu bora. Ninamwona akitoka nyumbani kila siku na kurudi akitupa mahitaji yetu. Siku moja nikiwa nimetoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni atoa amri wanaozungumzia kifo cha Spika Oulanya kuwa alipewa sumu wakamatwe

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema baada ya kifo cha Oulanya ametoa amri kwa Polisi kufuatilia wanaondika kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jacob Oulanya alifariki baada ya kupewa sumu, wakamatwe ili watoe ufafanuzi na kueleza Polisi kile wanachokijua. Pamoja na hivyo, bado familia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…