kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Tuondoleeni utata huu wa taarifa za kifo cha mke wa Askofu wa Anglikana Biharamulo

    Taarifa zinasema kuwa Mke wa Askofu Vitalis Yusuf, wa kanisa la Anglikan Dayosisi ya Biharamulo mkoani Kagera, maziko yake yatafanyika leo Jumamosi nyumbani kwao wilayani Chato mkoani Geita. Maziko hayo yanafuatia, kifo cha mke huyo Monica Zablon mwenye umri wa miaka 45, kilichotokea usiku wa...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kawaida saba lakini yatasababisha ufe mapema

    1: Kupenda kujitamkia kifo au kufakufa hata kama ni utani. Sisi watu wa maandiko tunamstari unasema, mtu atakula matunda ya kinywa chake. 2: Kustaafu kabla ya Muda wako Watu wanaostaafu kwa hiyari kabla ya muda wa lazima wanauwezekano mkubwa wa kufa mapema. 3: Matumizi ya vidonge vya usingizi...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mbona mnamug'unya maneno wakati genge linalotuibia mali zetu mnalijua?

    Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali. Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua. Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM. Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
  4. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wabunge 168 wakubali adhabu ya kifo kwa wezi - majimboni kwenu mmewatuma kazi wabunge hao?

    Wanabodi, Salaam! Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi. Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

    Afande ( Luteni Kanali ) aliyeuawa jana Kawe Jirani na Baa maarufu ya Bombardier anaitwa Muna. Marehemu ni Mkazi wa Mkoa wa Singida. Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa kapandishwa Cheo na alikuwa anaenda kuwa Mkuu wa Kikosi Mkoani Arusha na leo Ijumaa ndiyo alikuwa anatakiwa Kuripoti...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Qatar yawahukumu kifo Wahindi 8 kwa tuhuma za ujasusi

    Mahakama ya Qatar imetoa hukumu ya kifo kwa raia nane wa India ambao ni wafanyakazi katika Kampuni ya Al Dahra Nchini Qatar baada ya kukutwa na hatia ya kufanya ujasusi. Maafisa hao walikamatwa Mwaka 2022 wakidaiwa kufanya ujasusi kwa kutumia teknolojia ya Qatar wakati wakiwa watumishi wa...
  7. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kwanini kifo kisiwe kama zawadi ya thamani ya kumpa mtu?

    Yaani mtu akifanya vema tunampongeza kwa kumuua, Imagine ukifa unapumzika kwa amani. Mihangaiko ya duniani unaiacha, unasahau shida zote za kila siku hutafuti hela , husikii njaa, huna mawazo, kiufupi ni peace tu. Naona kifo ndio ingekuwa zawadi nzuri na ya thamani ya kumpatia mtu aliyefanya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kifo nikiwa mtoto zaidi ya mara 3

    Habari zenu, Ndugu zangu kwenye ukuaji tunapitia hatua mbalimbali za maisha, kipindi nikiwa mdogo nishanusurika kifo zaidi ya mara 3, kusema kweli nilikuwa mtundu sana nisiyesikia chochote,na michezo yangu ilikuwa hatari sana,tena ya kutosha. Naanza kama hivi. Mara ya kwanza. Kipindi nikiwa na...
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Alisema siku ya kifo chake watu wasihuzunike, bali wale na kunywa

    Tuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana Nisiseme mengi Alamsiki
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana: Tunafanyia kazi ushauri wa Wadau kuhusu mabadiliko ya Adhabu ya Kifo

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi maoni ya baadhi ya Wadau kuhusu kuondoa adhabu ya kifo. Akizungumza Oktoba 10, 2023 kwenye Kongamano la kujali adhabu ya kifo lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na wadau...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Majamaa walioingilia Mitikasi ya watu na hawakuachwa Salama

    Basi tu, tuseme hii dunia kuna watu wanapanga mipango yao lakini kuna watu pia wanapangua mipango hiyo yote na kufanya mambo yao. Kuna mambo huwa hutakiwi kuyaingilia hata kidogo. Hata kama utakuwa rais, kuna system huwa unaikuta, unatakiwa kuiacha kama ilivyo kwa kuwa ni maslahi ya watu...
  12. gstar

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kifo kwa Muhammad Mursa iliyozua simanzi

    Umewahi kuona muuaji ambaye polisi wanamlilia, wanahabari wanalia, watu wanakusanyika wakimuombea msamaha, na nchi nzima inalia, lakini pamoja na yote hayo hukumu ya kifo ikatekelezwa? Tukio hili la kusikitisha sana la mauaji ya kukatwa kichwa kwa upanga lililotekelezwa tarehe 20 Septemba mwaka...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa filamu za Harry Potter waomboleza kifo cha Sir Michael Gambon (Professor Dumbledore)

    Taarifa za kifo cha muigizaji huyu Sir Michae Gamboni maarufu kama Professor Albus Dumbledore kilitangazwa na familia yake jana tar 28/9/2023. Mwigizaji Sir Michael Gambon amefariki kwa amani hospitalini akiwa na umri wa miaka 82, familia yake ilisema. Sir Michael alikuwa maarufu kwa mashabiki...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mende

    Kifo cha Mende. Haikuwahi kusemwa mende alifia nini
  15. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kiintelijensia: Magonjwa 10 yatakayosababisha kifo cha TTCL

    1. Hapo zamani mtaji wa TTCL uliporwa na kina Mwandosya na kupelekwa kampuni mpya ya Airtel, ambayo sasa ni kubwa kuliko TTCL, na mshindani wa TTCL. 2. Kuna wakati, kila mwaka serikali ilikuwa inaleta bilioni 1.8+ kwa ajili ya network operations and maintenance, kazi inayosimamiwa na Head of...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Handley Mafwenga, Mtanzania mwenye shahada 9 afariki dunia

    Aliyekuwa Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la Kwanza wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Profesa Handely Mwafwenga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Mwafwenga aliyekuwa na elimu ya digrii saba na shahada tatu za uzamivu (PhD) amefariki dunia usiku wa...
  17. Maan

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tundu Lissu hakuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Magufuli kwa kipengele cha kuwa namba 2 katika kura za Wananchi

    Ili kuepuka kuwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa na wananchi ilipaswa kupewa nafasi yule aliye shika nafasi ya pili. Alafu Rais Samia angetumika kuongoza nchi kwa kipindi kifupi hadi pale Rais atakapo tawazwa kisha aachie nafasi ya Urais ambayo alishikili baada ya Rais aliye madarakani...
  18. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Pogba autamani Umaskini

    Kifo Cha Mpira wa Pogba kinachodhaminiwa na nduguze kikaribu kuja. Kipindi wewe unapambana Hadi kuroga upate pesa wenzako wanatamani kuzikosa maana zinawaletea shida na matatizo kila uchao. Ndugu wamekuwa sababu ya Labile Paul Pogba kutamani kuwa masikini na asijuane na pesa.
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mke atuhumiwa kumpiga mumewe kwa rungu na kupelekea kifo chake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja Mkoani Iringa amempiga na rungu mumewe hadi kupelekea kifo baada ya kuwepo kwa ugomvi kati yao. Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limethibitisha kumshikilia mwanamke aitwaye Aurelia Kalolo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 kwa kosa la kumpiga...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Wauana kibandaumiza kisa VAR ya Arsenal V Man U

    Shabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video. Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U. Ugomvi huo ukapelekea kifo cha Jackson Aineruhanga eneo la Sheema, kaskazini mwa...
Back
Top Bottom