Habari zenu wakuu natumai mu wazima wa Afya.
Wakati tunaendelea kupambana na Uchumi wa kati.
Tujikumbushe tuliowahi kunusurika na Kifo.
Binafsi hii imenikuta mwaka juzi tu hapa. 2020.
Nilipata mualiko wa kwenda kwenye harusi ya ndugu yangu mtoto wa Mamkubwa wangu alikuwa akiolewa.
Binafsi...
Wadau hamjamboni nyote?
Naleta mjadala huu ambao naamini ni wa kihistoria na utachangiwa na Wasomi wetu lukuki waliojaa ndani ya Jamii Forum
Inajulikana kuwa Ishmael na Mdogo wake Isaka walikutana pamoja kwa ajili ya Maziko ya babayao Mzee Ibrahim
Baada ya hapo hakuna kumbukumbu ya maisha ya...
Polisi nchini Nigeria wanachunguza kukatwa kichwa kwa mbunge wa jimbo la kusini-mashariki la Anambra ikiwa ni wiki moja baada ya watu wenye silaha kumteka nyara pamoja na msaidizi wake.
Mwili wa Okechukwu Okoye ulipatikana mwishoni mwa juma ukiwa na majeraha ya kukatwa ambapo Gavana wa jimbo...
Video mpya imesambaa ikionesha hakukuwa na mashambuliano yoyoye wakati mwandishi wa habari Abu Akleh anauawa kwa risasi, kama ilivyoelezwa awali kuwa aliuawa wakati wa mashambulizi baina ya pande mbili
Video hiyo inamuonesha mwanahabari huyo wa Al Jazeera akiwa katika hali ya utulivu na wenzake...
Adolf Hitler (Braunau, Austria, 20 Aprili 1889; Berlin, Ujerumani, 30 Aprili 1945) alikuwa dikteta wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi kifo chake.
Adolf Hitler akiwa mtoto mchanga
Alizaliwa nchini Austria mwaka 1889, akaingia shule ya sekondari mwaka 1900 lakini hakufaulu, hivyo alishindwa...
Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), leo Ijumaa Mei 13, 2022 limethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid-19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa rasmi siku moja baada ya nchi hiyo kuthibitisha mlipuko wa kwanza wa Covid tangu janga hilo lianze.
Watu 187,800 hivi sasa wanapatiwa...
Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama.
Taarifa zilizopatikana kituoni...
Hello bosses....... Nimekaa na hii experience kwa muda mrefu ila leo nikakutana jamaa fln wanabishana khs dini nimeona ni bora niisimulie labda inaweza kusaidia. Ni story ndefu ila nitajitahidi kufupisha na pia sina uzoefu sana kuandika makala za namna hii hivyo kiswanglish na typos...
Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.
Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na...
Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo.
Sasa inapotokea mfano mke wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa mbichi, hapo hii...
Ripoti imetolewa leo Aprili 28, 2022 ambapo imefahamika kuwa adhabu ya kifo Nchini Iran imeongezeka kwa asilimia 25 ndani ya mwaka 2021.
Katika idadi ya waliohukumiwa wamo pia wanawake 17 pamoja na walioshitakiwa kwa kesi za madawa ya kulevya
Mashirika ya Haki za binaadamu IHR na ECPM ya...
Kuna taarifa za kufariki mama mjamzito ambaye pia ni nesi. Mdada Huyo alifia hospitalini baada ya madaktari kumuonyesha Kwenye mashine kwamba mtoto wake hachezi na ameshakufa. Mbaya zaidi dada Huyo ni mtu wa medical kwahiyo alipoona tu Kwenye scrini kwamba mtoto wake kafa akapatwa na bp nae...
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amelazimika kuahirisha shughuli za Bunge hadi Jumatano ya April 27 kutokana na kifo cha Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa (CCM), Irene Alex Ndyamkama, kilichotokea jana Aprili 24, 2022
=======
Spika wa Bunge, Dk Tulia Akson ameahirisha kikao...
WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea.
CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji.
WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM.
Hayati JPM hachafuki.
WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
Katika upelelezi wa matukio kama haya huwezi kuacha kuangazia (last moment ya marehemu)
Marehemu padri Francis katika mahubiri yake ya misa takatifu jumapili ya matawi!
Sehemu kubwa ya mahubiri yake alilalamika jamii kusema vibaya watu, alisisitiza kwamba yeye kama paroko anasemwa vibaya sana...
Utaskia..
"Diamond aliteseka sana leo kafanikiwa" - hapa mtu anasahau kwamba kwenye muziki kuna ma elfu ya wasanii wameanza kuimba 2005 huko ila mpaka leo bado wanteseka.
"Bakhresa alianzia chini kwa kujiajiri leo katoboa" - katika kundi hili kuna watu wengi sanaaa waliojiajiri kila siku...
Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo...
IJUMAA KUU; KIFO CHA YESU KRISTO MSALABANI (SIMBA WA YUDA)
Leo 14:25pm 15/04/2022
Basi tangu saa sita mchana Yesu alipowekwa msalabani na kugongelewa misumari pale Calvary,akapaza sauti yake akasema Eloi,Eloi lamasabakhthani(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?) mara giza likatanda, Yohane...
WANAUME WANA MAUMIVU PIA
Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka kujua kwamba wanaume pia hulia. Nilimchukulia mume wangu kama binadamu bora. Ninamwona akitoka nyumbani kila siku na kurudi akitupa mahitaji yetu. Siku moja nikiwa nimetoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.